SELF DEFENCE, jiandae kwa dharura muda wowote

SELF DEFENCE, jiandae kwa dharura muda wowote

No 10 ilishanishinda japo naishi maeneo tata.
Lakini nina manati na mawe hapa nomaaa
 
Ahsante mkuu. Vipi unapokuwa wakala wa UKAWA katika kuhesabu kura wakati wa uchaguzi? Wafanye nini hawa katika kupigwa, kubebwa na kuondoleaw nje kwa nguvu ili wasifanye kazi yao vizuri kwa mfano? Ni hilo tu.

1- Unatembea ngumi hujui, pistol huna, kisu huna hata peni kma speedo huna, ukikabwa unalia lia, ata kma husomi weka peni mfukoni kma huna siraha nyingine.


2-Hata kma huvuti, weka kibiriti hasa cha gesi mfukoni. Mtu kakukaba shingo kiwashe mchome nguo au sehem yyte sepa


3-Geto usikose Nondo, panga , bisbis, kamba au waya .


4- Usisahau nguo nzito kma blanket na maji incase of fire.


5- Unapoenda sehem mgeni unamsubir mtu, sio unakaa sehem moja lisaa lizima tena kiboya boya ad wahuni wajue we mgeni.

7-Unaelekea ktk uchochoro unaona kuna watu huaelewi nao wanakuja, nawe unaenda tu, utalizwa, subir kwanza au tafuta njia nyingine.


8--Kila siku ukienda misele unapita njia moja iyo iyo , ata washirikina wakikuotea hukwepi, jichek, jifunze kupita njia tofauti tofauti.


9--Ukiingia kwenye nyumba/ jengo mara ya kwanza, angalia na sehem za kutokea, sio unaenda kma mbuzi, kua kma mbwa mark sehem mlizopita na mbadala wake pia.


10-Mtoto wa kiume usilale ukavua nguo zote, utaja zalilika

11- jifunZe kubana punzi kwa muda usiopungua dk tatu, zile robbery za kitoto utazimudu.

12-- kma hujui kuogelea na unaenda maeneo ya maji, beba kudumu cha mafuta kilichoisha cha lita tano chene mfuniko, incase of anything, kiweke kifuani ukuwa umekifunga mfuniko maji yasiingie ndani, kishikilie haswa, hutazama miaka mia

NB: NI KWA WEMA TU, USITUMIE VIBAYA

ONGEZA NYINGINE
 
Huwa sikosi Toothpick mfukoni na katikati ya vidole hasa usiku. Nimefanyia zoezi kwenye kutoboa mapera kwa kasi ya ajabu yakiwa mtini.
Ebu nifafanulie hapo mkuu na unavitumiaje pale unapokutana na circumstances za kukutia shaka
 
Jitu linaingia Baar au kwny Mgahawa linakaa kwny kiti huku mgongo wake ndio unatazama Mlango Mkuu wa Kuingilia!

Unapokuwa maeneo Kama hayo hakikisha umekaa eneo ambalo unamuona kwa urahisi kila anaeingia kwa kuwa incase kaingia Adui unakuwa wa kwanza kutambua nankujihami!
 
Mimi mlango wangu. Nikilala uwa sifungi. Silali na kisu wala wembe.
Popote napita. Na mjinga mjinga yeyote hanitishi.
Yaani maisha yanipe stress na wewe mwizi unipe stress.
HAIWEZEKANI.
wa tawaqqal ala ALLAH. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Na mkitiana usisahau kuvaa condom...... Hiyo nayo ni silaha ya kujikinga
 
Kwa huu msimu wa kukabana kishamba shamba hilo wazo lako ni jema. Mm hata njiani natembeaga na star Kwenye begi langu...mambo poa tu!!..
Kuna kipindi iliniokoa kuvunja mahali ambapo nilikuwa nmebanwa wakati wa ajali.
Nzuri sana, hata kibaka nikimuona huwa simkimbii bali naweka vizuri kifaa changu na mwili unakuwa tayari kukabiliana na hali yoyote itakayotokea. Imani ni siraha nzur sana
 
Chumbani nina nondo, panga lipo sebuleni, jikoni kuna visu na bafuni kuna bisi bisi na hivi vitu nimeviweka mahali mgeni havioni, ndo maana kuna faida ya mechi za nyumbani. Unajua ulipoweka silaha zako bila mgeni wako kujua. Na kwenye waleti kuna nyembe na mkwara pia uko mdomoni plus confidensi, kujiamini mida fulani kunamfanya mtu akuogope.
 
AAEAAQAAAAAAAANiAAAAJDg4MmIwYjFjLTg1NTItNDUzNy04ZmY4LTFmODUyOTJhMmY5OQ.jpg
 
Unaishi kwenye chumba cha msichana alichotafutiwa na jamaa mwingine jiandae Kwa shambulizi la kushtukiza siku mwezi mwaka na sehemu usiyoitarajia
 
Asante Mkuu kwa Kutusanua...tahadhari kama hii/hizi hutolewa na watu Makini..!

Tutazingatia yaliyo ndani ya uwezo wetu.
Pamoja sana...!
 
Upinde na mishale yake,, Manati na mbewe zake, majani ya upupu saga unga wake, Vishale vya Dats unamlenga navyo kwa uso weeeee
 
Nimekumbuka kisa kimoja mitaa ya sinza usiku, nilimpiga manati ya mgongo mwizi! Kwanza alianguka!! Kisha akainuka akachomoka mbio!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom