mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 170
Mwalimu nyerere kama umeomba majina tayari
Tuwekee bhas mzee maan hayoonekanMwalimu nyerere kama umeomba majina tayari
Aangalie kwenye website ya chuo alichoombaNamaanisha umekosa hii round yan unarudiaje maana mhusika haelew m pia system za sahv sko aware nazo
pasi zake zinamruhusu?Sijajuwa n mchezo gani serikali inacheza mpaka sasa maana majina ya sec round ni machache sana na pia wanafunzi wengi hawajaona majina yao mwanangu analia tuu hapa vyuo vitatu na hajaona jina lake
zinamruhusu kabisa sema n mwanafunzi aliyemeliza diploma na upper second GPApasi zake zinamruhusu?
M sijaona kwakwel naomba tujitahd kutupia majina kama chuo kikitoaSaut wametoa majina au bado wakuu?
Hapo sawa maan me hta cwaelew wamen text kuwa nmechaguliwa lkn hta hy majina c yaonM sijaona kwakwel naomba tujitahd kutupia majina kama chuo kikitoa
SAUT NA MWALIMU NYEREREHivi kuna chuo chochote ambacho kimetoa majina ya waliochaguliwa awamu ya.pili?
Ukiachana na majina ya multiple selection yaliyotolewa na tcu.
Wamekutext chuo ganiHapo sawa maan me hta cwaelew wamen text kuwa nmechaguliwa lkn hta hy majina c yaon
SautWamekutext chuo gani
Naomba ya saut mjumbeSAUT NA MWALIMU NYERERE
Poa nikajua udsmSaut
Ukiona hvo ujue tumekosa kule tunatafuta msaada kwa wadau wengnUmepata bundle la kuingia jf ila umekosa bundle la kuingia tcu ambako maelezo yote yametolewa huko. Mwendokasi
Elimu bure, bure kabisa