hahahhahhhahhha nzuri hyo ndg umetingwa eeet eeeeHvi Jaman Mwenye Majina Single Udom Aweke Hapa Tuyagombanie
chaajabu kuna jamaa ang kakosa mwl nyerere af kwa profle yake kaandkiwa selections_are_not_yet_released.......!!!!!!!!Jamn vp tulioapply second round na majina hayapo kwnye majina walotoa TCU.. lkn profile zetu azijabadilika chochote?
Daah.. ssa cjui tufanyaje?chaajabu kuna jamaa ang kakosa mwl nyerere af kwa profle yake kaandkiwa selections_are_not_yet_released.......!!!!!!!!
Wamefanya hivo kwasababu kuna watu wamepewa nafasi ambao hawakuapply 1st n 2nd round kuna wengine waliomaliza system ya CambridgeNdugu dogo alikosa mara ya kwanza akaomba mara ya pili sasa majina yametoka walochaguliwa chuo kimoja na kuambiwa third round 24_26
Sasa naulza je vyuo bado havijatoa majina au sijaona tu na kama havijatoa mtu atajuaje amechaguliwa au la
Pili mtu unatumia web gan kulogin maana dogo haelew yaan kuangalia taarifa zako(profile) ili kama katemwa aombe tena
sasa ndg hzo single ndo znatoka ln????Wamefanya hivo kwasababu kuna watu wamepewa nafasi ambao hawakuapply 1st n 2nd round kuna wengine waliomaliza system ya Cambridge
SUA na UDOM tujuzane watakapotoa second selection,
Alafu pia najiuliza ni kwanini hadi sasa hawajatoa majina ilihali tcu wanasema mwisho wa third round ni tarh 26
Hvi Jaman Mwenye Majina Single Udom Aweke Hapa Tuyagombanie
Me sijui mkuu ila kuna vyuo baadhi naona wamesha post ila kuna vyengine bado
Ila nakushauli tu maana 3rd wanafunga leo sasa kama unasubir udom au udsm had wapost ndo uangalie na uwez ukajua kama umepata bora uapply vyuo vingene vya private ambako amna competition kubwa sana kama hivo vya govt
Kingine ukiangalia kwenye baadhi za kozi pale udsm admission capacity yake na idadi ya single select 1st bach na watu ambao hawaja confirm unaona kabisa kuna baadhi ya koz hawatawez kuongeza
Kwahiyo ukiapply 3rd round angalia na admission capacity kwa kila koz
ukipata pdf ya single za udom tupia mkuu tupate kuonaUDSM wameshatoa majibu kwenye account zenu and udom wamewapa tangazo LA kutoa majibu baadae bado mzumbe
kama Wewe2 Ulivyotingwa Kaka Mpishihahahhahhhahhha nzuri hyo ndg umetingwa eeet eeee
Mkuu mdogo wangu kachaguliwa mkwa bachelor of education in science sasa sijui kuna tofauti gani na bachelorof science with educationNDhan wengii humu walikuwa UDSM wameshajibiwa now wamekaa kimya na majibu yao
Sua ata mmi awajanijib chochte kwnye profile angWakuu kuna yoyote mwenye taarifa ya majina ya second selection ya chuo cha sua
SUA sijajua ila kwa wale wa udsm ingien kwenye account zenu wameshaanza kuachia selection resultsWakuu kuna yoyote mwenye taarifa ya majina ya second selection ya chuo cha sua
SUA sijajua ila kwa wale wa udsm ingien kwenye account zenu wameshaanza kuachia selection results
SUA sijajua ila kwa wale wa udsm ingien kwenye account zenu wameshaanza kuachia selection results