Tuna kazi kubwa sana ila pole pole tu tutafika hamna namnaMkuu upo sahihi
Ila mi nadhani pia baadhi ni watu wazima wenzetu hawajielewi
Tuna kazi kubwa sana ila pole pole tu tutafika hamna namnaMkuu upo sahihi
Ila mi nadhani pia baadhi ni watu wazima wenzetu hawajielewi
Okey sku nyingine jtahd kuwa straight jbu kama ulivoulzwa so kuanza kuulza vingine nje ya mada by the way mm so mwanafunz kama unavodhan ila kutokana na system zilvobadilika tangiapo nasoma ndo maana nkaulza coz sko aware na hz system mpya isitosheNilikuwa nataka nitoe msaada hapo ndiyo maana nikauliza ka apply chuo gani tuanze kumshauri pia.
Unajua nilichoongelea ? Mambo yenu mimi hayanihusu.afu usijiisi mtoto wa kiumeLabda ww ndo hujielew pamoja na hyo mwenzako anayeparamia mada em kuwen na logical presentation ya vtu vyenu
Yako hayaishi Boss wangu?Unaezaje kudai wenzio hawajielew angal badala ya kujibu unadai kichefuchefu yan leo umeyatindiganya nitake radhi kabisa
Unaeza kurelatisha mada na ulichoongeaRejea post yako au unatumia smu ya tecno kwamba imejituma
Kama sija ku quote basi jua sikuongea na weweRejea post yako au unatumia smu ya tecno kwamba imejituma
Okey yaishe lakn next time kama post hujaielewa uliza kwamba hapa vp mbona kuna walojbu afu kuandika selection second is not a big deal coz inaeleweka lakn pia kwa jins nilkuwa nmejichokea nilitaka kuandika selection tu ndo nkaongezea second sidhan kama ilikuwa na ugumu kias hchoYako hayaishi Boss wangu?
Kesho na hyo jtano zinaeza kutisha maybeIpo ivi TCU wanautani leo tarehe 24 wametoa taarifa kuhusu majina kutoka na majina yaliyotoka ni ya wale wa vyuo zaidi ya kimoja kwa wale ambao vyuo viwil aubzaid yapo Katika web ya TCU
Wamesema watawasilishamajina vyuo husika
Ikumbukwe ksh tare 25
Tar 26 mwish
Hapo bado mtandao haujasumbua ?
Uandishi wako wala hauna shida mada ilieleweka ila wenzio sasa walivyo reply ndio maana nilishangaa matumizi ya x badala s,c badala ya ch n.kOkey yaishe lakn next time kama post hujaielewa uliza kwamba hapa vp mbona kuna walojbu afu kuandika selection second is not a big deal coz inaeleweka lakn pia kwa jins nilkuwa nmejichokea nilitaka kuandika selection tu ndo nkaongezea second sidhan kama ilikuwa na ugumu kias hcho
My correction was normal I didn't know if I could stir a backlash. Mkuu samahani kama niliumiza hisia zako kwa namna yoyote na ile koment ya kukukosoa ktk title ya uzi wako nimei edit usiku mwema wote hapa.Okey sku nyingine jtahd kuwa straight jbu kama ulivoulzwa so kuanza kuulza vingine nje ya mada by the way mm so mwanafunz kama unavodhan ila kutokana na system zilvobadilika tangiapo nasoma ndo maana nkaulza coz sko aware na hz system mpya isitoshe
hii nchi ina mambo ya ajab sana mkuu.sijajua wanampango gani na sisi hawa jamaa
yan wanazngua knoma mpk sass HV account emptyhii nchi ina mambo ya ajab sana mkuu.sijajua wanampango gani na sisi hawa jamaa
Kipindi chetuu mifumo hiii ya admission ilikiwa mzuri sana lakin miaka hiii haiwezekan mwanafunz anakosa chuo na sifa anazo kabisa ....yan wanazngua knoma mpk sass HV account empty
Hata mimi nimeshangaa sana kk mkubwa haiwezekana umeweka course 4 alafu zote uk n sifa alafu et wanakutemaa daah naashangaa sana cjui tatizo ni nini?Kipindi chetuu mifumo hiii ya admission ilikiwa mzuri sana lakin miaka hiii haiwezekan mwanafunz anakosa chuo na sifa anazo kabisa ....
serikali inabidi iangalie kwa makin swala hili kama kungekuwa na MTU wa TCu humu ingefaaa sana pia na wwaandishi wa habari kuwasilisha haya mambo kwa jamii zetu watoto wetuu wanateseka sana hasa kama unaingia kwenye account na kukuta majibu ya ovyo ie enough capacity, enough space ..
mwanafunzi unachagua faculty tatu au NNE alafu unaambiwa zote zimejaaa kwelii hapa kuna kituu inabbidi serikal iangalie kwa makini.
Mzumbe na Udsm bado kabisa sijajuwa Udom hila Mzumbe system za data zao n pasua kichwaMsaada jamani mwenye link ya second selection kwa udom udsm na mzumbe kila nikisearch sioni majina ya waliochaguliwa dirisha la pili
Vyuo bado havijaanza kutoa majina, keep waitingMsaada jamani mwenye link ya second selection kwa udom udsm na mzumbe kila nikisearch sioni majina ya waliochaguliwa dirisha la pili
AsanteVyuo bado havijaanza kutoa majina, keep waiting
Tym imeenda Mkuu kesho dirisha linafungwaVyuo bado havijaanza kutoa majina, keep waiting
Mwalimu Nyerere wameshatoa majina mkaangalie sasaTym imeenda Mkuu kesho dirisha linafungwa