6ix9ine 411
Member
- Sep 2, 2018
- 33
- 13
Poa mkuu haina shidaShukran ukipata update yoyote ya sua tuambie mkuu
Poa mkuu haina shidaShukran ukipata update yoyote ya sua tuambie mkuu
Wakuu kuna yoyote mwenye taarifa ya majina ya second selection ya chuo cha sua
Nliwapigia wakasema majina hayapo chuoni..... Wakanishauli nifungue akaunti nyingine niombe tena, aaaaahhhhh inachoshaBado na Chuo cha Mzumbe wamekaa kimya
Yaan usijaribuu until wakujibu ni wajibu wao and umelipia pesa ya udahili ukiona kimya leoo usijaribu kutuma chochote kesho necta TCU uwaeleze then kitafahamika maana kila chuo lazima kitoe majina Leo hili Wanafunzi waweze kujuwa hatima yaoNliwapigia wakasema majina hayapo chuoni..... Wakanishauli nifungue akaunti nyingine niombe tena, aaaaahhhhh inachosha
Bado ni giza mkiiWale Wanafunzi wa SUA ingieni kwenye account zenu wameshatoa sasa
# sua wametoa tangazo kwamba kunashida ya kimtandao imejitokeza but wamefny utaratibu wa kuwasiliana na tcu kwaivo starting now second round wanaweza wakatoa majinaSua ata mmi awajanijib chochte kwnye profile ang