DRJJthomson
Member
- Sep 25, 2018
- 8
- 2
daaaaaah jaman hivi kuna aliyepata single selection za kcmc ,cuhas ,muhas ,& udom maana tumbo joto huku ndugu zangu na kesho ndo hyooooo msaada wakubwa
#######NAWASILISHA
#######NAWASILISHA
Mnaharibu lugha za watu bhana! Siyo Selection second in Second selectionNdugu dogo alikosa mara ya kwanza akaomba mara ya pili sasa majina yametoka walochaguliwa chuo kimoja na kuambiwa third round 24_26
Sasa naulza je vyuo bado havijatoa majina au sijaona tu na kama havijatoa mtu atajuaje amechaguliwa au la
Pili mtu unatumia web gan kulogin maana dogo haelew yaan kuangalia taarifa zako(profile) ili kama katemwa aombe tena
We jbu ulichoulzwaMnaharibu lugha za watu bhana! Siyo Selection second in Second selection
Dah mwaka huu wameamua kutukomesha..daaaaaah jaman hivi kuna aliyepata single selection za kcmc ,cuhas ,muhas ,& udom maana tumbo joto huku ndugu zangu na kesho ndo hyooooo msaada wakubwa
#######NAWASILISHA
nimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majima mengine hayajatumwaHuu mfumo ni pasua kichwa kweli kweli mpaka sasa vyuo kama mzumbe, udom and udsm hawajatoa majibu kwa wale waliochaguliwa chuo kimoja kati ya hivyo, mwisho wa kutuma maombi awamu ya tatu ni hiyo kesho sasa huo muda unapatikanaje?
Safi sana umefanya jambo LA muhimu pia wale wa Mzumbe nimewasiliana nao kuumuulizia mwanangu wamenijibu kesho watamaliza kazinimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majima mengine hayajatumwa
nimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majina mengine hayajatumwaHuu mfumo ni pasua kichwa kweli kweli mpaka sasa vyuo kama mzumbe, udom and udsm hawajatoa majibu kwa wale waliochaguliwa chuo kimoja kati ya hivyo, mwisho wa kutuma maombi awamu ya tatu ni hiyo kesho sasa huo muda unapatikanaje?
sawanimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majina mengine hayajatumwa
Washatoa mkuuM sijaona kwakwel naomba tujitahd kutupia majina kama chuo kikitoa
Let wait du ila kweli wanatukomesha aiseenimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majima mengine hayajatumwa
Single selection ?Washatoa mkuu
Washatoa mkuu
tuzidi kujuzana kwa taarifa zozote zile zitzkazo jitokeza wanajf maana daaaaah wengne aman imetoweka.......nimewasiliana na udsm na udom wamesema tusubiri hawajamaliza kufanya selection na hayo majina 600 ni machache sana wamesema bado majima mengine hayajatumwa
na wanavyozidi kufungia vyuo ndo kwanza comptition inazd kuota mapembe daaaaaah hapa ni kuomba mungu tyuuuuuDah mwaka huu wameamua kutukomesha..
vyuo gan hvyo ndugu....??Vyuo gn?
VP hii saut mwanza au saut mbeyaSaut sec selectionView attachment 877675