Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Duh,hawa wasomi wetu ni hatari sana
mkuu, yule dada (wengine humwitaga Betina) daktari wa Sheria anaidhalilisha taaluma, basi tu. Utaalamu wake wa Sheria unasaidia kulitumbukiza taifa kwenye janga.

ni kwanini wanasiasa wamekuwa na nguvu kiasi hiki? wamewameza wataalamu kirahisi sana! D. Trump hakuwa anakosea kuita ~shithole countries~

JESUS SAVES
 
Daa sasa itakuwaje hapa yaani.

Kuna simbirisi wapo Wafasi FM leo asubuhi walikuwa wanafanya jocks kwa hotuba ya mwenyekiti wa CDM Mbowe huku wakicheka kwa dharau, hivi wanaweka wapi makalio yao soon hapo?.

Ila kwa nilivyoelewa CCM na watu wao hawana haya hata kidogo kwa issue hii, same like na video inayotrend huko X, sorry tweeter!.
 
mkuu, yule dada (wengine humwitaga Betina) daktari wa Sheria anaidhalilisha taaluma, basi tu. Utaalamu wake wa Sheria unasaidia kulitumbukiza taifa kwenye janga.

ni kwanini wanasiasa wamekuwa na nguvu kiasi hiki? wamewameza wataalamu kirahisi sana! D. Trump hakuwa anakosea kuita ~shithole countries~

JESUS SAVES
.
20230607_003514.jpg
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki"
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano
7. Hakuna muda wa mkataba
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea

kama kweli ni kamati ya Bunge imetoa maoni na mapendekezo haya niwape hongera sana.mmeliokoa taifa na janga kubwa

d. Muda wa utekelezaji Mkataba huu haujawekwa bayana, bali Ibara ya 231) inasema kuwa ukomo wa Mkataba huu ni mpaka hapo shughuli zamradi huu zitakapokuwa zimekamilika. Serikali iombwe kutoa ufafanuzikuhusu jambo hili la ukomo wa Mkataba.

maana yake ni mkataba wa milele mpaka Yesu arudipo
 
Unaweza ukawa mtego wa kupunguza ama kuondoa kelele

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Hebu mfanye kunisaidia kuwa-TAG wale wapiga zumari wa CCM popote walipo. UPINZANI wameibuka kidedea again, ushindi wa bureee.
Siyo wapinzani mkuu. Sema wapenda nchi wameibuka kidedea. Waliyokuwa wakiupinga mkataba huu ni wananchi wenye vyama na hata wasiyo na vyama.

Waliyokuwa wakiuunga mkono mkataba huu ni waliyoenda Dubai hivi karibuni akiwemo mh Msukuma na chawa wa kiha ambao ni mwijaku na baba levo.
 
Back
Top Bottom