Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

Shuka ungalimited ukilipita kanisa katoliki la ungalimited kwa chini yake kuna kituo cha Charismatic kama sijasahau kinaitwa kituo cha St Joseph wanamaombezi mazuri. Pia wanalaza watu wanaotoka mbali au wanaotakiwa kupewa huduma ya uangalizi wa kiroho.
Wapo vizuri sana kuna masista na mapadri na watumishi wa kawaida..Ila ukilala utachangia chakula.
Kama upo interested niambie nikupe namba ya mtumishi mmoja akupe maelekezo ya vipindi vya maombezi na ibada
 
Shuka ungalimited ukilipita kanisa katoliki la unfalimited kwa chini yake kuna kituo cha Charismatic kama sijasahau kinaitwa kituo cha St Joseph wanamaombezi mazuri. Pia wanalaza watu wanaotoka mbali au wanaotakiwa kupewa huduma ya uangalizi wa kiroho.
Wapo vizuri sana kuna masista na mapadri na watumishi wa kawaida..Ila ukilala utachangia chakula.
Kama upo interested niambie nikupe namva ya mtumishi mmoja akupe maelekezo ya vipindi vya maombezi na ibada
Unazungumzia karibu na pale njia ya sinoni?au kituo cha daladala cha masista?
Sawa mkuu karibu pm,
 
Shuka ungalimited ukilipita kanisa katoliki la unfalimited kwa chini yake kuna kituo cha Charismatic kama sijasahau kinaitwa kituo cha St Joseph wanamaombezi mazuri. Pia wanalaza watu wanaotoka mbali au wanaotakiwa kupewa huduma ya uangalizi wa kiroho.
Wapo vizuri sana kuna masista na mapadri na watumishi wa kawaida..Ila ukilala utachangia chakula.
Kama upo interested niambie nikupe namva ya mtumishi mmoja akupe maelekezo ya vipindi vya maombezi na ibada
Kijana kumbe nawe upo Archuga,
 
Njoo hemani kisongo kwa nabii mkuu Geo Davie hata kama una shida ya kutokuwa na nyege utapona tu wewe na huyo Shoga ako

Tazama hilo pozi la kihuduma la nabii mkuu uanze kupokea uponyaji sasa.
FB_IMG_15883644642912284.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom