Mgawanyo mbovu wa fedha, Arusha kawaigeni basi Kakonko

EricMan

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
1,724
2,922
Maana halisi ya mgawanyo mbaya wafedha, mji mdogo kama mtaa wa Kisukuru kule Tabata unajenga stendi yenye hadhi ya jiji la Arusha. Kakonko haina basi la aina yoyote linaloanzia hapa ukipita asubuhi ni Probox tu, kufikia saa tisa stendi inakuwa kijiwecha boda.

Nikipita hapo najiuliza Hivi pale kwetu Arusha na ujiji wote ule kweli STENDI STENDI STENDI Inatushinda au kwamba Uchadema ndio Mwingi Ama shida ni nini.

Iwaje hako kamtaaa kawe na Stendi nzuri, alaf Arusha JIJI tuwe na kauchochoro kama kale.

Stendi Mpaka Makampuni mengine yamesusa kwasababu ya ufinyu wa nafasi.

Ona BM, Abood, na Kilimamoja wameamua kukaa zao pale Florida na kuisusia stend.

Akina ester na wengine wameamua kukalia zao kuleee stendi ndogo.

Mabasi mangapi hayaingii stendi yakaleta mapato ya halmashauri. Stendi ingekuepo, pesa kiasi gani ingekusanywa kwa viingilio vya stendi.

Screenshot_20240219-172327_Instagram.jpg
 
Stendi ni muhimu na sidhani kama Arusha wameshindwa kufanya hivyo nafikiri ni suala la uamuzi tu, na nina hakika hilo jambo litafanyika soon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom