Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

Shuka ungalimited ukilipita kanisa katoliki la ungalimited kwa chini yake kuna kituo cha Charismatic kama sijasahau kinaitwa kituo cha St Joseph wanamaombezi mazuri. Pia wanalaza watu wanaotoka mbali au wanaotakiwa kupewa huduma ya uangalizi wa kiroho.
Wapo vizuri sana kuna masista na mapadri na watumishi wa kawaida..Ila ukilala utachangia chakula.
Kama upo interested niambie nikupe namba ya mtumishi mmoja akupe maelekezo ya vipindi vya maombezi na ibada
Ha ha haaa,njia ya kwenda engo.
 
kuna yule anaitwaga nabii Hebron, si na yeye yupo hukohuko arusha? hivi hawa manabii na kule vijijini hard to reach huwa wanatoa huduma huko? RIP Mchungaji Peter Mitimingi
 
Mwamposa maeneo hayo haji?
Ukakanyage mafuta.
Maana wewe huna imani na huyo Mungu wako ,mpaka uombewe na mwingine
Hapo ndipo ninapowashangaa hawa watu.
Lakini sio mbaya acha wakina gwajima na mwamposa watajirike kupitia wajinga kama hawa maana ndio fursa yao.
Wakijanjaruka wakina gwajima watashindwa kutajirika na watashindwa kumiliki Range rovers
 
Kutokamatwa sio kigezo cha kutokuwa tapeli.
Kwani kila tapeli ni lazima akamatwe?watu wanaamua kupotezea kwa sababu wajinga wanapeleka hela wenyewe bila kulazimishwa,sasa ni nani apoteze muda kwa sababu ya wajinga.
Wakikusanya hela kwa wajinga wakalipa kodi kwa serikali inatosha
Kama ni tapeli kwa nn hajakamatwa?

Acha wivu mpendwa huyo ni mtumishi mwenye upako
 
Wanaotapeliwa wapo kimya wewe unakuuma nn?
Kutokamatwa sio kigezo cha kutokuwa tapeli.
Kwani kila tapeli ni lazima akamatwe?watu wanaamua kupotezea kwa sababu wajinga wanapeleka hela wenyewe bila kulazimishwa,sasa ni nani apoteze muda kwa sababu ya wajinga.
Wakikusanya hela kwa wajinga wakalipa kodi kwa serikali inatosha
 
Soma comment yangu vizuri uelewe usipapalike tulia dawa ikuingie.
Nimesema tunapotezea kwa sababu wajinga mnakubali wenyewe kupeleka hela zenu.
Hakuna mahalinimeandika kuwa naumia
Wanaotapeliwa wapo kimya wewe unakuuma nn?
 
Basi kama hujaumia kaa kimya na CCM wakikuibia kaa kimya nabii ataendelea kupewa mshiko kihalali kabisa maana nakuona pia hujui kama JPM anaishi kwa kula pesa za michango yako mbu wa dengue 😂😂
Soma comment yangu vizuri uelewe usipapalike tulia dawa ikuingie.
Nimesema tunapotezea kwa sababu wajinga mnakubali wenyewe kupeleka hela zenu.
Hakuna mahalinimeandika kuwa naumia
 
Bora Jpm hata akila michango kuna flyovers,standard gauge rail,bombadiers tunaziona.
Wewe ukimpelekea hela gwajima anakuonyesha kitu gani zaidi ya kuwaonesha video yake akimfukunyua mrembo kwa kutumia hela zenu.
Basi kama hujaumia kaa kimya na CCM wakikuibia kaa kimya nabii ataendelea kupewa mshiko kihalali kabisa maana nakuona pia hujui kama JPM anaishi kwa kula pesa za michango yako mbu wa dengue
 
Back
Top Bottom