Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

Shuka ungalimited ukilipita kanisa katoliki la unfalimited kwa chini yake kuna kituo cha Charismatic kama sijasahau kinaitwa kituo cha St Joseph wanamaombezi mazuri. Pia wanalaza watu wanaotoka mbali au wanaotakiwa kupewa huduma ya uangalizi wa kiroho.
Wapo vizuri sana kuna masista na mapadri na watumishi wa kawaida..Ila ukilala utachangia chakula.
Kama upo interested niambie nikupe namva ya mtumishi mmoja akupe maelekezo ya vipindi vya maombezi na ibada
Mkuu samahani. Umewai ishi Arusha
 
Naunga hoja kwa nguvu zote...! Kaa na Mungu wako omba usiku na mchana! Usk mkali amka omba eleza shida zako...!
The same thought here, mfano chukulia tu mimi kama baba mwanangu aende kumuomba baba mwingine aje kumuombea mahitaji yake kwangu, je mimi kama baba nitajisikiaje? Inapoteza kitu special hata kama nitamsikiliza, kwa Mungu sasa Ingawa Mungu wetu ni mwingi wa neema na rehema bado anafanya utendaji bado anatupa miujiza ila inatakiwa tujenge mahusiano ya karibu sana na Mungu na kujenga mazoea ya kuongea nae, yoyote anesoma hapa aelewe hili.
 
Njo kwa nabii Ernest mpakwa mafuta wa Mungu ..yupo maeneo ya Engosheratoni..hutojutia uwamuzi wako wa kuja.
 
N
Utakuja nikupatie namba ukihitaji mkuu uwasiliane nao..Achana na safina sijui manabii utaombwa hela ya kupanda mbegu😂😂
Nataka aende leo, Vip atapata Huduma?
 
Wakuu Naomba kuuliza kwa hapa Arusha wapi tutapata Nabii, Padre atakaeweza kuombea mtu na akapona shida yake.
Asante

Popote pale anapohubiriwa kristo wa kweli atapata kufunguliwa.Sharti moja kubwa ni lazima aamini kwamba anayemponya ni Mungu siyo kanisa wala nabii.Kama anahisi ana dhambi flani atubu kwanza kwa dhati. Halafu aanze kumueleza Mungu shida zake.Atapata matokeo ndani ya muda muafaka
 
Back
Top Bottom