Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

Sehemu gani nzuri ya maombi Arusha

Na pia sio wote wamepewa karama hiyo!


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wamejaliwa karama hadi unashangaa. Mm namjua rafiki wa mdogo wangu ana kama miaka 21 ila anauwezo mkubwa wa kuponya na maono kuliko hata wachungaji zake. Halafu alikua bishoo hatariiiii uhuni kwake. Bora roho wa Mungu kamshukia..aliwahi kumponya mama
 
Gwajima ni Freemasonry acha awagange wenye nyege, ila nabii mkuu Geo Davie yeye hula sadaka huku akiwafungua wote waliofungwa na shetani, JPM hutumia michango yetu kujenga kijiji chake cha Chato

wote hao ni wapiga hela tu
Bora Jpm hata akila michango kuna flyovers,standard gauge rail,bombadiers tunaziona.
Wewe ukimpelekea hela gwajima anakuonyesha kitu gani zaidi ya kuwaonesha video yake akimfukunyua mrembo kwa kutumia hela zenu.
 
Ntafute pm nkupe majibu sahihi usije ukaenda kwa watu walioko freemasoni
 
Back
Top Bottom