Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Hivi huko ushuani huwa wana wajumbe wa nyumba kumi na wao?
Ndiyo.

Kama ilivyo Tandale kwa tumbo au kilungule kwa mkubwa fellah kulivyo ndivyo utaratibu wa kiserikali kwa maeneo ya ushuani Kama Mbweni,masaki,Mbezi beach kwa Daimond na kijichi kwa zombe kunafanana.

Tofauti ni ustaarabu tu.
 
Hongera san nataman kuingia mule ndani
Tangu ameingia Magufuli na Sasa mama Samia,ikulu kumekuwa kwa kikuda Sana.

Imagine wameziba hadi kuta za fences ili mradi tu wapita njia wasione wale tausi mle ndani. Kule chini baharini ndiyo balaa,ukienda hata kwa kupotea njia utarukishwa kichura hadi makende yalalamike kwenye suruali kmmk.
 
Tangu ameingia Magufuli na Sasa mama Samia,ikulu kumekuwa kwa kikuda Sana.

Imagine wameziba hadi kuta za fences ili mradi tu wapita njia wasione wale tausi mle ndani. Kule chini baharini ndiyo balaa,ukienda hata kwa kupotea njia utarukishwa kichura hadi makende yalalamike kwenye suruali.
Duh bora umenipnya mapema saN
 
Fun city sijawahi kwenda...
Hivi hata michezo ya wazee kama sisi ipo? Au ni ya watoto tu
Wazee mnaungana na watoto kuendesha magari na bembea.

Ukija mwenyewe hautakuwa bored maana kuna vingi vya kukufanya uwe busy.
 
Back
Top Bottom