nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
- Thread starter
- #61
Unatumia gari gani we we....Kwenye kirikuu haitoshi
Mm nataka unipeleke mpiji magohe
Unatumia gari gani we we....Kwenye kirikuu haitoshi
Tandale,vitongoji vya vingi vya ubungo,mburahati,kigogo,mwananyamala,kinondoni panasubiri Sana kwa Buza kwa uzuri wa mijengo na barabara. Buza ni kuzuri hayo maeneo hayatii pua.Watu wanapachukulia kama Tandale ,,,kwa Tumbo
🥱🥱🥱🥱🥱🥱...Ndiyo maana mwalimu wako ni maskini mpaka leo
Tena kote ulipopataja kuna nyumba za zamani tu.Tandale,vitongoji vya vingi vya ubungo,mburahati,kigogo,mwananyamala,kinondoni panasubiri Sana kwa Buza kwa uzuri wa mijengo na barabara. Buza ni kuzuri hayo maeneo hayatii pua.
Ahaha sawa twende mkuuMzee nmekuwa nzi tena.
Mm nachagua root yangu ,kwa wakati wangu.
HAIWEZEKANIKariakoo
Mpeleke na beach ya wajeda mbweni.Pako poa, hali ya hewa nzuri sana.
Weka mafuta nikupeleke kesho
Nyingine anaongezea nashukuru mzimaImekua boda au
Unatak nirudi nimebebwa naogopa wanajeshi mimi
Kisemvule sio DarChamazi, kisemvule, kwa mpalange na magwepande
Me nina baskeliUnatumia gari gani we we....
Mm nataka unipeleke mpiji magohe
Nilipofika tuu Dar route ya kwanza, ni kupaona huko Buza kwa mpalange.Tandale,vitongoji vya vingi vya ubungo,mburahati,kigogo,mwananyamala,kinondoni panasubiri Sana kwa Buza kwa uzuri wa mijengo na barabara. Buza ni kuzuri hayo maeneo hayatii pua.
Mm ntakuwa na root yangu na mrembo ya kwenda mpiji magohe,,we we pambana na hali mzee Elfu Saba si Hela ya kuonga mademu wa uswahiliniNyingine anaongezea nashukuru mzima
Mbweni kwa washua kule nikimpeleka atagoma kurudi uswazi kwao huyo😅
Ahahahah karibu mpijiMm ntakuwa na root yangu na mrembo ya kwenda mpiji magohe,,we we pambana na hali mzee Elfu Saba si Hela ya kuonga mademu wa uswahilini
Mafuta ya nini lakini?Me nina baskeli
Umeona eeMbweni kwa washua kule nikimpeleka atagoma kurudi uswazi kwao huyo😅