Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Masaki na osterbay napaona tu kwenye kioo
Ni ngumu Sana kufika masaki Kama hauna inshu ya kwenda kufanya,maana kumejitenga,hata ukienda na daladala ndiyo mwisho wa gari.

Simlaumu mtu akiniambia yupo Dar Miaka mingi ila hapajui masaki. Ila oysterbay ni rahisi kufika au kupajua maana ni njiani,mfano pale jangid kwa ontario ni oyster Bay,Koko Beach,Don Bosco. Kote huko njiani.
 
Back
Top Bottom