Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

Hahah dah nimesikitika sana ila nitasoma comments, keep the screenshots coming!
 
Kuna mtu niliwahi kumuuliza kwa nn ana watu wengi kwenye sim card yake akanijibu ili awe na wasap views wengi, binafsi nna watu kama 150+ na hapo nawaona wengi mno
 
Watoto WA 2000😸
Kabisa maana mi nakumbuka enzi za fb miaka ya 2010s nilikuwa nikipost picha nashinda kufatilia likes mpaka zifike 500 au 1000 hapo najiona mjanja.

Siku hizi nikipost hata sijui nani amelike au hajalike labda ntasoma comments, status nikiweka hata siwajui wanaoview na mimi mwenyew ni mvivu wa kuview status za watu naweza kukaa hata siku 3 sijaview.
 
Back
Top Bottom