Screen toucj balaa

Hii desktop yetu hapa kijiweni ni touch ksreen,
huwa inanisumbuwwa sina..........!
hivi YNNAH wewew unwyo tach kisrin kpia?

Hahahahahaaa....yani nimecheka. Kwakweli itabidi na mimi niwe na screen touch wallah!
 
Last edited by a moderator:
BI DADA KANUNUA CM MPYA... Screen
touch..!!!
Mdada : bebi mambwo
Jamaa : poa nambie
Mdada : vipw umelalwa?
Jamaa: unasemaje? Cjakuelewa hapo.
mdada : nauliza umelalwa?
Jamaa: mmmh! Cjalala baby hata ucngiz cna.
Mdada : mim menyew cjalwala ---- mijitu
inapiga kelelw hapa nje kwetu hadi inaboo wa.
Jamaa: unasema kumaa?
Mdada : kuna kelelwe hapa nje ya numba yetu
usingwizi hakuna kabwisa.
Jamaa: hahaha pole huny.
Mdada : bwebi mbona unanichekwa sasa?
Jamaa: jaribu kuandika vizuri baby.
Mdada : hehehehwehwehwe. Cunajua simu
mupya alafu skirini tachi kila nikibinya elufi hii
inakuja elufi ingine. Pwelo bebwi wangu.
Jamaa : hahhaaa haya myn.
CHEZEA SCREEN TOUCH WEUWEE...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom