Screen toucj balaa

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
-- BI DADA KANUNUA CM MPYA... Screen
touch..!!!
Mdada : bebi mambwo
Jamaa : poa nambie
Mdada : vipw umelalwa?
Jamaa: unasemaje? Cjakuelewa hapo.
mdada : nauliza umelalwa?
Jamaa: mmmh! Cjalala baby hata ucngiz cna.
Mdada : mim menyew cjalwala ---- mijitu
inapiga kelelw hapa nje kwetu hadi inaboo wa.
Jamaa: unasema kumaa?
Mdada : kuna kelelwe hapa nje ya numba yetu
usingwizi hakuna kabwisa.
Jamaa: hahaha pole huny.
Mdada : bwebi mbona unanichekwa sasa?
Jamaa: jaribu kuandika vizuri baby.
Mdada : hehehehwehwehwe. Cunajua simu
mupya alafu skirini tachi kila nikibinya elufi hii
inakuja elufi ingine. Pwelo bebwi wangu.
Jamaa : hahhaaa haya myn.
CHEZEA SCREEN TOUCH WEUWEE...!!
 
Inkoskaz
Unaendeleaje kwanza?

Mi nakuambia hii screen toch ni balaa,
haki ya nani nina kasimu hapa kila leo
ni lazima niandike matukano, loooo
naona kama uliniona vile, usiombe uingie
whatsap mweee daaah.
 
Last edited by a moderator:
Inkoskaz
Unaendeleaje kwanza?

Mi nakuambia hii screen toch ni balaa,
haki ya nani nina kasimu hapa kila leo
ni lazima niandike matukano, loooo
naona kama uliniona vile, usiombe uingie
whatsap mweee daaah.
Mamndenyi mi naendelea poa...hatari kama mtu mwenyewe ulikuwa unamtumia msg mnaheshimiana na msg ishaenda!
Pwole wangi ndi skrin tauchi hiz bwebwe
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naona nawe una screen touch badala ya kuandika moja umeandika mija...hahahahahaaa

Hii desktop yetu hapa kijiweni ni touch ksreen,
huwa inanisumbuwwa sina..........!
hivi YNNAH wewew unwyo tach kisrin kpia?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom