Tucheke kidogo na hii conversation ya wapendanao!

mcmalck

Senior Member
May 25, 2012
134
57
Hizi touch screen zinavyosumbua watu mdada kanunua cmu mpya Screen touch

Mdada: Bebi mambwo?
Jamaa: Poa nambie
Mdada: Vipw umelalwa?
Jamaa: Unasemaje?
Mdada: Nauliza umelwala?
Jamaa: Mhhhh! Cjalala baby hata ucngz cna

Mdada: Mim menyew cjalwala ---- mijitu inapiga kelelwe hapa nje kwetu hadi inaboowa

Jamaa! Nin?

Mdada: kuna kelwele hapa nje ya numba yetu usingizwi hakuna kabiswa

Jamaa: hahahaa pole baby

Mdada: Bwebi mbona unanichekwa sasa?

Jamaa: Jaribu kuandika vizuri hunny

Mdada: Hehehwehwe, cunajua cmu mupya alafu sikirini tachi kila nikibinya elufi hii inakunya na nyingine. Pwelo bebwi wangu

Jamaa: Hahahaa haya dia
 
Nimejitahidi kucheka nimeshindwa, nikataka nijichekeshe bado ikashindikana. Nimejitahidi kujitekenya bado nimechemka.

Hebu fanya mpango wa kichekesho kingine. Nataka sana kucheka leo nitoe gas kwa tumbo. Maharage ya Kilosa si rafiki kwa tumbo la mnywa bia na biskuti.
 
Mkuu bandama yako lakin iko pouwa? Hauna stress? Mana naeza nikaleta kingine kikawa ni kazi buree tu
 
umeona eeeh jirani vipi mbona umepotea sana jirani yangu

Jirani yangu si unyamaze tu..huku kwetu siku hizi kiangazi sasa ngo'mbe naenda kuchunga mbali penye nyasi mbichi.
Nakuambia ni balaa kuwa rudisha kwa boma kisha nichukue ka mpakato kangu haka nimesha choka..
Siku hizi naingia kama guest tu nachungulia leo jirani kaandika nini kisha nasinzia.
 
hahahahahahaha pole jiranj but uza ng'ombe ule bata jirani utazeekea msituni ohooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom