Say no to CHAPUTA

Asanteni wote kwa ushauri, nawafatilia vizuri.. kuhusu kutafuta dem shida ni kuwa bado nina wasiwasi na perfomance yangu niasije kuaibika
wasiwasi wako tu mkuu..
ushajiwekea mawazo ya kutopeform vizuri hebu twist psychology yako ujione we ni mwanaume rijali halafu omba mechi..
mi ni mwanachama mzuri tu wa chaputa na weekend hii nilikua na mechi mkuu asikuambie mtu hapa naona utitiri wa meseji za kusifiwa maana kit.ombo nilichompa anasema hajawahi pewa toa azaliwe
 

Anza kubet utaacha tu
 
Mkuu hapo mi naogopa kutangazwa, ukizingatia nipo chuo hizi habari za kushindwa mechi zikienea si ntakosa pa kujificha.
 
mrudie MUNGU wako sali sana naamin atakusaidia weka nia ya kuacha kabisa
nyeto madhara yake hayatokei papo kwa papo ila inakuathir taratibu kadri siku zinavyozidi kwenda
hupunguza sana uwezo wa kufikiri na kutunza kumbumbu.
epuka kuwa mtumwa wa mwili wako jitahidi sana ku control hisia zako.

Madhara yake mengine ni kuwahi kufika mshindo na kushindwa kuendelea na mashine kusinyaa na hata nukijaribu kuvuta hisia haikubali kusimama

Yapo madhara mengi sana ambayo yatakuja tokea baadae kama ww ni muumin wa hii kitu acha mara moja

mm nimeweza kwa kuitanguliza sala mbele na kuweka nadhir ya kutofanya tena naamin na ww unaweza
kama umeathirika na hii kitu kwanza amua kuachana nayo pia jipe muda kama miezi minne hadi sita ukiwa una
fanya mazoezi ya viungo
una kula karanga
una tumia kitunguu swaumu
una tumia asali

ili kuweza kurudisha uwezo wako wa zaman
 
Jitahidi usirudi tena huko!
 
Sija kusoma hapo kwenye namba nne
 
hahahhaa Engineer ..mwana ME mwenzanguu...nafataliaa sanaa reply zako..ilaa kwa hii nmechekaa sanaa...
Punyetoo juuuuuu
 
sema pono ndo mchaw wa yote uza smartphone iyo tumia kitochi kwa muda wa miezi 4 iv huku ukiwa na nia ya kuacha alafu uje utupe mrejesho
 
Kuna jamaa yangu anapiga sana na akipata demu anaua kama kawa according to him. Piga nyeto usizidishe Kula vizur kunywa maji mengi mwili uwe na nguvu. Nyeto for life.
 
Kuna jamaa yangu anapiga sana na akipata demu anaua kama kawa according to him. Piga nyeto usizidishe Kula vizur kunywa maji mengi mwili uwe na nguvu. Nyeto for life.

hapana ukipiga sana unakuwa mlemavu
 
Mimi nina ushahidi maana nilipiga mpaka mashine ikawa inesinyaa kama ya mtoto
Nenda kwa wataalam wa kisaikolojia
Mm nimesoma form one hadi Six shule za wanaume tu
Tulikuwa tunapiga nyeto at least mara tatu kwa siku
Tena tunatazamana bafuni au bwenini
Lkn mbna sina tatizo lolote?
Watoto saba mama tofauti
Na sijawahi wa disappoint mbona?
Anyway mm ni mnyakyusa tumejaaliwa kuwa na vilema huku chini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…