Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

Sioni mantiki ya kubishana na Elimu ya Mzungu wakati kitaa wengi wanasubiri Huruma ya Rais Hata Dunia haitaki average people wanaotegemea syllabus Education Dunia inatakq different people who specialize in very small area but depended by large number of people or serve the community,A ,B or C are just the qualifications of people who are cowards and they relie much on their professionalism not produce new thing which is unique ,all in all you are just speak the issue of dependent not liberation we expect to be liberated from education and not employment
 
OOOH hapo sawa nimeelewa, nilidhan bongo hii kuna mtu monthly ana salary ya hivyo sisi tutakaki na vi 300k zetu maisha yaendelee
Bongo hakuna mwenye mshahara huo serikalini, ila kuna WEZI WANAOIBA KIASI HICHO KILA MWEZI KUTOKA SERIKALINI
 
Sasa hii ni moja kati ya kitu kilicholeta hoja, alisoma Account & Finance ana Big 4 yao, Alisome Civil Engineering kuna Big 4 yao, aliyesoma Aviation pia kuna Big 4

Hivyo mtu anakuja kwenye mjadala na kuzungumza Big 4 ni PWC, EY, Delloite na KPMG huo anakuwa hajafunguka kimtazamo wa dunia.

Ndio maana hata wewe umemshangaa kwa sababu hata Premier League ina Big 4 na HATAKIWI KUKUONA MJINGA KISHA HUJUI BIG 4 YAKE.

Safari bado ni ndefe abadani
Kabisa mkuu.kila course ina Big 4 zake.ni mtu ambae ana ego, anajisikia na dharau.
 
Bongo hakuna mwenye mshahara huo serikalini, ila kuna WEZI WANAOIBA KIASI HICHO KILA MWEZI KUTOKA SERIKALINI
hao washakuwa wezi huwez kuwalinganisha na hawa daily mvua na jua vyakwao kutwa kucha wanawasujudia wasiositahili
 
Naona vilaza mliofeli darasani mnafarijika sana mnapoona sie tuliokua tunawaongoza kitaaluma shuleni tunapofeli maisha.

Kusoma sana na kufaulu kuna umuhimu wake. Usiache kumkazania mwanao akawa best in academics maana the future will be very bright kwake despite of some minor corrugations on the way!!!
Kwakweli tujitahidi Watoto wetu wasome wafaulu tusiosoma tuache wivu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu asiposomaa akikutana na Aliesoma alafu maisha yanampigaaa huwa anafurahii sanaa bila kujua Aliesoma anapigika kwa muda tuu...!! Better days zitakujaaa sio kwambaa ambae hajasoma hazitakuja ila kwa jashoo sanaa lasivyo atumie Ndumbaa..
 
Ulichofanya wewe kinaitwa Strawman fallacy.

Sisi watu wa big 4 tumefundishwa tusijibu hoja za strawman fallacy

Inawezekana ukawa hujui maana ya strawman fallacy.

Straw man fallacy is the distortion of someone else's argument (instead of addressing the actual argument) to make it easier to attack.
[emoji23][emoji23][emoji23] spana kali [emoji375][emoji375][emoji375]
 
Kupata A na first class ni mafanikio. Mimi I did so well in school, nilipa degree in Accounting kwenye year 2002, na CPA 2004.

Sikuwahi ajiriwa mda mrefu, only 8 months mpaka leo nafanya biashara, najitegema, hizi biashara nazo fanya sio kwa kutumia taaluma yangu.

Ila nataka nikueleze elimu yangu na performance zangu nzuri zimenipa fursa nyingi sana katika biashara, relevant discussions na uelewa.

Kupata A zote, GPA nzuri ina impact na ni jambo jema, ni upumbavu na ujuha kuleta swala la Ajira na kuhoji sababu za kupambana ku perform vizuri.

Baada ya kufaulu hukujibweteka kwa kuwa umefaulu.
Ulitafuta shughuli ukafanya na pia ni shughuli ambayo ni nje na uliyosomea. SASA HIYO NI HOJA YA MADA HII.
After you passed your studies do more to sustain yourself and community at large.
 
Akili ni nini wewe Mtu? Maana huo ni mjadala, dunia nzima, ulimwengu wote umeweka namna ya utambuzi na ufanyaji kazi, na huo unahusisha performance kwenye grades A, B..... Sasa sijui shida yako ni nini.

Sio duniani kote, walio endelea wanafanya competent based na sie tunafanya memorization.
 
soma vema rafiki Havard University/month/usd... na nimesema nchi za wenzetu siyo zetu hizi za manyani, wezi etc etc

Kwa hiyo unajiita nyani na wazazi wako pia??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio mnasema watu siku wameelimika??
 
Sioni mantiki ya kubishana na Elimu ya Mzungu wakati kitaa wengi wanasubiri Huruma ya Rais Hata Dunia haitaki average people wanaotegemea syllabus Education Dunia inatakq different people who specialize in very small area but depended by large number of people or serve the community,A ,B or C are just the qualifications of people who are cowards and they relie much on their professionalism not produce new thing which is unique ,all in all you are just speak the issue of dependent not liberation we expect to be liberated from education and not employment

And the real question is what is the impact after your 1st class degree?
But young boys of today can’t argue instead they’re doing personal attacking
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu asiposomaa akikutana na Aliesoma alafu maisha yanampigaaa huwa anafurahii sanaa bila kujua Aliesoma anapigika kwa muda tuu...!! Better days zitakujaaa sio kwambaa ambae hajasoma hazitakuja ila kwa jashoo sanaa lasivyo atumie Ndumbaa..

Ubunifu na kujituma.
Msanii wenu Diamond kaajiri wangapi? Ana elimu gani?
Bakhera kaajiri wangapi? Ana elimu gani?.
Kijana soma faulu sana tu lakini njia ya kutokea nyepesi ni ubunifu wako.
 
Sio duniani kote, walio endelea wanafanya competent based na sie tunafanya memorization.

Unajua nilichoandika? Sijaongea mambo ya craming, ukitaka kwenda kusoma USA leo, wanachukua vyeti vyako wanaenda kutafsiri matokea yako then wana ku admit, kwa hiyo ina maana grades zako ndo zinatumika, whether ume crame au umemuelewa mwalimu hiyo labda wakufanyie scanning ndo watajua.
 
Baada ya kufaulu hukujibweteka kwa kuwa umefaulu.
Ulitafuta shughuli ukafanya na pia ni shughuli ambayo ni nje na uliyosomea. SASA HIYO NI HOJA YA MADA HII.
After you passed your studies do more to sustain yourself and community at large.

Kwa hiyo hoja sasa sio kwamba upate C, hapana ni kwamba usijibweteke, haya jadilianeni mfute Tittle ya andiko, taratibu tunaelewana.

Au una maana watu wote wenye ufaulu mbovu hawajibweteki? Yani ukishafeli unakuwa very smart unakuwa na activation key ya kupambana?
 
Ninapata ajira haraka kwenye big 4.

Wewe ambae huna hizo sifa pambana na ajira za utumishi; kazi za wahindi ama ujobless

Taja jina la best student wa udsm, mzumbe ama udom ambaye hana ajira.

Huwezi mpata maana wanachukuliwa na Big 4 mapema sana
Fungua code hiyo Big 4
 
Back
Top Bottom