Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

Kwa hiyo hoja sasa sio kwamba upate C, hapana ni kwamba usijibweteke, haya jadilianeni mfute Tittle ya andiko, taratibu tunaelewana.

Au una maana watu wote wenye ufaulu mbovu hawajibweteki? Yani ukishafeli unakuwa very smart unakuwa na activation key ya kupambana?

Rejea hoja tangia awali.
Au kwa kuwa lugha imechanganywa?
Shida ya waswahili wengine mnafanana.
Tunapenda kila kitu tuelezewe na wanasiasa ndio wanatumia ujinga huu wa wengi kutuambia hata ukiwa na dini usisemee bandari.
 
Yani kila uzi tuliosoma computer science mnatudisi😬
Nakubaliana na mleta mada.
Kwanza kufaulu sana mitihani darasani sio kwasababu unaakili but ni uwezo wako wakukariri ulivhofundishwa. Elimu ya mkoloni haimjengi msomi kujitegemea na kuchambua mambo kwa kutumia akili yake mwenyewe bali huwajenga kuwa tegemezi na kubana uwezo wao kufikiri

Ni ujinga kujiita msomi mwenye A ya math au GPA first class ya computer science wakati hata ujuzi wa kutengeneza cryber security au virus za udukuzi unashindwa utakuwa ni ukilaza wa kiwango cha lami
 
Leo tuangazie wasongo.

Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo pamoja kwenye interview (usahili)

Wengine ushangaa kuna wale ambao darasani walikuwa midiocre (vilaza) lakini kila interview wakienda upata kazi, ili sio suala la kupendelewa au sijui ana ndugu bali ni kitazamo wa fikra.

Kuna watu wanaajiriwa pasipo kuulizwa vyeti, yaani professional resume (wasifu wako wa kitaaluma) pekee unatosha kukupa kazi.

Phrase ya SO WHAT? Ni namna unavyotakiwa kueleza mafanikio yako ya kishule unayashabihiaha vipi na kitu watu wanafanya au wanataka.

Yaani umefaulu Computer science na first class sasa tuambie kwenye mfumo huu wa biashara ama kwa biashara yetu ama kwa wateja wetu taaluma uliyonayo utakuja na njia gani mbadala ya kuwezesha ubora wa biashara.

Namna yote utakavyo jinasibu inabidi isharabu kwa nafasi au majukumu unayotarajia kuyaganya kwenye fursa iliyoko mbele yako.

Kwa hivyo basi tumia muda mwingi kujigenga kwenye business environment yaani namna gani biashara inafanywa, mapungufu yalipo kisha buni jinsi utakavyoweza kutatua changamoto zilizopo au zitakazo kuja.

Kwa kujenga fikra za namna hii basi Muhitimu au mtafuta fursa utakuwa katika nafasi nzuri ya kupata nafasi.

TUZIDI KUTAFAKARI ZAIDI
Kilaza mkubwa we
 
Hahaha
 
Nchi za wenye akili ambao si manyani , unapata kazi nzuri , with high pay. Nadhani umezaliwa juzi kwenye shule za kata na na University za kata.

Ukipata A A A ....University unabaki pale (enzi hizo za dunia ya watu) kuwa Totorial Assitant, then unasoma masters, unakuwa Lecturer. PhD unagombea Uprof.... Mshahara mkubwa na research kwa wingi...means pesa.

On top of that na Heshima kwenye jamii! (hili ndilo la muhimu sana. ) Magufuli aliwatumia so called Profs sana kwenye teuzi zake.

For the academic year 2021-2022, at Harvard University
  • The Professor salary is increased by 3.15 % from $245,268 to $252,991 over 995 Professors.
  • The Associate professor salary is increased by 5.32 % from $147,508 to $155,351 over 135 Associate professors.
  • The Assistant professor salary is increased by 6.93 % from $133,516 to $142,765 over 231 Assistant professors.
  • The Instructor salary is decreased by -1.01 % from $73,574 to $72,828 over 161 Instructors.
  • The Lecturer salary is increased by 2.49 % from $108,845 to $111,551 over 282 Lecturers.
Naam
 
Kwenye kampuni yangu nataka walio faulu tu. Huwezi sema una ka gpa ka 2.1 uwe sawa na mtu mwenye 4 au 4.5! Nyie hamfanani. Kama ulishindwa kuwa serious darasani hata kazini hutakua serious.
Hahaha
 
Kwanza hakuna ubaya wa kupata A zote,au first class degree! Hata kwenye interview, hawaangalii vyeti tu, inategemea na Mambo mengi,ukienda kwenye mashirika kama UKAID, USAID, wanakuwa wanataka ujuekizungu kwa level Fulani, sasa kama nyie wawili mmoja ana first class, mwingine kawaida, lakini ana kizungu kizuri, watachukua huyu mwenye degree ya kawaida kwa sababu tu ametimiza level ya lugha,
Lakini, ukienda taasisi kama TISS,zinazokuwa zinatsfuta watu wenye IQ kubwa na walio analytical, wanapendelea waliopiga As tu, na wenye first class za degree,
Best mind, cleam of the nation, ni zile zilizosoma vyuo kama Harvard,
Angalia mawaziri wa UK, wote ni alumni wa vyuo Bora!
Sasa, uwezi, kuajiliwa, NASA, kama uwezo wako wa, kitaaluma, ni, mdogo,
Lakini sasa usilinganishe mtu kama Diamond, na mtu mwenye degree, ukasema mbona huyu wa LA saba ana mihela mingi, wewe degree yako haina maana, kwa vile tu huna mkwanja kama Mond!!
Ukiwashindanisha samaki na ngedere kupanda na kurukia matawi ya miti!
Samaki atachemka tu, sio eneo lake LA kujidai!
Mwenye First class degree mfanye academician, afanye tafiti,atunge codes za program, zinazokiwezesha kununua Luku, kwa namba ya simu, na kutuma hizo namba moja kwa moja kwenye mita!
USAID imefungiwa
 
Leo tuangazie wasongo.

Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo pamoja kwenye interview (usahili)

Wengine ushangaa kuna wale ambao darasani walikuwa midiocre (vilaza) lakini kila interview wakienda upata kazi, ili sio suala la kupendelewa au sijui ana ndugu bali ni kitazamo wa fikra.

Kuna watu wanaajiriwa pasipo kuulizwa vyeti, yaani professional resume (wasifu wako wa kitaaluma) pekee unatosha kukupa kazi.

Phrase ya SO WHAT? Ni namna unavyotakiwa kueleza mafanikio yako ya kishule unayashabihiaha vipi na kitu watu wanafanya au wanataka.

Yaani umefaulu Computer science na first class sasa tuambie kwenye mfumo huu wa biashara ama kwa biashara yetu ama kwa wateja wetu taaluma uliyonayo utakuja na njia gani mbadala ya kuwezesha ubora wa biashara.

Namna yote utakavyo jinasibu inabidi isharabu kwa nafasi au majukumu unayotarajia kuyaganya kwenye fursa iliyoko mbele yako.

Kwa hivyo basi tumia muda mwingi kujigenga kwenye business environment yaani namna gani biashara inafanywa, mapungufu yalipo kisha buni jinsi utakavyoweza kutatua changamoto zilizopo au zitakazo kuja.

Kwa kujenga fikra za namna hii basi Muhitimu au mtafuta fursa utakuwa katika nafasi nzuri ya kupata nafasi.

TUZIDI KUTAFAKARI ZAIDI
Tajiri hawezi kukulaumu akiona una hustle, na kuchakarika,
Body builder, hawezi kukucheka akiona unavyopata tabu kunyanyua vyuma,
Msomi mzuri,hawezi kukushsngaa au kuku beza akiona unavyoweka juhudi kwenye masomo,
Kijana ambaye yupo vzr kwenye multilingual, anapiga lugha zaidi ya moja, hawezi kukucheka akiona unavyojitahidi kuongeza kizungu,ATA kama ni blocken,
Ila wapo wale kenge, wenyewe watakusema kwa vile hawana ulichonacho.
Ukisikia vijana waliobshatika kupiga pesa kwenye ujasiliamali, jinsi wanavyoiponda elimu na wasomi, "aaah hata mwenye master namkalisha, hanifikii kwa pesa" Ujue wao hata form 4iliwashinda, maana wana akili za panzi;
Wanajipa moyo elimu haina maana, mbona wao elimu hawana na wanetoboa, ! Wanatuaminisha kila aliyesoma, hawezi toboa Ila aliyekuwa kilaza Ku toboa ni rahisi!
Hawa vijana wote wa boda, wanaobeti si wangekuwa matajiri!
 
Leo tuangazie wasongo.

Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo pamoja kwenye interview (usahili)

Wengine ushangaa kuna wale ambao darasani walikuwa midiocre (vilaza) lakini kila interview wakienda upata kazi, ili sio suala la kupendelewa au sijui ana ndugu bali ni kitazamo wa fikra.

Kuna watu wanaajiriwa pasipo kuulizwa vyeti, yaani professional resume (wasifu wako wa kitaaluma) pekee unatosha kukupa kazi.

Phrase ya SO WHAT? Ni namna unavyotakiwa kueleza mafanikio yako ya kishule unayashabihiaha vipi na kitu watu wanafanya au wanataka.

Yaani umefaulu Computer science na first class sasa tuambie kwenye mfumo huu wa biashara ama kwa biashara yetu ama kwa wateja wetu taaluma uliyonayo utakuja na njia gani mbadala ya kuwezesha ubora wa biashara.

Namna yote utakavyo jinasibu inabidi isharabu kwa nafasi au majukumu unayotarajia kuyaganya kwenye fursa iliyoko mbele yako.

Kwa hivyo basi tumia muda mwingi kujigenga kwenye business environment yaani namna gani biashara inafanywa, mapungufu yalipo kisha buni jinsi utakavyoweza kutatua changamoto zilizopo au zitakazo kuja.

Kwa kujenga fikra za namna hii basi Muhitimu au mtafuta fursa utakuwa katika nafasi nzuri ya kupata nafasi.

TUZIDI KUTAFAKARI ZAIDI
Wasomi hapa Tanzania wengi ni mazwazwa tu, wamekariri upuuzi vichwani mwao ila practically hawajuwi lolote. Ni kuwaacha tu wajiokotee makopo na kujiuza Sinza na Tabata.
 
Inashangaza kwa kweli, mtu anapoteza muda kuwadhihaki wanaofaulu vizuri, hicho ni kiashiria cha uchawi.
Alivitaka akavikosa ikabidi awachukie , elewa wenye A ya hesabu na fizikia hawakujiumba, Kama vipi laumu nature kuwa gift huo uwezo. Hata matajiri hawakujiumba na huo utajiri wao usidhani kuwa ni akili zao na bidii zao, wapo wenye akili na bidii kuwashinda Ila Ngoma ni bila bila.
 
Una zero, una zero ya Hesabu na fizikia, hukusoma na upo mnyama huwezi fanya zaidi anachofanya mnyama SO WHAT.
una hela so WhAt??
Una hela huwezi hata mtibu mwanao akapasuliwa ubongo ama utumbo, huwezi Jenga daraja watu wakapita, huwezi chimba madini yakatoka ardhini, huwezi tengeneza simu, nguo, hata sindano so what.
Unataka uabudiwe. Nimegundua jamaa anao wivu Ile mbaya , anaumia mtu kuitwa profesa, daktari, Engineer, advocate msomi, yeye anaitwa kwa jina ambalo mama yake alimuita , hakuweza kupigana akapata jina la ukubwani la heshima. Wenzake akina msukuma wananunua daktari za heshima.
Ndugai aliumia kuwa huko nje watu wanaitwa majina yao Ila huwezi kusikia anaitwa profesa. Alitengeneza chuki na Assad profesa
 
Kama hujasoma si utulie tu....kwani shida Nini, mbele kwa mbele. Wanajua wenyewe😀
 
Sababu Huu uzi umejaa kejeli. Average student wanawaponda A students.

Kichwa cha habari tu kinakejeli wanafunzi waliofanya vizuri darasani

Mimi ni A student lazima niwatetee A students wenzangu.
Mkuu umepigaje hapo?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom