Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

Unaweza ukawa sahihi.

Maana hata walioanzisha elimu ya chuo kikuu wao wenyewe hawakuwa na degree yoyote.

Hata watu wenye wanaokubalika sana mpaka leo kama yesu na mtume muhammad hawakujua kusoma wala kuandika.

Big 4 zimeanzishwa miaka ya 1800s huko.

Mfano kwa Tanzania PWC imekuja kuweka branch yake miaka ya 1940s enzi hizo nchi nzima hakuna mwenye digrii hata mmoja na hakuna chuo kikuu hata kimoja.

Lazima vigezo vyao vya kuajiri vilikuwa vya chini tofauti na leo

Ndio maana tunasema kufaulu kwanza kisha kuwa na ubunifu wa kile ulichofaulu.
 
Leo tuangazie wasongo.

Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo pamoja kwenye interview (usahili)

Wengine ushangaa kuna wale ambao darasani walikuwa midiocre (vilaza) lakini kila interview wakienda upata kazi, ili sio suala la kupendelewa au sijui ana ndugu bali ni kitazamo wa fikra.

Kuna watu wanaajiriwa pasipo kuulizwa vyeti, yaani professional resume (wasifu wako wa kitaaluma) pekee unatosha kukupa kazi.

Phrase ya SO WHAT? Ni namna unavyotakiwa kueleza mafanikio yako ya kishule unayashabihiaha vipi na kitu watu wanafanya au wanataka.

Yaani umefaulu Computer science na first class sasa tuambie kwenye mfumo huu wa biashara ama kwa biashara yetu ama kwa wateja wetu taaluma uliyonayo utakuja na njia gani mbadala ya kuwezesha ubora wa biashara.

Namna yote utakavyo jinasibu inabidi isharabu kwa nafasi au majukumu unayotarajia kuyaganya kwenye fursa iliyoko mbele yako.

Kwa hivyo basi tumia muda mwingi kujigenga kwenye business environment yaani namna gani biashara inafanywa, mapungufu yalipo kisha buni jinsi utakavyoweza kutatua changamoto zilizopo au zitakazo kuja.

Kwa kujenga fikra za namna hii basi Muhitimu au mtafuta fursa utakuwa katika nafasi nzuri ya kupata nafasi.

TUZIDI KUTAFAKARI ZAIDI
Shida yako mkuu utakuwa ni bosi wa mchongo!! Umewekwa kimchongo na shule ilikupiga chenga!! Elewa mkuu aliyesona kasoma na wewe wa michongo umechongwa, period!
 
Msiwakatishe Tamaa Vijana Acha Wapate Hivyo.

75% Kati Yao Wanaendelea Na Majukumu Yao Si Kama Sisi Wa Gentleman G.P.A Pia Kuna Majukumu Yetu Tunaendelea Nayo.

Wito: Vijana Usithubutu Kufanya Kitu Under Standard/Performance Ukipewa Kazi Fanya 100% Ukiambiwa Soma Basi Kweli Soma Hata G.P.A Ya 5 We Pata.

Tumia Effort Zote Kuwa The Best.
 
Hujui hata big 4. Kweli wewe ni wale average ama C student .

Ungemjibu jamaa vizuri ungempa elimu bila manyanyaso Mkuu.

Ni sawa na mimi nikuulize Cap 2, RE: 2002 ni nini, then ukishindwa wewe ni kilaza hakuna mfano.

(Usi google maana haitakusaidia majibu 😂😂).

Jambo rahisi ni huwezi fahamu na kujua kila kitu. Watu huwa wanafahamu vile vitu vinavyowazunguka au wanavyojihusisha navyo tu. Ukijua hilo hautashangaa mtu kutokufahamu au kujua jambo fulani.
 
Wewe nae ni kilaza vile vile.

Topic inaongelea A za maths na first class wanapata faida gani ?

Mimi nimejibu topic ya huu uzi kwamba hao watu wanaopata hizo A na first class huwa wanaenda kuajiriwa Big 4.

Mimi nimeingiza big 4 sababu ndizo zinawaajiri hao watu kila mwaka.

Wewe unaniuliza Cap 2002 ? Je hiyo cap 2002 nayo inaajiri hao wenye A za mathematics na first class ?

Uliza maswali ambayo yapo ndani ya topic ya huu uzi.

Ulichofanya wewe kinaitwa Strawman fallacy.

Sisi watu wa big 4 tumefundishwa tusijibu hoja za strawman fallacy

Inawezekana ukawa hujui maana ya strawman fallacy.

Straw man fallacy is the distortion of someone else's argument (instead of addressing the actual argument) to make it easier to attack.
 
Wewe nae ni kilaza vile vile.

Topic inaongelea A za maths na first class wanapata faida gani ?

Mimi nimeingiza big 4 sababu ndizo zinawaajiri hao watu kila mwaka.

Wewe unaniuliza Cap 2002 ? Je hiyo cap 2002 nayo inaajiri hao wenye A za mathematics na fist class ?

Uliza maswali ambayo yapo ndani ya topic ya huu uzi.

Ulichofanya wewe kinaitwa Strawman fallacy.

Sisi watu wa big 4 tumefundishwa tusijibu hoja kwa strawman fallacy
Wewe jamaa bhana 😂😂😂 ngoja nikupe shule ya bure ili uwe na adabu siku nyingine upunguze ego

Cap 2, RE 2002 sio hesabu bali ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ambayo wewe msomi hata haufahamu jina lake (shame on you!)

Unataka nikueleze na kazi zake au utaenda kugoogle?

Punguza ego Mkuu kuna mambo mengi haufahamu wala kujua sawa na walivyo binadamu wengine pia.
 
🤣🤣Usimjibu mjinga
Atakuchosha tu
Wakati wenzie tunawahi namba,alikuwa anawinda kware
Sasa mtu wa hivyo anakumalizia hata oxygen ya bure ya Mungu
 
Wewe jamaa bhana 😂😂😂 ngoja nikupe shule ya bure ili uwe na adabu siku nyingine upunguze ego

Cap 2, RE 2002 sio hesabu bali ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ambayo wewe msomi hata haufahamu jina lake (shame on you!)

Unataka nikueleze na kazi zake au utaenda kugoogle?

Punguza ego Mkuu kuna mambo mengi haufahamu wala kujua sawa na walivyo binadamu wengine pia.

Strawman fallacy huwa wanafanyiwa wajinga.

Topic ya Huu sio uzi sio katiba.. huu ni uzi wa wanafunzi waliopata A za mathematics na first class vyuoni huwa wanafaidikaje na As zao

Achana na kuhamisha hoja kwa mbinu ya Strawman fallacy.

Pinga hoja za kwenye topic ya huu uzi.

Straw man fallacy is the distortion of someone else's argument (instead of addressing the actual argument) to make it easier to attack.
 
Strawman fallacy huwa wanafanyiwa wajinga.

Topic ya Huu sio uzi sio katiba.. huu ni uzi wa wanafunzi waliopata A za mathematics na first class vyuoni huwa wanafaidikaje na As zao

Achana na kuhamisha hoja kwa mbinu ya Strawman fallacy.

Pinga hoja za kwenye topic ya huu uzi.

Straw man fallacy is the distortion of someone else's argument (instead of addressing the actual argument) to make it easier to attack.
Nishamaliza mjadala na wewe Mkuu, asante kwa kushiriki.
 
Hujui hata big 4. Kweli wewe ni wale average ama C student .

Big 4 ni multinationals consultant firms.

Kuna KPMG, PWC, EY, na Delloite.

Hizi kampuni huwa zinaajiri wanafunzi waliofanya vizuri kutoka kwenye Top Universities kila nchi.

Mfano Tanzania huwa wanaajiri wanafunzi waliofanya vizuri wa udsm, udom , mzumbe, sua etc

Kila mwaka huwa zinaajiri new graduates

Mfano hao hapo madogo best students wa udsm kwenye picha. Wote wawili wameshaajiriwa PWC baada tu ya kuhitimu chuo
Sijafurahia approach uliyoitumia ku-respond kwenye comment ya mchangiaji. Kutokujua jambo si vibaya mkuu. Dunia ina mambo mengi sanaaa, tujitahidi kuelimishana kwa upole na bila kukejeliana. Hii itaongeza shauku ya watu kujifunza.
Nikiri pia na mimi ndiyo nimefahamu sasahv kuhusu Big 4.
 
Nishamaliza mjadala na wewe Mkuu, asante kwa kushiriki.
Sijafurahia approach uliyoitumia ku-respond kwenye comment ya mchangiaji. Kutokujua jambo si vibaya mkuu. Dunia ina mambo mengi sanaaa, tujitahidi kuelimishana kwa upole na bila kukejeliana. Hii itaongeza shauku ya watu kujifunza.
Nikiri pia na mimi ndiyo nimefahamu sasahv kuhusu Big 4.

Nimemjibu vile Sababu Huu uzi umejaa kejeli. Average student wanawaponda A students.

Kichwa cha habari tu kinakejeli wanafunzi waliofanya vizuri darasani

Mimi ni A student lazima niwatetee A students wenzangu.
 
Unaweza ukawa sahihi.

Maana hata walioanzisha elimu ya chuo kikuu wao wenyewe hawakuwa na degree yoyote.

Hata watu wenye wanaokubalika sana mpaka leo kama yesu na mtume muhammad hawakujua kusoma wala kuandika.

Big 4 zimeanzishwa miaka ya 1800s huko.

Mfano kwa Tanzania PWC imekuja kuweka branch yake miaka ya 1940s enzi hizo nchi nzima hakuna mwenye digrii hata mmoja na hakuna chuo kikuu hata kimoja.

Lazima vigezo vyao vya kuajiri vilikuwa vya chini tofauti na leo
Yesu alijua kusoma na kuandika
.Luka 4.16-19

Back
Top Bottom