Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

MwakiIV

Member
Joined
Aug 31, 2018
Posts
79
Reaction score
142
Leo tuangazie wasongo.

Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo pamoja kwenye interview (usahili)

Wengine ushangaa kuna wale ambao darasani walikuwa midiocre (vilaza) lakini kila interview wakienda upata kazi, ili sio suala la kupendelewa au sijui ana ndugu bali ni kitazamo wa fikra.

Kuna watu wanaajiriwa pasipo kuulizwa vyeti, yaani professional resume (wasifu wako wa kitaaluma) pekee unatosha kukupa kazi.

Phrase ya SO WHAT? Ni namna unavyotakiwa kueleza mafanikio yako ya kishule unayashabihiaha vipi na kitu watu wanafanya au wanataka.

Yaani umefaulu Computer science na first class sasa tuambie kwenye mfumo huu wa biashara ama kwa biashara yetu ama kwa wateja wetu taaluma uliyonayo utakuja na njia gani mbadala ya kuwezesha ubora wa biashara.

Namna yote utakavyo jinasibu inabidi isharabu kwa nafasi au majukumu unayotarajia kuyaganya kwenye fursa iliyoko mbele yako.

Kwa hivyo basi tumia muda mwingi kujigenga kwenye business environment yaani namna gani biashara inafanywa, mapungufu yalipo kisha buni jinsi utakavyoweza kutatua changamoto zilizopo au zitakazo kuja.

Kwa kujenga fikra za namna hii basi Muhitimu au mtafuta fursa utakuwa katika nafasi nzuri ya kupata nafasi.

TUZIDI KUTAFAKARI ZAIDI
 
Nchi za wenye akili ambao si manyani , unapata kazi nzuri , with high pay. Nadhani umezaliwa juzi kwenye shule za kata na na University za kata.

Ukipata A A A ....University unabaki pale (enzi hizo za dunia ya watu) kuwa Totorial Assitant, then unasoma masters, unakuwa Lecturer. PhD unagombea Uprof.... Mshahara mkubwa na research kwa wingi...means pesa.

On top of that na Heshima kwenye jamii! (hili ndilo la muhimu sana. ) Magufuli aliwatumia so called Profs sana kwenye teuzi zake.

For the academic year 2021-2022, at Harvard University
  • The Professor salary is increased by 3.15 % from $245,268 to $252,991 over 995 Professors.
  • The Associate professor salary is increased by 5.32 % from $147,508 to $155,351 over 135 Associate professors.
  • The Assistant professor salary is increased by 6.93 % from $133,516 to $142,765 over 231 Assistant professors.
  • The Instructor salary is decreased by -1.01 % from $73,574 to $72,828 over 161 Instructors.
  • The Lecturer salary is increased by 2.49 % from $108,845 to $111,551 over 282 Lecturers.
 
Leo tuangazie wasongo.
Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo

TUZIDI KUTAFAKARI ZAIDI
Ni wivu tu na kudharau watu walio Soma hakuna lolote kwa sababu watanzania ni watu ambao " wanafurahia Sana na kufarijika pindi wanapoona mtu kasoma lakin Hana kazi na anateseka mtaani " hata akiingia ofisin akaonesha vyet bado wanakuwa na chuki za chin chini dhidi yake ,kiufupi anaanza kuchukiwa Bila sababu ....

Ndio maana hii nchi imelaaniwa na haitakuja kuendelea kamwe ....
 
Ninapata ajira haraka kwenye big 4.

Wewe ambae huna hizo sifa pambana na ajira za utumishi; kazi za wahindi ama ujobless

Taja jina la best student wa udsm, mzumbe ama udom ambaye hana ajira.

Huwezi mpata maana wanachukuliwa na Big 4 mapema sana
 
Kabisa wanafurai Docta kutokuwa na kazi wakat akiajiriwa atawasaidia wao.
Ni wivu tu na kudharau watu walio Soma hakuna lolote kwa sababu watanzania ni watu ambao " wanafurahia Sana na kufarijika pindi wanapoona mtu kasoma lakin Hana kazi na anateseka mtaani "

Ndio maana hii nchi imelaaniwa na haitakuja kuendelea kamwe ....
 
Leo tuangazie wasongo.
Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo pamoja kwenye interview (usahili)
Muhitimu au mtafuta fursa utakuwa katika nafasi nzuri ya kupata nafasi.

TUZIDI KUTAFAKARI ZAIDI

Kulikoni makasiriko haya ndugu? Vipanga na wapawe maua yao. Kwani ulitaka wapewe maua vilaza?
 
Leo tuangazie wasongo.
Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo pamoja kwenye interview (usahili)
Kwahiyo unatakaje? Watu wafeli mashuleni?

Ni bora kufaulu shule ukafeli mtaani lakini elimu haiozi.
 
Leo tuangazie wasongo.
Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo pamoja kwenye interview (usahili)

Wengine ushangaa kuna wale ambao darasani walikuwa midiocre (vilaza) lakini kila interview wakienda upata kazi, ili sio suala la kupendelewa au sijui ana ndugu bali ni kitazamo wa fikra.

Kuna watu wanaajiriwa pasipo kuulizwa vyeti, yaani professional resume ( wasifu wako wa kitaaluma) pekee unatosha kukupa kazi.

Phrase ya SO WHAT?? Ni namna unavyotakiwa kueleza mafanikio yako ya kishule unayashabihiaha vipi na kitu watu wanafanya au wanataka.

Yaani umefaulu Computer science na first class sasa tuambie kwenye mfumo huu wa biashara ama kwa biashara yetu ama kwa wateja wetu taaluma uliyonayo utakuja na njia gani mbadala ya kuwezesha ubora wa biashara.

Namna yote utakavyo jinasibu inabidi isharabu kwa nafasi au majukumu unayotarajia kuyaganya kwenye fursa iliyoko mbele yako.

Kwa hivyo basi tumia muda mwingi kujigenga kwenye business environment yaani namna gani biashara inafanywa, mapungufu yalipo kisha buni jinsi utakavyoweza kutatua changamoto zilizopo au zitakazo kuja.

Kwa kujenga fikra za namna hii basi Muhitimu au mtafuta fursa utakuwa katika nafasi nzuri ya kupata nafasi.

TUZIDI KUTAFAKARI ZAIDI
Watu wa hivyo ndio huongoza Kwa uvivu sababu ya hiyo altitudes za kipumbavu.

Ndio maana hakuna Mwajiri anaajiri wapuuzi wa hivyo,kazi zao nyingi ni kuishiwa kuwa ma lecturers huko.
 
Big 4 nn?

Hujui hata big 4. Kweli wewe ni wale average ama C student .

Big 4 ni multinationals consultant firms.

Kuna KPMG, PWC, EY, na Delloite.

Hizi kampuni huwa zinaajiri wanafunzi waliofanya vizuri kutoka kwenye Top Universities kila nchi.

Mfano Tanzania huwa wanaajiri wanafunzi waliofanya vizuri wa udsm, udom , mzumbe, sua etc

Kila mwaka huwa zinaajiri new graduates

Mfano hao hapo madogo best students wa udsm kwenye picha. Wote wawili wameshaajiriwa PWC baada tu ya kuhitimu chuo
 
Attachments

  • FB14848XEAcDVZK.jpg
    FB14848XEAcDVZK.jpg
    332 KB · Views: 6
Hayuko peke yake...Tuko wawili
Hujui hata big 4. Kweli wewe ni wale average ama C student .

Big 4 ni multinationals consultant firms.

Kuna KPMG, PWC, EY, na Delloite.

Hizi kampuni huwa zinaajiri wanafunzi waliofanya vizuri kutoka kwenye Top Universities kila nchi.

Mfano Tanzania huwa wanaajiri wanafunzi waliofanya vizuri wa udsm, udom , mzumbe, sua etc

Kila mwaka huwa zinaajiri new graduates

Mfano hao hapo madogo best students wa udsm kwenye picha. Wote wawili wameshaajiriwa PWC baada tu ya kuhitimu chuo
 
Hujui hata big 4. Kweli wewe ni wale average ama C student .

Big 4 ni multinationals consultant firms.

Kuna KPMG, PWC, EY, na Delloite.

Hizi kampuni huwa zinaajiri wanafunzi waliofanya vizuri kutoka kwenye Top Universities kila nchi.

Mfano Tanzania huwa wanaajiri wanafunzi waliofanya vizuri wa udsm, udom , mzumbe, sua etc

Kila mwaka huwa zinaajiri new graduates
Ww mwenyewe unamatatizo amekuuliza swali unaanza kuleta kebehi mara average student!!
Nyie ndiyo wale mlipata AAA HKL,HGE,ECA ,HGL mnaona mnakili kuliko mtu aliyepata DDD PCM,PGM,PCB!!
Wakat hiyo physics tu changanya H+K+L
 
Back
Top Bottom