Mkuu hujanielewa pia, mimi nipo sambamba na wewe sababu nimeona wasomi wengi wasio na tija katika jamiiLabda ungesoma hoja ukaelewa, sisemi elimu ni mbaya au watu wasisome ama wasifaulu la asha.
Kufaulu ni muhimu sana lakini usijibweteke ukidhani cheti ndio kitakusemea.
Unahitaji kuwa mbunifu zaidi kukabili changamoto za maisha.
Kuna A 100,000/- onesha uniqueness ya A yako na tengeneza sababu kwa nini upate wewe fursa.
Ukiniuliza haraka baada ya kutoka kuamka,Hao ni waliofaulu lakini hawajaelimika.
Siku hizi tuna watu wengi wenye matokeo mazuri lakini wasio na elimu.
Ntaanza na hoja kisha spana;
Ni kweli ufaulu mzuri utakuwa na walakini kama huna soft skills, haupo creative na skills zingine kama kujenga hoja na kuwasiliana , na kutoa mchango chanya kwa kile ambacho umesomea au kubobea etc.
Faida mojawapo ni kuwa hata baadae wakati unajitafuta ukigundua una mapungufu ni rahisi kujifunza na utakapofanikiwa tayari unakuwa na back up ya masomo uliyopasua.
Nimebahatika kusoma na watu ambao wana ufaulu mzuri sana wa darasani ( wale A1 since day one) lakini kwenye masuala mengine kama kujieleza, ubunifu, hata kuelezea kitu ambacho yeye anakielewa ilikuwa ni wa kawaida sana na unaweza usiambulie chochote lakini baadae kutokana na mahitaji ya soko waliweza kuimprove na kutoka nje ya darasa na kuwa competent katika masuala mengine kitu ambacho ni muhimu sana.
SPANA sasa:
Baadhi ya watanzania (kwa humu JF ni wengi sana) wana uelewa mbovu sana yaani ukijenga hoja wanaanza kuku-attack in person badala ya kujadili hoja mezani, sasa hili huwa halijengi zaidi ya kuzua ubishani wakipuuzi
Mleta mada ana swali zuri tu, ila ukisoma comments nyingi ni una wivu, we kilaza, etc. sasa hii haijengi inabomoa, jibu hoja kwanza kisha njoo na argument yako tuache kushambuliana binafsi, tudili na hoja.
Wasalaam
Ukiniuliza haraka baada ya kutoka kuamka,
Ukiwa raisi utalifanyia nn taifa? jibu langu litakuwa kubadili mfumo wote wa elim kutoka msingi mpk chuo kikuu,
Watu wataajiriwa kwa kuzingatia impact waliyo nayo ktk uzalishaji, pamoja na fumbuzi zenye tija katika nchi yetu
Kusoma miaka mingi ni upotezaji wa muda na nguvukazi ya uzalishaji
na mimi piaHayuko peke yake...Tuko wawili
Big 4 nn?
Sasa hii ni moja kati ya kitu kilicholeta hoja, alisoma Account & Finance ana Big 4 yao, Alisome Civil Engineering kuna Big 4 yao, aliyesoma Aviation pia kuna Big 4
Hivyo mtu anakuja kwenye mjadala na kuzungumza Big 4 ni PWC, EY, Delloite na KPMG huo anakuwa hajafunguka kimtazamo wa dunia.
Ndio maana hata wewe umemshangaa kwa sababu hata Premier League ina Big 4 na HATAKIWI KUKUONA MJINGA KISHA HUJUI BIG 4 YAKE.
Safari bado ni ndefe abadani
Big 4 hazifanyi biashara ya accounting na auditing tu.
Biashara yao ni consultant ( wapo kwenye consultancy industry)
Hivyo pia big four wanahudumia industry zote ikiwemo hiyo uliyoitaja ya Civil engineering
Pia hata kwenye ajira zinaajiri watu wa taaluma zote. Hata hao Civil engineers wanaajiriwa na big four pia.
Mfano best student wa udsm mwaka jana edna meela ni graduate wa Coet alisoma degree ya chemical and processing engineering. PwC imemuajiri sababu big 4 inahudumia industry zote. Sio accounting tu.
Big four zote duniani zinaajiri Civil engineers
Hivyo best student wa Civil engineering lazima azijue big four kama mwajiri wake mtarajiwa
Na pia neno big four bila kuongeza chochote linamaanisha wao.
Kama unabisha jaribu ku google tu neno big four ama big 4 bila kuongeza chochote. Uone results zote zitawataja big four ni kina nani ?
Utaona kama utapata results za premier league ama civil engineering companies
Nimekuwekea screen shot nimegoogle neno "BIG FOUR" tu sijaongeza chochote tazama results za google zimeleta majina gani
Mbona hazijaleta hao wa premier league ama civil engineering companies

Pamoja na A A A zote nchi yetu bado inawatemea wageni kuendesha taasisi zetu muhimu.
Hivi hao wageni walianzaje kuweza kuendesha taasisi zao?
Watafiti tafadhari