Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,250
- 24,084
- Thread starter
- #61
Ufunuo 19:9Wengine ni moto wa kiberiti tu , walokole tu ndio tutaingia mbinguni , hakuna kula wala kunywa ila ni harusi tu moja ya mwana kondoo 🤔
Zingatia neno harusi halafu hakula kunywa wala kula.
“Heri wale walioalikwa kwenye karamu ya arusi ya Mwanakondoo.
Halafu soma
“Ufalme wa Mungu si kula wala kunywa…” (Warumi 14:17)”
Tumwamini yohana au Paulo?