NILITEMBELEA MAKABURI YA WATAKATIFU AMBAYO KISIASA HUITWA MASHUJAA
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Taikon wa Fasihi.
Basi nikasema, mimi naam ndio mimi mwenyewe. Nitaenda kwenye makaburi. Yalipo makaburi ya Watakatifu.
Tena nikiwa njiani kumbe katika njia hiyo sikujua kuna makaburi mengine...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026.
https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q
UTANGULIZI
Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
Mods Uzi huu uachwe ujitegemee tafadhari.🫷
Awali ya yote Mimi mpango wa kwenda mbinguni ni kama haupo maana kila nikipiga tathimini Bado najiona Sina sifa hizo
Kwanza Zaka sitoi,sadaka nishakataa kuipeleka kanisani.
Ukija namna ya kuishi napo Bado na pwaya maana uko zako unawaza kuchuma...
Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso.
Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele?
Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake?
Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii...
Hivi tunajua ya kwamba hata Shetani na mapepo yote yana mkiri kuwa Yesu Kristo ni BWANA ni Mungu ni mwokozi,na kumuamini kuwa ni mwakozi na ni mwana wa Mungu na ni Mungu na mwenye nguvu na mamlaka yote.
Na tena mapepo si kwamba yana mkiri,na kumuamini tu tu,na ila KWA KUTETEMEKA NA KUMUOGOPA ...
Wajuvi wa maandiko karibuni tena tujifunze kwa pamoja.
Maandiko yanasema kama ifuatavyo.
ufunuo 20:4-6
Kisha nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake, nao wakapewa hukumu; nami nikaona roho zao waliokatwa vichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu, na hao...
Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini?
Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema walio letwa na Hayati Lowasa?
Unaambiwa vijana walitoka izraeli, wakafikia hotelini KAZI Yao ilikuwa...
Mtakatifu MARIA GORETTI
Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita.
Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
Neno la Mungu linasema
Kutoka 20:4-6
“Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata...
KATIKA KALENDA YA KIROHO MUDA UMETIMIA ,Unabii wote umeshatimia,ishara zote zimeshatimia...muda sasa umefika.sekunde yotote sasa watu wa Mungu walioko duniani watanyakuliwa kwenda mbinguni kuishi na Mungu,wenye dhambi wote wataachwa hapa duniani..
SWALI:
Naomba kuuliza kati ya Unyakuo wa...
Kanisa Katoliki ( Roman Catholic ) ndio kanisa la kale zaidi huku likishika historia nzima ya ukristo na likirekodi matukio mbalimbali tangu kuanza kwa ukristo hadi sasa...
Katika ku rekodi matukio na mambo muhimu ya ukristo, kanisa katoliki kuanzia lilipo anzishwa limeweza ku hakiki mambo...
Salaam,Shalom!!
Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni.
Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu Kristo, amevaa taji yenye kungaa sana kichwani mwake, mikononi alishika upanga ungaao sana, alipita...
Dua, maombi, mifungo ya Mara kwa Mara ndiyo Siri ya mafaniko ya Israel.
Taifa la Israel linaombewa Sana duniani na mataifa yote.
Jambo la kushangaza hata wa Palestina na wairan wakristo wanaomba kwa ajili ya Israel.
Moseb Hassan Yosep, mtoto wa muasisi wa HAMAS ni miongoni mwa wa Palestina...
FBJP volunteers, led by Adapa Prasad, President of OFBJP-USA gathered at the iconic Times Square in New York City on Sunday.
On this bright sunny day, hundreds of supporters of Prime Minister Narendra Modi gathered here to demonstrate their solidarity, affirming their relationship with the...
KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500...
Hawa jamaa waliopinda, wahuni, wezi, vibaka na watu wa aina hii licha ya ukorofi wao huwa wakibanwa kwenye kona ni wapole sana na wepesi kutubu.
Nakumbuka ajali moja ya Bajaji abilia wote walikuwa wamelewa chakali lakini wakiwa majeruhi walikuwa wanatubu na kumuomba Mungu fasta kabla hawajadedi...
Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana.
Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu.
Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
Karata nyingine ya ushindi kwetu ni kuungana na kuomba ili mpenda haki na amani, mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aweze kushinda kwa kishindo hapo Oktoba 28.
Huu ni wito kwa watakatifu wote, wapenda haki, wapenda amani, wapenda usawa, na wapenda kweli kuungana na kumwombea Lissu...
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano.
Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi.
Makonda amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.