Sawa Mungu akatuchoma moto wa Milele. Je ninyi watakatifu mtakao Baki mtakuwa na furaha Gani wapendwa wenu wakiwa wanachomwa moto wa Milele??

Sawa Mungu akatuchoma moto wa Milele. Je ninyi watakatifu mtakao Baki mtakuwa na furaha Gani wapendwa wenu wakiwa wanachomwa moto wa Milele??

Uhakika mkuu tutapewa miili mipya ya kustahimili moto wa milele 🤣
Maana wanasema tutachomwa moto milele bila kuungua, maana yake tutapewa miili mipya inayostahimili moto? Fireproof?
Kwa sababu miili yetu ya Sasa ukichomwa moto unaungua na kuwa majivu, Sasa huko Jehanam tunaambiwa unachomwa milele bila mwili kuisha 🤣
Infropreneur
Naomba ufafanuzi kidogo
Habari za Motoni na Jehanam ni story za danganya toto tu.

Hakuna motoni.

Hakuna peponi.

Mbingu haipo.

Jehanam haipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom