kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 599
- 1,183
Jamaa anamchukia sana Magufuli na labda mashambulizi haya ni " kisasi"Nyepesi kijana wa Mwandiga, atakuja kusema kwamba kuna mapesa mengine Pombe alizikwa nayo kaburini...😶
Zitto ni mdini na mkabila snJamaa anamchukia sana Magufuli na labda mashambulizi haya ni " kisasi"
Awamu zote ni hovyo snNyepesi kijana wa Mwandiga, atakuja kusema kwamba kuna mapesa mengine Pombe alizikwa nayo kaburini...😶
Huyo ukimuona mbele mbele ujue ni mjumbe tu! Ila ana kipaji aisee!Jamaa anamchukia sana Magufuli na labda mashambulizi haya ni " kisasi"
Yaani jamaa anamchukia hayati mwamba utadhani aliwahi mkazia...😎Jamaa anamchukia sana Magufuli na labda mashambulizi haya ni " kisasi"
Unapambana na Marehemu? Inaonyesha ni jinsi gani usivyojiamini.Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Unapambana na Marehemu? Inaonyesha ni jinsi gani usivyojiamini.
Usiwasumbue wapo busy kulamba asali.
Yaani jamaa anamchukia hayati mwamba utadhani aliwahi mkazia...😎
Haelewi hilo.Waendelee tu kulamba asali kwa amani kabisa ila ipo siku asali itawatokea puani!
Nyepesi kijana wa Mwandiga, atakuja kusema kwamba kuna mapesa mengine Pombe alizikwa nayo kaburini...😶
Huyo Kibwengo alikuwa GWIJI la MIKOPO mikubwa ya KIBIASHARA.Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Huyo Kibwengo alikuwa GWIJI la MIKOPO mikubwa ya KIBIASHARA.
Zitto Kabwe: Miaka minne ya Magufuli deni la Taifa limeongezeka sawa na miaka 10 ya Kikwete
Unajua kabla ya ku comment ungemuuliza Zitto atoe uchambuzi wa matumizi ya hiyo mikopo iliyochukuliwa wakati wa kikwete na ya wakati wa Magufuli. Ndiyo maana tuna akili tumepewa na Mungu tuzitumie kama kuna mpotoshaji akitokea tuweze kuzitumia. Mfano Tanzania ilikua vituo vya afya 77 tangu...www.jamiiforums.com
Maana kwa Wazungu alikuwa hapati pesa.
Sasa hivi Rais Samia anafanya kazi ya kuchukua mikopo nafuu kutoka kwa Wazungu ili alipe Mikopo ya KIJUHA aliyokopa Magu.
Unataka kujua alipokuwa anapata pesa?
Na ukijua utafaka kufanya nn?