kwani ni uongo kwamba tanesco wanadaiwa dola millioini 363DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.