Saudi's Lashing Old Women; Is it Law or Religion?

Nimeitoa hapa:Sudan - THE LEGAL SYSTEM

Bado utadai Sudan haifuati Sharia? Kwako wewe nchi inayofuata sheria ni Saudi tu?

Unasema wanaofanya uhalifu Saudi Arabia ni wageni tu. Je hao wa Saudi wanaobaka wafanyakazi wao wakike wakifilipino nao ni wageni? Je hao waSaudi waliombaka yule binti wa al-Qateef aliyebakwa mande mwaka 2006 ( angalia hapa: Saudi court ups punishment for gang-rape victim - CNN.com) nao walikuwa wamefoji bali walikuwa wageni? Ni kawaida wageni kuwasingizia wageni kwa maovu yote. Saudi Arabia hawana tofauti.

Utateteaje kitu ambacho haukijui? Utasemaje, wewe ambae bila shaka unajiona ni muumini safi, kuwa haujui kama hii adhabu iko kwenye Sharia au sheria? Unashindwa nini kusoma kitabu chako kitakatifu ili ujue ukweli uko wapi? Ni watu kama wewe ambao wanakubali kujitoa mhanga wanapoambiwa na mashehe uchwara kuwa peponi zawadi yao ni mabikira!

Amandla........

Mimi naitetea Sharia na kama kuna kifungu sikijui hukumu yake nnakuwa mkweli na muwazi kuwa hiyo hukumu siijui kwani mimi si mwana Sharia, mimi ni muumin wa uIslam.

Na pia nimetetea sheria, na nimesema kama ni Sharia au sheria ndio iliyotowa hiyo hukumu ya viboko kwa huyo mwanamke basi ni sawa kabisa. Huyo mwanamke alitakiwa afate Sharia au sheria za nchi anayoishi.

Au hujui kusoma? au mradi ubishane tuu?

Jee, wewe unazijuwa sheria zote zilizo kwenye Biblia au for this matter za nchi unayoishi? Hata ungekuwa ni mwana sheria basi ng'oo.
 
Hivi bible huwa mnasoma ya nini wakati inaonyesha wazi kuwa Quran toka imetungwa hamjaielewa mpaka leo?!! Na kama mnasema Quran ndiyo kitabu cha mwisho chenye mambo yote, mimi nadhani hakuna sababu ya kuhangaika na bible. Mtu anayejiamini siku zote atasimamia kwenye msimamo wake na si kujifananisha na wenzake.

Bible tunaisoma pale tunapoona mapadiri wanoana inabidi tuone, Jee hawa wachungaji wameamrishwa na Bible kufanya hivyo?

Tunapoona mnaabudu masanamu, basi tunafungua Bible tuone, jee haya ndio Bible inafundisha?

Tunapoona mnaingia makanisani na viatu, tunafunguwa bible na kuangalia jee haya ndio wanaofundishwa kwenye Bible?

Kwa mfano, umewahi kusikia kuwa Wamerekani wengi wametoka ukiristo na kuingia uIslam baada ya September 11?

Basi hao walisema hebu tuone huu uIslam ndio unafundisha haya yaliyotufika? wakachukuwa Qur'an na kuisoma, matokeo? khatar kubwa!
 
Hii thread ni futile!

Imeanzishwa kwa nia nzuri kabisa, kujadili sheria versus sharia.

Lakini itageuka Mohammed alilala na wake vitoto versus Mama Yesu alilala na Baba Mungu!

Get your popcorn ready!

Kuhani,

In Saudi, sharia ni sheria, dini ndiyo sheria, kwa hiyo swali is it law or religion jibu lake ni both.
 
...Ndio maana nikakwambia Sudan haifati Sharia...Uliza uelimishwe.

Wasema kweli yakhe?

Constitution Of The Republic Of Sudan

Part IV, Chapter 1
Article 65
Source of Legislation

The Islamic Sharia and the national consent through voting, the Constitution and custom are the source of law and no law shall be enacted contrary to these sources...

THE CRIMINAL ACT 1991

PART I
Preliminary Provisions
Interpretation and Explanations

"Hudud offence" means the offences of drinking alcohol, apostasy (ridda), adulter (zina), defamation, unchastity (quazf), armed robbery (hiraba), and capital theft.

PART XV
Adultery (Zina)
146. (1) Whoever commits the offence of adultery shall be punished with:
(a) execution by stoning where the offender is married (muhsan);
(b) 100 lashes where the offender is not married (non-muhsan).

Penalty for Capital Theft
171. (1) Whoever commits the offence of capital theft shall be punished with amputation of the right hand from the joint.

Penalty for Armed Robbery (Hiraba)
168. (1) Whoever commits the offence of armed robbery (Hiraba) shall be punished with:
(a) death, or death and then crucifixion...
(b) the amputation of the right hand and left foot...

PART IV
SANCTIONS
Death
27. (2) With the exception of Hudud and retribution (qisas) offences death sentence shall not be passed against any person who has not attained the age of eighteen or who exceeds seventy years of age. (Kitoto kikifanya Hudud kinaweza kupigwa mawe au kamba mpaka kife!)

Whipping
35. Except in offences of Hudud,
(1) No judgment of whipping shall be passed upon a person who attained 60 years of age or a sick person whose life would be endangered by whipping or whose sickness would thereby be aggravated. (Kizee kikifanya Hudud kinaweza kupigwa mbakora mpaka kizirai!)

Pardon of the Offence
38. (1) The execution of hudud shall not be remitted by pardon. (Hizo Hudud kwenye Sharia unaambiwa ukizifanya hata Rais hawezi kuku pardon. Unafaanya mchezo na Hudud!)

Kuna rapper mmoja wa Kikenya anasema "nendelee ama nisendelee.."?
 
Wasema kweli yakhe?

Constitution Of The Republic Of Sudan

Part IV, Chapter 1
Article 65
Source of Legislation

The Islamic Sharia and the national consent through voting, the Constitution and custom are the source of law and no law shall be enacted contrary to these sources...

THE CRIMINAL ACT 1991

PART I
Preliminary Provisions
Interpretation and Explanations

"Hudud offence" means the offences of drinking alcohol, apostasy (ridda), adulter (zina), defamation, unchastity (quazf), armed robbery (hiraba), and capital theft.

PART XV
Adultery (Zina)
146. (1) Whoever commits the offence of adultery shall be punished with:
(a) execution by stoning where the offender is married (muhsan);
(b) 100 lashes where the offender is not married (non-muhsan).

Penalty for Capital Theft
171. (1) Whoever commits the offence of capital theft shall be punished with amputation of the right hand from the joint.

Penalty for Armed Robbery (Hiraba)
168. (1) Whoever commits the offence of armed robbery (Hiraba) shall be punished with:
(a) death, or death and then crucifixion...
(b) the amputation of the right hand and left foot...

PART IV
SANCTIONS
Death
27. (2) With the exception of Hudud and retribution (qisas) offences death sentence shall not be passed against any person who has not attained the age of eighteen or who exceeds seventy years of age. (Kitoto kikifanya hudud kinaweza kupigwa mawe au kamba mpaka kife!)

Whipping
35. Except in offences of Hudud,
(1) No judgment of whipping shall be passed upon a person who attained 60
years of age or a sick person whose life would be endangered by whipping or
whose sickness would thereby be aggravated. (Kizee kikifanya hudud kinaweza kupigwa mbakora mpaka kizirai!)

Pardon of the Offence
38. (1) The execution of hudud shall not be remitted by pardon. (Hizo hudud za sharia unaambiwa hata Rais hawezi kuku pardon. Unafaan mchezo na hudud!)

Kuna rapper mmoja wa kikenya anasema "nendelee ama nisendelee.."?

Hizo ni adhabu za nchi lakini si Sharia, labda hujui maana ya Sharia! Nchi inayofata Sharia huwa haina Rais wala katiba. Endelea kusoma labda utaelewa.
 
Sharia's Law is Marehemu Muhammad's laws and not from allah wa waislam, as demonstrated by Marehemu Muhammad.

Allah decrees what He wishes by the tongue of Muhammad… (Sunaan Abu Dawud, 3.41.5112). The ayat above proves that the giver of the decree is not allah but Marehemu Muhammad. BY THE TONGUE AND NOT THROUGH/VIA.

Sunaan Abu Dawud, Vol. 3. Hadith Number 5112
Abu Musa reported the Apostle of Allah (may peace be upon him) as saying: Make intercession to me, you will be rewarded, for Allah decrees what He wishes by the tongue of His Prophet. MAREHEMU MUHAMMAD ANATAKA KUABUDIWA KWASABABU YEYE NI ALLAH.

Mere belief in Allah does not make one Muslim, a Muslim must believe in Marehemu Muhammad; it is mandatory. Here we can see that allah is dependable to Marehemu Muhammad.

“The Prophet said, ‘If a Muslim discards his religion, kill him.” Bukhari: 4.52.260
“The Prophet said, “burn all those who had not left their houses for the prayer, burning them alive inside their homes.” Bukhari: 1.11.626

Bukhari Volume 1, Book 4, Number 234:

Narrated Abu Qilaba: He then ordered to cut their hands and feet (and it was done), and their eyes were branded with heated pieces of iron, They were put in 'Al-Harra' and when they asked for water, no water was given to them."

Tabari VIII: 96.” Zyad tied her legs with rope and then tied her between two camels until they split her in two. She was a very old woman”

Ishaq: 595 “The Apostle said, ‘Get him away from me and cut off his tongue.”

Here are few verses which say that if anyone rejects Muhammad and Allah he/she will be thrown into hell–fire. On the other hand, whoever obeys Muhammad and Allah will reside in Paradise.

Allah has prepared a blazing fire for those who reject Allah and his apostle, Muhammad...48:13. Hapa tunaona kuwa Marehemu Muhammad is at par with islamic allah.

Whoever obeys Allah and Muhammad is guaranteed Paradise...48:17. Hapata tunaona kuwa Marehemu Muhammad has qualified to becopme associate allah and allah in charge.

A hadith in Sahih Bukhari tells us beyond a shadow of doubt, that whoever believed in Allah and Muhammad will be in Paradise… (Sahih Bukhari, 4.54.478).

Muhammad could change his rotation system with his wives as he wished; he is free to have sex with any women whom he had previous separation (Allah did this to please Muhammad)...33:51 This is one of the muhammads favor from allah. Lakini inashangaza kuona na sikia kuwa wanachapa kizee cha miaka 75, na kumwaga sifa teletele kwa fisadi Marehemu Muhammad.

Allah's angels send blessings to Muhammad; all believers must also send blessings to Muhammad (i.e. they must say peace be upon him after his name is uttered)…33:56

Allah curses those who annoy Muhammad; there is a humiliating punishment for annoying Muhammad (death for blaspheming Muhammad)…33:57. This is anothe wickedness of Muhammad. He brainwashed people, by telling lies.

Allah has cooled Muhammad's temper and purified his heart (removed his sins)...94:1-2

Sahih Bukhari tells us that Allah hurries to please Muhammad (Sahih Bukhari, 7.62.48).

Sahih Bukhari, Volume 7, Book 62, Number 48: Narrated Hisham's father:

Khaula bint Hakim was one of those ladies who presented themselves to the Prophet for marriage. 'Aisha said, "Doesn't a lady feel ashamed for presenting herself to a man?" But when the Verse: "(O Muhammad) You may postpone (the turn of) any of them (your wives) that you please,' (33.51) was revealed, " 'Aisha said, 'O Allah's Apostle! I do not see, but, that your Lord hurries in pleasing you.' "

Sahih Muslim also records Allah’s favour for those who take Allah as their Lord along with Muhammad as the messenger of Allah… (Sahih Muslim, 1.0054)

Sahih Muslim, Book 001, Number 0054:

Let us read this verse.

Allah forgave Muhammad's past faults (Muhammad did commit sins) and future faults (Muhammad’s intended to commit sins)...48:2

Sura 34:50 Marehemu Muhammad say, "If I go astray, I go astray only to my own loss. Because he knew where he was going. HELL.

What they did to the old lady is (A 75 YEAR OLD LADY) wicked and proof that Islam is not Godly but satanic.
 
Mwingine huyu, ana copy na ku-paste hata hajui kimeandikwa nini na nini kimekusudiwa, duhh, Khatar kubwa hii!
 
What they did to the old lady is (A 75 YEAR OLD LADY) wicked and proof that Islam is not Godly but satanic.

Na huyu jee, alihukumiwa na waIslam? so who is more satanic?

WELLINGTON (Reuters) - A wheezing, deaf 85-year-old war hero described as an incorrigible thief has been sent to jail for a month for shoplifting, making him the oldest person in New Zealand jails, officials said Thursday.

Reginald Hugh Donovan has about 50 previous petty theft convictions since 2000, mainly for stealing grocery items, and has been banned from many stores in Christchurch, the largest city in New Zealand's South Island.

source: Pilfering deaf war hero is NZ's oldest prisoner
 
Mwingine huyu, ana copy na ku-paste hata hajui kimeandikwa nini na nini kimekusudiwa, duhh, Khatar kubwa hii!

Hebu tuangalie, matatizo ya akili yalianzia wapi.

4:80. He who obeys the Messenger "BLINDLY" (Muhammad), has indeed obeyed Allâh, but he who turns away, then we have not sent you (O Muhammad) as a watcher over them. (Tr. Hilali and Khan, the Noble Qur’an). JAMAA WAMELAZIMISHWA KUWA MAROBOTI NA KUAMINI MAREHEMU BLINDLY.

48:10. Verily, those who give Bai'â(pledge) to you (O Muhammad) they are giving Bai'â(pledge) to Allâh. THIS IS ANOTHER PROBLEM KATIKA DINI YA WAMANGA. The Hand of Allâh is over their hands. Then whosoever breaks his pledge, breaks only to his own harm, and whosoever fulfils what he has covenanted with Allâh, He will bestow on him a great reward. (ibid).

Obeying Allah and the apostle (Muhammad) is the highest achievement…33:71 ALLAH IS AT PAR WITH MAREHEMU MUHAMMAD.

33:71. He will direct you to do righteous good deeds [ KAMA WALIVYO MCHAPA MIJEREDI KIKONGWE, HAYO NI MATENDO MEMA KATIKA UISLAM] and will forgive you your sins, NA MAREHEMU KAWASAMEHE DHAMBI KWA KUFANYA KAZI NZURI YA KUCHAPA VIKONGWE MIJEREDI. And whosoever obeys Allâh and His Messenger he has indeed achieved a great achievement (i.e. he will be saved from the Hell-fire and made to enter Satanic Paradise).

Muhammad is the only person to be obeyed or followed (blindly); Allah does not love the disbelievers...3:32

It takes no applied mathematics to discover that islam is bogus, fraud, and is not according to the laws of nature.

Na huyu jee, alihukumiwa na waIslam? so who is more satanic?

WELLINGTON (Reuters) - A wheezing, deaf 85-year-old war hero described as an incorrigible thief has been sent to jail for a month for shoplifting, making him the oldest person in New Zealand jails, officials said Thursday.

Reginald Hugh Donovan has about 50 previous petty theft convictions since 2000, mainly for stealing grocery items, and has been banned from many stores in Christchurch, the largest city in New Zealand’s South Island.

source: Pilfering deaf war hero is NZ’s oldest prisoner

Hapa ndipo walipo anzia unyama wao kwa vikongwe wa kike.

Tabari VIII: 96.” Zyad tied her legs with rope and then tied her between two camels until they split her in two. She was a very old woman”

Now tell me if this religion is Godly?

"having two unrelated men in her house" inashangaza sana kusikia vituko na vioja vya uislam.

Je, mtume muhammad aliyekuwa na "unrelated women" sawa na timu ya netiboli walimfanya nini?

Dini zingine ni balaa tupu.

Tukiendeleza hapo hapo dini zengine kichefuchefu. Eti zinawathibitisha ******* kuwa wachungaji wa Kondoo sijui watawafundisha nini? xzyzxywxzwzxxna Maxshimba.
 
Nimefuata ushauri wako na ku-google mingling. Kwa vile Sharia hairuhusu mingling kwa opposite sex basi wanawake hawapaswi kuonekana sehemu yeyote ambako yuko mwanaume na si sebuleni kwao tu! Hii inatokana na tafsiri ya mingling kuwa si kujichanganya tu bali hata ku-come into contact!

Nimeangalia hizo Statistics na ndiyo maana nimekutolea mifano wa nchi ambazo crime rate iko chini sana wakati hawafuati Sharia. Sasa kama unapinga, basi weka za kwako na utaje ni nchi ngapi zenye kufuata Sharia zenye crime rates pungufu ya nchi nilizo zitaja.

Rais Numieri alibadilisha sheria iliyokuweko Sudan na kui-replace na Sharia mwezi Septemba mwaka 1983. Mfano mojawapo wa kuwepo kwa Sharia hii ni hukumu aliyopewa mwalimu wa kike wa Kiingereza kwa kosa la kumuita teddy bear Mohammed. Kama hata hili unaona ni debatable basi iko kazi.

Pengine na hili la kubisha kitendo cha GENOCIDE kwa Jews kuwa ni kosa kubwa unasemaje?
 
What Jesus brought to the world was this: the idea of condemning someone for their honest opinion to eternal torture. The infinite revenge of Jesus, for failing to believe his unbelievable tales, is the most intense form of pain and anguish imaginable, and not just for a long time, but forever. Apparently, his inexhaustible forgiveness runs out when it comes to hell. From hell there is no pardoning-- the gates of hell are one-way only. His "unconditional love" comes with this condition: believe these unreasonable accounts or suffer so much you'll wish you had never been born. And considering that the vast majority of the people who ever lived either never heard of Jesus or didn't believe in him, and are thereby subject to this doctrine of eternal pain, the notion of infinite revenge should be enough to sicken any moral, just person.

Was it God, or the devil, who said: "I will strew your flesh upon the mountains, and fill the valleys with your carcass. I will drench the land even to the mountains with your flowing blood..."

Was it God, or the devil, who said: "Therefore fathers shall eat their sons in the midst of you and sons shall eat their fathers...I will send famine and wild beasts against you and they shall rob you of your children; pestilence and blood shall pass through you; and I will bring a sword upon you."

Was it God, or the devil, who said: "Behold, I will corrupt your seed and spread dung upon your faces..."

Was it God, or the devil, who said: "Pass through the city after him, and smite; your eye shall not spare and you shall show no pity; slay old men outright, young men and maidens, little children and women..."

Was it God, or the devil, who said: "...I will take your wives before your eyes and give them to your neighbor, and he shall lie with your wives in the light of this sun."

Was it god, or the devil, who said: "Now therefore, kill every male among the little ones, and kill every woman who has known man by lying with him. But all the young girls who have not known man by lying with him, keep alive for yourselves."

Was it God, or the devil, who said: "Samar'ia shall bear her guilt, because she has rebelled against her God; they shall fall by the sword, their little ones shall be dashed in pieces, and their pregnant women ripped open."

Was it God, or the devil, who killed every man, woman, child and animal on earth because he lost his temper with them? Was it God, or the devil, who killed 50,000 of his children for merely looking into the ark of the covenant? Was it God, or the devil, who killed every firstborn child in Egypt for the deed of the Pharoah?
 
Hivi ndivyo mnavyofundishwa masjid kwenu..Bua ha ha ha..No wonder, mtume wenu Mwamedi , ingawa alikuwa darasa sifuri (a.k.a NGUMBARU) was better than you..

BTW, unapocopy original work za watu ni vyema uka-acknowledge 'wema' wao, ewe Pasta wa Wapoteao..
 
Last edited by a moderator:
Hizo data unazopigia kelele mbona huziweki wazi tuzione? zangu nimekuwekea wazi hapo. Na hizo nchi unazosema, mfano, Malaysia na Tunisia hazifati Sharia. Hebu tueleze unatowa wapi kuwa nchi hizo zinafata Sharia? au kichwani mwako tu?

Ahsante sana kwa fikra yako uliyonipa ya nijielimishe kwanza, sasa nakuuliza wewe, jee wewe umejielimisha kuhusu uIslam au unabishana tu?

Wewe kweli mvivu wa kufikiri. Ulishindwa kweli kubofya pale nilipokuambia ili upate data nilizokuwa nazungumzia? Ndiyo maana unangoja kuambiwa kipi ni Sharia badala ya kutafuta ukweli mwenyewe! Haya nakuwekea hizo statistics kwa uwazi zaidi.

#1 United States: 11,877,218
#2 United Kingdom: 6,523,706
#3 Germany: 6,507,394
#4 France: 3,771,850
#5 Russia: 2,952,370
#6 Japan: 2,853,739
#7 South Africa: 2,683,849
#8 Canada: 2,516,918
#9 Italy: 2,231,550
#10 India: 1,764,630
#11 Korea, South: 1,543,220
#12 Mexico: 1,516,029
#13 Netherlands: 1,422,863
#14 Poland: 1,404,229
#15 Argentina: 1,340,529
#16 Sweden: 1,234,784
#17 Belgium: 973,548
#18 Spain: 923,271
#19 Chile: 593,997
#20 Thailand: 565,108
#21 Ukraine: 553,594
#22 Austria: 552,411
#23 Finland: 520,194
#24 Denmark: 491,026
#25 New Zealand: 427,230
#26 Hungary: 420,782
#27 Czech Republic: 372,341
#28 Zimbabwe: 351,153
#29 Norway: 330,071
#30 Romania: 312,204
#31 Switzerland: 307,631
#32 Turkey: 286,482
#33 Morocco: 283,702
#34 Venezuela: 236,165
#35 Portugal: 218,360
#36 Colombia: 214,192
#37 Malaysia: 167,173
#38 Peru: 161,621
#39 Bulgaria: 148,915
#40 Uruguay: 134,010
#41 Belarus: 132,867
#42 Tunisia: 130,375
#43 Slovakia: 107,373
#44 Greece: 102,783
#45 Croatia: 101,853
#46 Lithuania: 92,646
#47 Philippines: 85,776
#48 Saudi Arabia: 84,599
#49 Slovenia: 81,697
#50 Ireland: 81,274
#51 Hong Kong: 80,592
#52 Iceland: 60,242
#53 Zambia: 59,426
#54 Estonia: 57,799
#55 Latvia: 49,329
#56 El Salvador: 44,762
#57 Costa Rica: 40,263
#58 Jamaica: 39,188
#59 Kyrgyzstan: 38,620
#60 Moldova: 36,302
#61 Mauritius: 35,943
#62 Bolivia: 31,138
#63 Luxembourg: 26,046
#64 Yemen: 24,066
#65 Panama: 21,058
#66 Macedonia, The Former Yugoslav Republic of: 19,814
#67 Kuwait: 19,350
#68 Burma: 18,301
#69 Malta: 17,023
#70 Azerbaijan: 15,520
#71 Georgia: 15,029
#72 Papua New Guinea: 13,292
#73 Cyprus: 13,023
#74 Armenia: 12,048
#75 Oman: 11,782
#76 Nepal: 8,872
#77 Dominica: 7,857
#78 Maldives: 7,026
#79 Qatar: 5,838
#80 Albania: 5,303
#81 Seychelles: 4,297
#82 Montserrat: 751
Total: 63,531,202
Weighted average: 774,770.8

DEFINITION: Note: Crime statistics are often better indicators of prevalence of law enforcement and willingness to report crime, than actual prevalence.

SOURCE: The Eighth United Nations Survey on Crime Trends and the Operations of Criminal Justice Systems (2002) (United Nations Office on Drugs and Crime, Centre for International Crime Prevention)

Wapi nimesema Tunisia na Malaysia zinafuata Sharia? Nilichosema ni kuwa zina waislamu wengi. Kama zilivyo Maldives na Uturuki. Nilichosema mimi ni hiki hapa:

Pamoja na yote hayo, katika nchi 30 zenye hesabu za mauaji ya chini kabisa ni nchi mbili tu ndizo zinazofuata Sharia. Tunisia (ya 50), Malaysia ( ya 34) na Indonesia ( ya 57) ingawa zina waislamu wengi hazitumii Sharia. Zilizobaki zinafuata sheria iliyokuwa based kwenye Judaeo Christian principles.

Sasa nani anayemwingizia maneno kinywani mwa mwenzake?

Mimi si muislamu kwa hiyo sina sababu ya kujielimisha kuhusu uislamu. Hata hivyo ninapoona kuna haja sisiti kutafuta ukweli kwenye vitabu vya kiislamu. Mimi hapa ninachopinga ni kitendo cha kumhukumu viboko mwanamke wa miaka 75 kwa kosa la kukaa sebuleni na watu wasio jamaa zake. Kwangu mimi hata kama ni Sharia au sheria iliyotumika kutoa hukumu, haibadilishi ukweli (nionavyo mimi) kuwa jamii inayoruhusu kitendo hicho ni ya kiovu na inastahili kukemewa na wote wanaopenda haki bila kujali dini yao.

Amandla.......
 
Mimi naitetea Sharia na kama kuna kifungu sikijui hukumu yake nnakuwa mkweli na muwazi kuwa hiyo hukumu siijui kwani mimi si mwana Sharia, mimi ni muumin wa uIslam.

Na pia nimetetea sheria, na nimesema kama ni Sharia au sheria ndio iliyotowa hiyo hukumu ya viboko kwa huyo mwanamke basi ni sawa kabisa. Huyo mwanamke alitakiwa afate Sharia au sheria za nchi anayoishi.

Au hujui kusoma? au mradi ubishane tuu?

Jee, wewe unazijuwa sheria zote zilizo kwenye Biblia au for this matter za nchi unayoishi? Hata ungekuwa ni mwana sheria basi ng'oo.

The Ten Commandments (Exodus 20:2-17 NKJV)

1 "I am the Lord your God, who brought you out of the land of Egypt, out of the house of bondage. You shall have no other gods before Me.

2 "You shall not make for yourself a carved image, or any likeness of anything that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth; you shall not bow down to them nor serve them. For I, the Lord your God, am a jealous God, visiting the iniquity of the fathers on the children to the third and fourth generations of those who hate Me, but showing mercy to thousands, to those who love Me and keep My Commandments.

3 "You shall not take the name of the Lord your God in vain, for the Lord will not hold him guiltless who takes His name in vain.

4 "Remember the Sabbath day, to keep it holy. Six days you shall labor and do all your work, but the seventh day is the Sabbath of the Lord your God. In it you shall do no work: you, nor your son, nor your daughter, nor your male servant, nor your female servant, nor your cattle, nor your stranger who is within your gates. For in six days the Lord made the heavens and the earth, the sea, and all that is in them, and rested the seventh day. Therefore the Lord blessed the Sabbath day and hallowed it.

5 "Honor your father and your mother, that your days may be long upon the land which the Lord your God is giving you.

6 "You shall not murder.

7 "You shall not commit adultery.

8 "You shall not steal.

9 "You shall not bear false witness against your neighbor.

10 "You shall not covet your neighbor's house; you shall not covet your neighbor's wife, nor his male servant, nor his female servant, nor his ox, nor his donkey, nor anything that is your neighbor's."

Hizi ni amri zilizo katika Agano la Kale. Ninajitahidi kuzifuata lakini naangalia context. Ukiangalia,kwa mfano, hizi amri zililengwa kwa wanaume na si wanawake. Zililenga vile vile raia huru. Hazikuhusu watwana na watumwa. Hii kwa mazingira ya sasa haiwezekani maana tunaamini kuwa wote, wanaume na wanaume, watwana, watumwa na waungwana, wote tuko sawa mbele ya Mwenyezi. Ukiangalia tena mali zinazozungumziwa katika amri ya 10, ingawa zilikuwa na uzito mkubwa wakati ule kwa wakati wetu hazina uzito ule ule. Kwa hali hiyo tunachukua mali halisi, kuwa usitamani mali ya jirani yako. Mali ikiwa chochote alichonacho (iPod n.k.) na jirani kuwa mtu mwingine yeyote.

Lakini kama mmisheni mzuri, ninajitahidi kufuta hasa amri ambayo kiongozi wangu alituasi tufuate. Na ni hii hapa chini:

Matthew 22:35 Then one of them, which was a lawyer, asked him a question, tempting him, and saying,

36 Master, which is the great commandment in the law?

37 Jesus said unto him, Thou shalt love the Lord thy God with all thy heart, and with all thy soul, and with all thy mind.

38 This is the first and great commandment.

39 And the second is like unto it, Thou shalt love thy neighbour as thyself.

40 On these two commandments hang all the law and the prophets.

Kwangu mimi hapa ndipo sheria katika Biblia ilipotulia. Hauwezi kumpenda Mungu bila kumpenda jirani yako. Hauwezi kumpenda jirani yako halafu ukamchapa viboko kwa kukaa sebuleni na jirani zake.

Tofauti kati yetu ni kuwa dini yangu na yako ni kuwa ya kwangu inaniambia nitafute ukweli mwenyewe na kuwa siku ya hukumu nitahukumiwa kwa vitendo vyangu mwenyewe bila kujali kama nilielekezwa vibaya au vipi. Wewe uko tayari kutetea uovu ali mradi anayetenda ni wa dini yako na anadai kuwa ndivyo ilivyo katika vitabu vyenu. Watu kama nyinyi mkiambiwa mbebe mawe mkampige hadi kufa mwanamke aliyezini hamjiulizi kama kweli haki ilitendeka. Na siku ya siku ukija ulizwa mbona yule binti hakuwa na hatia, utajitetea ulifuata maagizo ya Imamu wako! Iko kazi.

Sina haja ya kujua sheria zote katika nchi ninayoishi. Ninachopaswa kujua ni zile zinazonihusu binafsi katika maisha yangu ya kawaida na ya kitaaluma. Ignorance is never an excuse.

Amandla........
 
Heheheheee...naona Schmidt na MaxShimba wanau-enjoy sana huu mjadala...hehehehehee
 
Bible tunaisoma pale tunapoona mapadiri wanoana inabidi tuone, Jee hawa wachungaji wameamrishwa na Bible kufanya hivyo?

Tunapoona mnaabudu masanamu, basi tunafungua Bible tuone, jee haya ndio Bible inafundisha?

Tunapoona mnaingia makanisani na viatu, tunafunguwa bible na kuangalia jee haya ndio wanaofundishwa kwenye Bible?

Kwa mfano, umewahi kusikia kuwa Wamerekani wengi wametoka ukiristo na kuingia uIslam baada ya September 11?

Basi hao walisema hebu tuone huu uIslam ndio unafundisha haya yaliyotufika? wakachukuwa Qur'an na kuisoma, matokeo? khatar kubwa!

Sasa kama unajitahidi kutafuta ukweli kwenye Biblia kitu gani kinakuzuia kutafuta ukweli kwenye Sharia? Nyinyi mnaangalia literal translation ya Bible, kitabu chenye waandishi wengi na kilichoandikwa katika nyakati tofauti. Ndiyo maana badala ya kuangalia ujumbe mkuu uliokuwepo unatafuta vitu kama ushoga, nafasi ya msalba na uvaaji wa viatu kanisani! Hivi kuingia kwa watu wengi kwenye dini nyingine kunahusiana nini na ukweli wa dini hiyo? Dini si league ya mpira ambapo klabu zinagombea washabiki. Hata kama watatoka wote kwenye dini iliyo ya haki, akabaki mmoja, haibatilishi ukweli kuwa ile ndiyo dini ya haki, Inaelekea wewe kinachokuongoza zaidi ni ushabiki na sio imani uliyonayo. Badala ya kujielimisha katika imani yako unachukua faraja kwa kuangalia wingi wenu! Ingekuwa wingi ndiyo ishara basi wahindu nao wangetamba! Iko kazi.

Amandla........
 
Hizo ni adhabu za nchi lakini si Sharia, labda hujui maana ya Sharia! Nchi inayofata Sharia huwa haina Rais wala katiba. Endelea kusoma labda utaelewa.

Kama alivyosema Kuhani. Ziweke basi hizo Sharia unazozijua halafu uttajie nchi unayojua wewe kuwa inafuata sheria. Saudi Arabia ina Mfalme, Iran ina rais, Sudan ina Rais. Au ni Somalia ndiyo mfano wa nchi inayofuta Sharia maana kule hakuna Rais wala katiba!
 
Back
Top Bottom