Saudi's Lashing Old Women; Is it Law or Religion?

Kwani kinachozungumziwa hapa ni uwezo wa kufanya ngono? Mwanamke wa umri wowote anaweza kufanya ngono. Vile vile mwanamke yeyote anaweza kufanya ngono na mtu yeyote bila kujali kama ni baba yake, kaka yake, mtoto wake, binamu yake, rafiki yake, adui yake, mpenzi wake, mteja wake n.k. Uamuzi wa kuchagua nani afanye nae ngono hauendani kabisa na uwezo wake. Kwa hali hiyo , kama kinachokatazwa ni yeye kukutana na watu anaoweza kufanya nao ngono basi wanawake wote wazuiwe kukutana na mtu yeyote ( mwanaume au mwanamke) asiye mume wake. Kwa uhakika zaidi itabidi basi asiruhusiwa hata kubaki peke yake maana uwezo wa kujistarehesha mwenyewe anao! Hii sheria ni ya kipuuzi, period.

Amandla....

Kwa wasio na macho wala masikio ndio waonavyo hivyo, kuwa ni ya kipuuzi. Na ndio maana Jela zetu zimajaa wabakaji wa kila namna. Tushasikia vibibi vizee vikibakwa na vijana, vitoto vikibakwa na vizee. Wachungaji wakibaka, wachungaji wakif---a na kuolewa. Yote hayo ni kutokuwa na macho yanayoona na masikio yanayosikia.

Tazama nchi zinazofata Sharia (sio sheria) ulinganishe na zinazofata sheria uone tofauti ya crime rates. (NO MATTER WHICH CRIME)
 
Ni vigumu kujadili na kitu na watu kama MaxShimba ambao hata fikra za msingi katika walisemalo hawazijui. Tamaduni, imani na mila haziendani na ndo maana watu wengine huwaweka wasichana nusu uchi na kuwatembeza mbele ya jopo la majaji wachague mrembo kuliko wote. Wakati jambo hili laweza kukubalika kwa MaxShimba na baadhi ya watu inawezekana kabisa mjomba wake au jamaa mwingine wa karibu asiwe na hamu hata ya kusogea huko wanakorandishwa wasichana hao katika jina la uzuri, u-miss au whatever. Niliwahi kusikia hadithi za kabila moja Bongo ambalo ukikuta mkuki nje ya nyumba yako basi huingii ndani kwa kujua kuwa yumo mwenzio. Sasa sijui kama kwao MaxShimba hilo lipo - unless anatoka kwenye kabila hilo, naamini ni utamaduni ambao hawezi kuuafiki. Haiwezekani tukachukua maana moja ya haki za binadamu toka kona moja ya dunia na kuipeleka kona nyingine. Kama Wasaudi wana sheria zisizoruhusu mwanamke kuwa na mwanamume asomhusu sehemu faragha then so be it. Hakuna aliyesema kuwa MaxShimba akiwa Tandale sheria hiyo itamgusa. Ila akienda Riyadh, yes - when in Rome do as Romans do. It is just simple logic - haihitaji hata elimu ya fom foo...
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa kuwachapa viboko bibi vizee kutapunguza wao kubakwa? Mara ya mwisho nilipoangalia, Switzerland, nchi za Nordic, Japan, Costa Rica hawakuwa na sharia. Huku Sudan wana sharia lakini Janjaweed wanabaka kama kazi! Iran kuna watu wa kila jinsia wakijiuza, watu wanabwia unga kama kazi n.k. Si wachungaji peke yao wanaofanya maovu. Mashekhe na maimamu wa kiislamu, ma-monk waki buddhist, ma-guru wakihindu, marabbi wa kiyahudi wote hawako nyuma kwenye masuala haya.

Hapana, Mkuu. Usitetee uovu kwa sababu tu afanyae anadai ni wa dini yako. Uovu ni uovu. Na huu ni mojawapo!

Amandla..........
 
Kwa mtazamo kama wako tungeendelea kuwa na apartheid Afrika ya Kusini. Kwa mtazamo kama wako ndiyo maana Mauritania bado kuna utumwa. Kwa mtazamo kama wako, Hitler angebaki anaendelea kuwachoma wayahudi, watu weusi, mashoga n.k. Kwa mtazamo kama wako, Idi Amin angeendelea kutamba. Kwa mtazamo kama wako Charles taylor angeendelea kutesa. Na kadhalia.

Hauwezi kufananisha watu kutembea nusu uchi na sheria ya kumchapa viboko bibi kizee kwa sababu yuko sebuleni na watu wasio jamaa zake. Ni hawa hawa ndiyo walimhukumu binti aliyebakwa viboko na kifungo kwa kosa la kuwa kwenye gari na watu wasio jamaa zake!

Watu kama nyinyi hamuitendei haki dini yenu.

Amandla.......
 
Sheria za Allah (SW) ziko wazi. Tungepata hukumu ya hiyo kesi tungeweza kutoa maoni yetu tukiwa wazi zaidi jee mahakimu walikosea kutafsiri sheria za Muumba ama la. Hapa tunaegemea habari, ambayo mwandishi anaweza kuandika kwa kufuata utashi wake mwenyewe. Hivyo kujua kulikuwa na haki tungeona mwenendo wa kesi nzima ilikuaje.

Ukitaka zaidi kujua sheria soma Biblia, aya ifuatayo

18 If a man have a stubborn and rebellious son, which will not obey the voice of his father, or the voice of his mother, and that, when they have chastened him, will not hearken unto them: 19 Then shall his father and his mother lay hold on him, and bring him out unto the elders of his city, and unto the gate of his place; 20 And they shall say unto the elders of his city, This our son is stubborn and rebellious, he will not obey our voice; he is a glutton, and a drunkard. 21 And all the men of his city shall stone him with stones, that he die: so shalt thou put evil away from among you; and all Israel shall hear, and fear. 22 And if a man have committed a sin worthy of death, and he be to be put to death, and thou hang him on a tree
Deuteronomy 21:18-22

Nitajie nchi ambako mtu anahukumiwa kutokana na maandiko yaliyomo katika biblia. Hata katika hizo nchi mnazoziona kama ni zakikristu, biblia haina nafasi katika sheria!

Unachukuwa quotations kutoka katika Agano la Kale ili kutetea uovu? Kampige mtu mawe halafu kajitetee kuwa ndivyo ilivyo katika Deuteronomy, uone kitakachokupata!

Amandla.......
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa kuwachapa viboko bibi vizee kutapunguza wao kubakwa? Mara ya mwisho nilipoangalia, Switzerland, nchi za Nordic, Japan, Costa Rica hawakuwa na sharia. Huku Sudan wana sharia lakini Janjaweed wanabaka kama kazi! Iran kuna watu wa kila jinsia wakijiuza, watu wanabwia unga kama kazi n.k. Si wachungaji peke yao wanaofanya maovu. Mashekhe na maimamu wa kiislamu, ma-monk waki buddhist, ma-guru wakihindu, marabbi wa kiyahudi wote hawako nyuma kwenye masuala haya.

Hapana, Mkuu. Usitetee uovu kwa sababu tu afanyae anadai ni wa dini yako. Uovu ni uovu. Na huu ni mojawapo!

Amandla..........

Umeambiwa simply tazama statiscs, kinakushinda nini kufanya hivyo?

Mingling ya mwanamme na mwanamke kwa mujibu wa Sharia haitakiwi, no matter age gani, mradi awe kisha balehe, basi haiyumkiniki wa mingle. Labda utazame dictionary ujuwe maana ya mingling.

Kama viboko ndio hukumu ya ku-mingle, hilo silijuwi. Na kama ndio hukumu iliyowekwa basi sawa kabisa, kwani ukivunja sheria au Sharia basi kuna hukumu yake, kama huyataki hayo, usivunje sheria au Sharia ukiwa nchi za watu ati kwa sababu tu, kuwa kwenu hakuna sheria hiyo. Au vunja tuu sheria au Sharia ukikaa ukijuwa kwamba kishikwa ni kosa la kuhukumika.

Ya Idi Amin, na hayo mengine uliyoyataja achana nayo, na hao Janjaweed uliowataja, sidhani kama Sudan kuna Sharia, nijuavyo huko kuna sheria. Hayo yote ni debatable kivyake.
 
Nimefuata ushauri wako na ku-google mingling. Kwa vile Sharia hairuhusu mingling kwa opposite sex basi wanawake hawapaswi kuonekana sehemu yeyote ambako yuko mwanaume na si sebuleni kwao tu! Hii inatokana na tafsiri ya mingling kuwa si kujichanganya tu bali hata ku-come into contact!

Function:
verb
Inflected Form(s):
min·gled; min·gling
Etymology:
Middle English menglen, frequentative of mengen to mix, from Old English mengan; akin to Middle High German mengen to mix, Greek massein to knead
Date:
15th century

transitive verb1: to bring or mix together or with something else usually without fundamental loss of identity : intermix2archaic : to prepare by mixing : concoctintransitive verb1: to become mingled2 a: to come into contact : associate b: to move about (as in a group) [mingled with the guests]
Nimeangalia hizo Statistics na ndiyo maana nimekutolea mifano wa nchi ambazo crime rate iko chini sana wakati hawafuati Sharia. Sasa kama unapinga, basi weka za kwako na utaje ni nchi ngapi zenye kufuata Sharia zenye crime rates pungufu ya nchi nilizo zitaja.

Rais Numieri alibadilisha sheria iliyokuweko Sudan na kui-replace na Sharia mwezi Septemba mwaka 1983. Mfano mojawapo wa kuwepo kwa Sharia hii ni hukumu aliyopewa mwalimu wa kike wa Kiingereza kwa kosa la kumuita teddy bear Mohammed. Kama hata hili unaona ni debatable basi iko kazi.
 
Dar es Salaam. Kwa kukusaidia kuhusu hizo statistics, nakuwekea hapa:
NationMaster - Total crimes (most recent) by country

Angalia na utaona kuwa hii nchi inayochapa viboko wanawake watu wazima wana crime rate iliyo juu kuliko hata Jamaica! Na tukumbuke kuwa hizi statistics hazionyeshi nchi zote. Bila shaka kama wangeunganisha ufalme wa Vatican tofauti hiyo ingekuwa dhahiri kabisa. Viboko, kupiga mawe wazinzi, kukta mashingo wauza madawa ya kulevya, kukata mikono wezi si dawa kama ilivyo kuchoma viboko. Kwa kufanya hivyo tunajifurahisha na kujiridhisha bila kuangalia root cause ya crime.

Amandla.......
 
Nitajie nchi ambako mtu anahukumiwa kutokana na maandiko yaliyomo katika biblia. Hata katika hizo nchi mnazoziona kama ni zakikristu, biblia haina nafasi katika sheria!

Unachukuwa quotations kutoka katika Agano la Kale ili kutetea uovu? Kampige mtu mawe halafu kajitetee kuwa ndivyo ilivyo katika Deuteronomy, uone kitakachokupata!

Amandla.......

Kama hakuna nchi inayohukumu kwa maandiko ya Biblia, haifanyi Waislamu wanaotumia Quran kuhukumu katika nchi zao waache.
 
Kama hakuna nchi inayohukumu kwa maandiko ya Biblia, haifanyi Waislamu wanaotumia Quran kuhukumu katika nchi zao waache.

Naam. Na tutaendelea kuwakemea wanapotaka kuwachapa viboko waliobakwa, kuwahukumu kifo watu kwa kutaka kubadili dini, kutaka kuwachapa viboko watu kwa kuwaita wanasesere wao majina wanaoona kuwa ni matakatifu, kuwachapa watu kwa kukutana na watu sebuleni, kuwakumu vifo wasichana wanaopata mimba nje ya ndoa, wanapowakata mashingo watu kwa kutofautiana nao kimtazamo n.k. Kama tulivyowakemea makaburu walipodai kuwa ni biblia ndiyo iliyoweka wazi nafasi ya mtu mweusi katika jamii. Kwenye haki ya binadamu hatutaangalia rangi wala dini ya mtenda maovu!

Amandla.......
 
All I can say is thank God I was not born in some countries and some religions.
Hebu imagine this life sisi huku tunapigania women's rights,wot about these women?They cant even drive themselves. woi! woi! Tumshukuru tuu Mola we are not in this unfortunate boat.

Some things pple do in the name of religion can not come from the true God,
All things that opress and bring bondage in the life of anyone are from the Evil One,let us not blame God for such things.
---not all who call me Lord Lord will enter the kingdom of heaven;for they will say Lord did we not ------ in your name? And I will say DEPART FROM ME YOU WORKERS OF INIQUITY.
 
Kama hakuna nchi inayohukumu kwa maandiko ya Biblia, haifanyi Waislamu wanaotumia Quran kuhukumu katika nchi zao waache.

Kabla ya kuwahukumu watu kwa mujibu wa Koran, inabidi kwanza iudhihirishe kwa ummah kuwa imetoka kwa Mungu, kinyume cha hapo ni uvunjaji wa haki za binadamu, ambao Uislam is very good at that.
 
Kabla ya kuwahukumu watu kwa mujibu wa Koran, inabidi kwanza iudhihirishe kwa ummah kuwa imetoka kwa Mungu, kinyume cha hapo ni uvunjaji wa haki za binadamu, ambao Uislam is very good at that.

Hayo ni maneno yako ya chuki dhidi ya Uislamu, kule kwa jukwaa la dini kuna mada inazungumzia hayo. usitake uthibitisho kila kona, kasome. Ukweli utabaki ukweli kuwa Quran ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
 
Sasa kama unashindwa kuthibitisha kuwa Koran ni kitabu cha Mungu, halafu unaishia kumchapa kabibi kizee ka miaka 70, hivi una akili wewe?

Koran ni kitabu cha ngumbaru Mwamedi, na kitaendelea kuwa hivyo, labda mkiki-edit ndo walau kitafikia hatua ya kuanza kusomeka. Maana kilivyo ktk hali yake ya sasa, kinatia simanzi kwa kweli.
 
Tukana matusi yote, lakini tunamuomba Allah (SW) akufunglie uufuate ukweli uliokwisha uona. Sisi hatutukani, tutakufikishia ujumbe, uukubali ama uukatae ni juu yako. Tutazungumza nawe kama Allah (SW) alivyoagiza,

Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda (Q.5:8)
 
Tukana matusi yote, lakini tunamuomba Allah (SW) akufunglie uufuate ukweli uliokwisha uona. Sisi hatutukani, tutakufikishia ujumbe, uukubali ama uukatae ni juu yako. Tutazungumza nawe kama Allah (SW) alivyoagiza,

Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda (Q.5:

Matusi yangu ni kukupa live kuwa Koran ni ya Mwamedi? Bua ha ha ha..

Hivi definition ya matusi imebadilika siku hizi! LOL! Sikujua. Kwa hiyo siku hizi, Mwamedi akishikwa pabaya, basi ndo matusi.

Kaazi kwelikweli.
 
Ndio kusema mimi ndio huyo Madenge aliyechanganya data anakimbia tangazo la radio. Aloo, and how dare you parody me like that? First of all it is not true ...stop kunipakazia aisee...I don't mind you commenting anything ila kuni paint kama some Madenge. That was not so cool sister. I am C list not D list asiye classy. Oh well, sawa bana, God bless you sister Kelly.

Calm your nerves Mr!...so unataka kila mtu ajue i called you madenge?-:)!....and at least you are a C-lister Bravoooo....Ok i apologize for that Mr Kuhani..I guess we are even now innit sir?.
 
Matusi yangu ni kukupa live kuwa Koran ni ya Mwamedi? Bua ha ha ha..

Hivi definition ya matusi imebadilika siku hizi! LOL! Sikujua. Kwa hiyo siku hizi, Mwamedi akishikwa pabaya, basi ndo matusi.

Kaazi kwelikweli.

Kwa hiyo matusi uliyotoa kwa post zilizopita kwako unaona ni sawa. Wewe tukana lakini ujumbe unafika vizuri sana. Tutakufikishia aya, wewe ukishazisoma tukana. Umandika mwenyewe matusi, yakitoka kwa akili yako, lakini unajifanya hujaandika, ulishazungumziwa mtu wa aina yako,

Wana nyoyo, lakini hawafahamu kwazo. Na wana macho, lakini hawaoni kwayo. Na wana masikio, lakini hawasikii kwayo. Hao ni kama nyama howa, bali wao ni wapotofu zaidi. Hao ndio walioghafilika...
[Al-A'araaf: 179]
 
Hii mipasho ya Papaa Mudi ndo unaita ushahidi. LOL!

Hakuna cha nyoyo wala NYONYO. Hizo ayat ungezithibitisha kuwa kweli zinatoka kwa Mungu ningekuona wa maana, na kusingekuwa na swali.

Kabla hata hujathibitisha kuwa ayat ulizonazo zinatoka kwa Mungu, unaanza kuwakata watu shingo na kuwachapa bakora, tena viajuza visivyoweza hata kujitetea na kujimudu. Aibu tupu!
 
Back
Top Bottom