Saudi's Lashing Old Women; Is it Law or Religion?

Sheria ya kuchoma watu hai ni hii hapa chini. Uislam ni balaa.

Tabari VIII:122/Ishaq:515 “The Prophet gave orders concerning Kinanah to Zubayr, saying, ‘Torture him until you root out and extract what he has. So Zubayr kindled a fire on Kinanah’s chest, twirling it with his firestick until Kinanah was near death. Then the Messenger gave him to Maslamah, who beheaded him.”

Alafu wakakata kichwa.

Kumbe he gave order concering Kinanah to Zubayr.

Nilidhani kitu ikiitwa sheria basi itatamkwa kuanzia leo basi kosa hili na hili, litaadhibiwa hivi na vile. Hiyo uliyoleta hapo juu muft nadhani ni event iliyohusisha uuaji na sio sheria.
 
Inaonekana mnyenyekevu huyu bado anajifunza unyenyekevu. Soma hapa chini.

Allah decrees what He wishes by the tongue of Muhammad… (Sunaan Abu Dawud, 3.41.5112).

The ayat above proves that the giver of the decree is not allah but Marehemu Muhammad.

The consent of Marehemu Muhammad to burn, whoever, is/was a decree from allah.

ALLAH WAKO ANAZUNGUMZA KUPITIA NA KUTOKA ULIMI WA MTUME WAKO MWAMEDI NA KUWA SHARIA.
 
Kwa hiyo tatizo la umri halipo tena au sio? Sasa hiyo ndio adhabu ya tendo walilofanya, Kichwa cha habari kinasema ''mingling'', iwe sebuleni au kwengine kokote kule, it doesn't matter. Wewe kama unaona ni adhabu kali basi ukiwa huko usijaribu ku-mingle na wanawake unaoweza kuwaoa, ukikamatwa hukumu yake ni mboko kwa wote na kifungo juu. Hiyo ndio Saudia.

Kama vile wewe uonavyo ni uonevu kuchapwa bakora mwanamke anae mingle na wanaume wanaoweza kumuowa, mimi kwa upande wangu naona ni uonevu mkubwa wanawake wanapotembezwa jukwaani uchi au nusu uchi wakishindanishwa nani zaidi.

Saudia Motto is: LOVE IT OR LEAVE IT

Kichwa cha habari hakizungumzii "mingling" bali kinauliza kama kumchapa bakora mwanamke wa makamu ni sheria au dini ( nazidi kuwa na wasiwasi na uwezo wako wa kujisomea)! Mimi naamini mtu yeyote (mtoto, kijana au mzee) hastahili kuchapwa viboko kwa kitu kama hiki.

Hakuna mtu anakataa kuwa hiyo ndiyo Saudia. Ndio maana hautanikuta huko. Kama vile nilivyoepuka kwenda Afrika ya Kusini wakati wa makaburu ambako nisingeweza ku-mingle na rafiki zangu weupe. Kuweko kwa sheria hakuzifanyi kuwa za haki. Nchi yenye sheria kama hizi ni nchi kandamizi. Kama ilivyokuwa Afghanistan chini ya Taleban.

Ushabiki wenu juu ya sheria kama hizi ndio unaofanya watu wapinge maswala ya OIC na Mahakama ya Kadhi kwa nguvu zao zote. Tunaupenda na kuheshimu uhuru wetu wa ku-mingle na mtu yeyote tutakaye sehemu yeyote ile tutakayo. Uhuru huo tutaupigania mpaka kufa.

Uhuru huu unahusisha vile vile haki ya mwanamke au mwanaume yeyote kuingia katika mashindano yeyote ayatakayo, yawe ya kutembea nusu uchi, kuvaa mtandio n.k. Uhuru huu unampa haki yeyote yule kutembea nusu uchi kama inampendeza. Ni nyinyi ambao mnashindwa kukubali kuwa mwanamke ana akili sawa na mwanaume kwa hiyo anauwezo wa kujiamulia ndiyo mnaoamini kuwa wanalazimishwa na wanaume kutembea nusu uchi. Na mlivyo wanafik, wakati wa mashindano hambanduki kwenye luninga.

Wakatazeni wake zenu, binti zenu na ndugu zenu wanaokubali kubururwa lakini usiingilie uhuru wa dada zetu, mama zetu, binti zetu n.k. wa kufanya watakalo (kama sisi tufanyavyo tutakavyo )ili mradi hawavunji sheria ( si Sharia)!

Ninachoshangaa ni kuwa pamoja na kushabikia hizi sheria dhulumati hatuwaoni mkipanga foleni kuelekea Saudi Arabia, Pakistan au Afghanistan wakati wa Taleban. Badala yake, wengi wenu, mnabanana mbavu huko huko kwenye nchi za kikafir! Mkienda uarabuni, mnakimbilia Oman au Dubai! Iko kazi.

Amandla..........
 
Last edited:

1) Kichwa cha habari ni hiki hapa:

Saudis order 40 lashes for elderly woman for mingling

Usitake kujifurahisha kwa kutia uongo, toka mwanzo nakwambia usitie maneno yako kinywani mwangu, duhh, husadifiki?

Wewe ushaambiwa, hakuna tatizo la umri kwenye hukumu, na ukaonyeshwa kizee kilivyohukumiwa kwa kudokoa grocery huko New Zealand, wacha hiyo, ukitembea tembea kwenye mtandao utakutana na waliouliwa na sheria na wao wana miaka 74.

Kwa hiyo unakubali kuwa hukumu hiyo ipo na imetimizwa au sio?

Na nafurahi kusikia kuwa sitokuona Saudia, hapo umefanya la busara sana, kwani ukiona hukumu za nchi fulani huziwezi na wewe unajijuwa kuwa ukiwa huko utafanya hilo kosa ni bora uepuke, usije ukala mboko. Kama ulivyo epuka kwenda bondeni wakati huo uliousema. Kwa hilo nakupa heko na ni uamuzi wa busara kutoka kwako. Na waSaudi hawajakosea walipoweka motto yao kuwa LOVE IT OR LEAVE IT, wanajuwa kuwa wapo watu kama wewe ambao hawatoweza hukumu zao, kwa hiyo bora wa warn kabisa.

Hayo mengine yako mwenyewwe na sina muda wa kuyajibu,ila msimamo wangu ni uleule, ukiwa nchi za watu fata Sharia au sheria zao, kama huwezi usiende. Saudia uki mingle ni mboko, na kama unaona mboko ni udhalilishaji basi usifanye kosa. Ukifanya kosa utadhalilishwa ili ujirekebishe makosa yako. Hakuna hukumu ya kuvunja sheria isiyodhalilisha iwe yeyote ile.

Mtazamo wako wa kutembeza wanawake uchi kuwachaguwa nani zaidi kkuwa si udhalilishaji, huo ni wako na siwezi kukuingilia katika hilo, ila kwa mtazamo wangu hilo ni udhalilishaji. Na sidhani hata kama dini yako, yeyote iweyo (labda ya kishetani) itakubaliana na wewe katika hili. Na wewe uko huru kabisa kushindanisha dada zako, mama zako, shoga zako uchi au nusu uchi lakini ni huko unakokubaliwa kisheria si Saudia hilo halikubaliki huko.

Mengine mengi uliyosema kwa jazba, sina wakati nayo.
 
Dar es Salaa. Kweli mzito wa kuelewa. Kichwa cha habari cha mada hii iliyoletwa na AbTichaz ni SAUDI'S LASHING OLD WOMEN; IS IT LAW OR RELIGION?
Hii ndiyo tunayoizungumzia na si taarifa iliyowekwa katika kujenga hoja!

Jazba inatoka wapi? Hautaki ukweli kuwa sheria kama hizi hazitaona mwanga Tanzania?
 
some examples of recent convictions under sharia law:

1996-mar: Afghanistan: Some strict interpretations of islamic law calls for the death penalty for any woman found in the company of a man other than a close family member. Sexual activity is assumed to have happened. A woman, jamila, was found guilty of trying to leave the country with such a man. She was caught and stoned to death on 1996-mar-28. 1

1996-nov: Afghanistan: Under the previous, taliban, regime, a woman, nurbibi, 40, and a man turylai, 38, were stoned to death in a public assembly using palm-sized stones. They were found guilty of non-marital sex. Turylai was dead within ten minutes, but nurbibi had to be finished off by dropping a large rock on her head. Mr. Wali, head of the office for the propagation of virtue and the prohibition of vice expressed satisfaction with the execution: "...i am very happy, because it means that the rule of islam is being implemented." these executions (as well as hand amputations for convicted thieves) are regarded as religious occasions and are not normally viewed by non-muslims. 2

2000-feb: United arab emirates: Kartini binti karim, (a.k.a. Ms. Karteen karikanderan), an unmarried citizen of indonesia, was working as a housemaid in the united arab emirates when her pregnancy was detected. She and a man -- a citizen of india -- were charged with adultery. She was convicted; he fled the country before he could be arrested. She was placed on trial without a lawyer or a translator, "...alone and equipped with barely any word of the local language," . She was not told that she had a right to communicate with her embassy. Her embassy was not informed in advance of the trial. Under the uae's form of sharia, she was sentenced to death by stoning. The indonesian government hired a lawyer and translator to appeal her case. 3 on apr-25, the appeals court reduced her sentence to one year in prison, followed by deportation.

2000-aug: A woman, "amina abdullahi is sentenced to 100 lashes in the state of zamfara for having premarital sex." 4

2000-nov: Attine tanko, 18, is found guilty of having pre-marital sex out of wedlock. She was discovered to be pregnant. Her sentence of 100 lashes was deferred for up to two years after the birth, so that she could breastfeed her baby. Her boyfriend, 23, was flogged 100 times and given jail time. 4

2001-sep: Nigeria: A teenage single mother, bariya ibrahim magazu claimed at trial that she was raped by three men. The court assumed that she was guilty, because she could not prove that her father pressured her to engage in sexual activity with the men. She was found guilty of two offenses: Having pre-marital sex, and bringing false charges against the men that she claimed were responsible. Her sentence was 180 lashes. 5 "when nongovernmental groups ramped up pressure to free the girl, the government immediately carried out the sentence, ignoring a promised appeal process. The local authorities said they wanted to put an end to the controversy." 6

2001-oct: Nigeria: Safiya hussaini tungar-tudu, a 30-year-old pregnant woman, had asked a sharia court in sokoto state to force a man that she alleged had raped her, to pay for her daughter's naming ceremony. The court refused, and then charged her with engaging in sexual intercourse outside of marriage. She was sentenced to be stoned to death. The man that she allegedly had sex with was freed by the court for lack of evidence. She successfully appealed the conviction. An appeal judge overturned her conviction, stating that there were very serious errors in her arrest and trial. She had not been given any legal representation, and the court had failed to establish the basic facts of the case. Above all, the alleged act of adultery had taken place before the sharia law was implemented in the state. She was freed, and planned to remarry her former husband.
According to an australian newspaper, the governor of sokoto, attahiru bafarawa, "attacked the european union and women's rights groups for criticising the islamic court that sentenced her. He said he had received more than 500 letters from interest groups and individuals protesting against the conviction." bafarawa said: "unfortunately, most of the human rights groups were not patient enough to allow justice to take its course in the case of safiya. Instead, they chose to be putting pressure on the executive arm of the government to interfere with the course of justice." 7

2001-dec: Sudan: An 18 year-old pregnant woman, abok alfa akok, was accused by her husband of adultery. She claimed that she had been raped. The man co-accused with abok was not tried due to lack of evidence. She was tried, even though the country claims that sharia would not be applied to non-muslims. In sudan, a married person found guilty of adultery is executed by stoning; an unmarried person receives 100 lashes. She had no lawyer, and was unaware of her rights during the trial. She could not speak or understand arabic, the language of the court. The court of appeal in southern darfur overturned the death sentence and sent the case back to the lawyer court which set punishment at 75 lashes. By immediately executing the sentence, she was denied her right to obtain legal advice and/or an launch an appeal prior to the beating. 8

2002-mar: Nigeria: Safiya hussaini, 33, was convicted of adultery. She was sentenced to be buried up to her neck in sand and to be stoned to death. However, her sentence was deferred until her 13-month-old daughter has finished nursing. She appealed her conviction. Her cousin, a mr. Abubakar allegedly confessed to police that he had sex with her three times. However, the judge dismissed the testimony of the three policemen who witnessed abubakar's confession, because a minimum of four witnesses are required under sharia law. Hussaini's lawyers claimed that she also could not be convicted because of the four witness rule. The prosecution argued that witnesses were not required in her case; adultery had obviously taken place because she had become pregnant. Her defense team finally argued that, under islamic law, the interval between conception and birth can be up to seven years! Only two years previous to the birth of her daughter, she was still married to her husband. The lawyers argued that her husband could possibly have been the father. Commenting on the conviction, aliyu abubakar sanyinna, the attorney general of sokoto state, said: "society is injured by her act. The danger is that it will teach other women to do the same thing." 9 mansur ibrahim said, dean of the law faculty at dakar university in sokoto said that adultery is "an abomination abhorred by god and society because of the example it gives and because it creates bastards to be rejected by society." 9

the appeals court later reversed the lower court conviction. They ruled that the alleged act had taken place before sharia law was activated in the province, and adultery became a criminal offence. There was strong international interest in her case. The european union, the parliament of italy and many non-governmental organizations, appealed for safiya to be spared. 10 in 2002-jul, she married an entertainer in her local village.

2002-mar: Nigeria: A woman, amina lawal kurami, from the small village of kurami in katsina in norther nigeria was sentenced to death for adultery. The sentence was delayed for eight months (one source said 2 years) until she has finished breast feeding her infant. Nigerian justice minister, kanu agabi, declared this and other sharia punishments discriminatory and therefore unconstitutional. This is the first time that the national government has made its position clear. 11 she appealed the conviction, on the basis that the offence occurred before sharia law came into effect. Her lawyers also claimed that she had no legal representation in her original court trial before a village court. The appeal was rejected by the islamic high court in funtua in katsina state. Dozens of spectators cheered and shouted "god is great". Her execution will be delayed until at least 2004-jan until her daughter has finished breastfeeding. The federal government is planning to help kurami appeal her sentence to the nigerian supreme court. This case may ignite a major legal battle between the state and federal governments. 12 her case was eventually dismissed.

2002-may: Nigeria: A man, sarimu mohammed, 50, was sentenced to be stoned to death by a court in jigawa for raping a nine-year-old girl. 5

2002:bauchi: A woman, adama unusua, 19, was sentenced to 100 lashes by a bauchi court, for engaging in sexual intercourse with her fiancÉ. She was pregnant at the time of the trial. 5

2002-jun: Nigeria: A sharai court convicted a man, yunusa rafin chiwaya, of adultery in the northern state of bauchi, and sentenced him to be stoned to death. He had confessed to engaging in sexual activities with his neighbor's wife, and had declined multiple opportunities to withdraw his confession. The woman in the case was cleared after she swore on the qur'an that she had been hypnotized before she left home with chiwaya. 13

2002-aug-25: Nigeria: He upper sharia court in the northern state of niger has sentenced two people to be stoned to death. Ahmadu ibrahim, 32, and his lover fatima usman had confessed to pre-marital sex. They have 30 days in which to appeal the sentence. 14

2002-aug-30: Usa: A group of 25 women from the national organization of women (now) demonstrated in front of the nigerian embassy in washington dc chanting: "stoning women is barbaric...follow the law and not the cleric." and: "ho, ho! Hey, hey! Religious extremists go home and pray!" they carried signs that stated: "nigeria, stop stoning women" and "rocks are for gardens, not to hurt women." now overlooked the fact that more men than women have been sentenced to be stoned to death in nigeria. 12

2002-sep-24: Nigeria: By a vote of 4 to 1, a five judge panel overturned amina lawal kurami's conviction. The appeals court found that lower courts had committed many errors under sharia law:

Muslim belief allows for a five year interval between human conception and birth. Five years prior to the date of her daughter's birth, she was still married to her husband.

She was not given ample opportunity to defend herself.

Only one judge was present at her initial conviction; three are required under local sharia law. 15

"having two unrelated men in her house" inashangaza sana kusikia vituko na vioja vya uislam.

Je, mtume muhammad aliyekuwa na "unrelated women" sawa na timu ya netiboli walimfanya nini?

Dini zingine ni balaa tupu.
Do not criticize anybody and especially a religious ruling / cultural behaviour if you do not fully comprehend the subtle blend of the matter under discussion or basic principle behind the ruling.
Beware and do not forget that not everything reported appear as it is reported and your logic may be in contrast to the other "LOGIC" (capital letters intentional!).

You appear to be biased against islam but be informed that the so called islamic nations have:
1. the lowest crime rates (all types of crime) compared to "western civilised" nations
2. lowest or non existent prostitution, problems with alcoholism, drugs, killings.
3. governments really care about their citizens health and not pretend to care e.g. by encouraging smoking cigarrettes on one hand and at the same time say that this causes cancer which in turn kills the same citizens.

Now, everything comes at a price. If you want freedom of unlimited choices as against restrictions that are in the end beneficial to yourself and society as a whole.
Human soul and human desires are not perfect and always tends to corrupt ideas, corrupt and frivolous behaviour. Check your scriptures, whatever religion you believe for proof of this last sentence!
 
some examples of recent convictions under sharia law:

1996-mar: Afghanistan: Some strict interpretations of islamic law calls for the death penalty for any woman found in the company of a man other than a close family member. Sexual activity is assumed to have happened. A woman, jamila, was found guilty of trying to leave the country with such a man. She was caught and stoned to death on 1996-mar-28. 1

1996-nov: Afghanistan: Under the previous, taliban, regime, a woman, nurbibi, 40, and a man turylai, 38, were stoned to death in a public assembly using palm-sized stones. They were found guilty of non-marital sex. Turylai was dead within ten minutes, but nurbibi had to be finished off by dropping a large rock on her head. Mr. Wali, head of the office for the propagation of virtue and the prohibition of vice expressed satisfaction with the execution: "...i am very happy, because it means that the rule of islam is being implemented." these executions (as well as hand amputations for convicted thieves) are regarded as religious occasions and are not normally viewed by non-muslims. 2

2000-feb: United arab emirates: Kartini binti karim, (a.k.a. Ms. Karteen karikanderan), an unmarried citizen of indonesia, was working as a housemaid in the united arab emirates when her pregnancy was detected. She and a man -- a citizen of india -- were charged with adultery. She was convicted; he fled the country before he could be arrested. She was placed on trial without a lawyer or a translator, "...alone and equipped with barely any word of the local language," . She was not told that she had a right to communicate with her embassy. Her embassy was not informed in advance of the trial. Under the uae's form of sharia, she was sentenced to death by stoning. The indonesian government hired a lawyer and translator to appeal her case. 3 on apr-25, the appeals court reduced her sentence to one year in prison, followed by deportation.

2000-aug: A woman, "amina abdullahi is sentenced to 100 lashes in the state of zamfara for having premarital sex." 4

2000-nov: Attine tanko, 18, is found guilty of having pre-marital sex out of wedlock. She was discovered to be pregnant. Her sentence of 100 lashes was deferred for up to two years after the birth, so that she could breastfeed her baby. Her boyfriend, 23, was flogged 100 times and given jail time. 4

2001-sep: Nigeria: A teenage single mother, bariya ibrahim magazu claimed at trial that she was raped by three men. The court assumed that she was guilty, because she could not prove that her father pressured her to engage in sexual activity with the men. She was found guilty of two offenses: Having pre-marital sex, and bringing false charges against the men that she claimed were responsible. Her sentence was 180 lashes. 5 "when nongovernmental groups ramped up pressure to free the girl, the government immediately carried out the sentence, ignoring a promised appeal process. The local authorities said they wanted to put an end to the controversy." 6

2001-oct: Nigeria: Safiya hussaini tungar-tudu, a 30-year-old pregnant woman, had asked a sharia court in sokoto state to force a man that she alleged had raped her, to pay for her daughter's naming ceremony. The court refused, and then charged her with engaging in sexual intercourse outside of marriage. She was sentenced to be stoned to death. The man that she allegedly had sex with was freed by the court for lack of evidence. She successfully appealed the conviction. An appeal judge overturned her conviction, stating that there were very serious errors in her arrest and trial. She had not been given any legal representation, and the court had failed to establish the basic facts of the case. Above all, the alleged act of adultery had taken place before the sharia law was implemented in the state. She was freed, and planned to remarry her former husband.
According to an australian newspaper, the governor of sokoto, attahiru bafarawa, "attacked the european union and women's rights groups for criticising the islamic court that sentenced her. He said he had received more than 500 letters from interest groups and individuals protesting against the conviction." bafarawa said: "unfortunately, most of the human rights groups were not patient enough to allow justice to take its course in the case of safiya. Instead, they chose to be putting pressure on the executive arm of the government to interfere with the course of justice." 7

2001-dec: Sudan: An 18 year-old pregnant woman, abok alfa akok, was accused by her husband of adultery. She claimed that she had been raped. The man co-accused with abok was not tried due to lack of evidence. She was tried, even though the country claims that sharia would not be applied to non-muslims. In sudan, a married person found guilty of adultery is executed by stoning; an unmarried person receives 100 lashes. She had no lawyer, and was unaware of her rights during the trial. She could not speak or understand arabic, the language of the court. The court of appeal in southern darfur overturned the death sentence and sent the case back to the lawyer court which set punishment at 75 lashes. By immediately executing the sentence, she was denied her right to obtain legal advice and/or an launch an appeal prior to the beating. 8

2002-mar: Nigeria: Safiya hussaini, 33, was convicted of adultery. She was sentenced to be buried up to her neck in sand and to be stoned to death. However, her sentence was deferred until her 13-month-old daughter has finished nursing. She appealed her conviction. Her cousin, a mr. Abubakar allegedly confessed to police that he had sex with her three times. However, the judge dismissed the testimony of the three policemen who witnessed abubakar's confession, because a minimum of four witnesses are required under sharia law. Hussaini's lawyers claimed that she also could not be convicted because of the four witness rule. The prosecution argued that witnesses were not required in her case; adultery had obviously taken place because she had become pregnant. Her defense team finally argued that, under islamic law, the interval between conception and birth can be up to seven years! Only two years previous to the birth of her daughter, she was still married to her husband. The lawyers argued that her husband could possibly have been the father. Commenting on the conviction, aliyu abubakar sanyinna, the attorney general of sokoto state, said: "society is injured by her act. The danger is that it will teach other women to do the same thing." 9 mansur ibrahim said, dean of the law faculty at dakar university in sokoto said that adultery is "an abomination abhorred by god and society because of the example it gives and because it creates bastards to be rejected by society." 9

the appeals court later reversed the lower court conviction. They ruled that the alleged act had taken place before sharia law was activated in the province, and adultery became a criminal offence. There was strong international interest in her case. The european union, the parliament of italy and many non-governmental organizations, appealed for safiya to be spared. 10 in 2002-jul, she married an entertainer in her local village.

2002-mar: Nigeria: A woman, amina lawal kurami, from the small village of kurami in katsina in norther nigeria was sentenced to death for adultery. The sentence was delayed for eight months (one source said 2 years) until she has finished breast feeding her infant. Nigerian justice minister, kanu agabi, declared this and other sharia punishments discriminatory and therefore unconstitutional. This is the first time that the national government has made its position clear. 11 she appealed the conviction, on the basis that the offence occurred before sharia law came into effect. Her lawyers also claimed that she had no legal representation in her original court trial before a village court. The appeal was rejected by the islamic high court in funtua in katsina state. Dozens of spectators cheered and shouted "god is great". Her execution will be delayed until at least 2004-jan until her daughter has finished breastfeeding. The federal government is planning to help kurami appeal her sentence to the nigerian supreme court. This case may ignite a major legal battle between the state and federal governments. 12 her case was eventually dismissed.

2002-may: Nigeria: A man, sarimu mohammed, 50, was sentenced to be stoned to death by a court in jigawa for raping a nine-year-old girl. 5

2002:bauchi: A woman, adama unusua, 19, was sentenced to 100 lashes by a bauchi court, for engaging in sexual intercourse with her fiancÉ. She was pregnant at the time of the trial. 5

2002-jun: Nigeria: A sharai court convicted a man, yunusa rafin chiwaya, of adultery in the northern state of bauchi, and sentenced him to be stoned to death. He had confessed to engaging in sexual activities with his neighbor's wife, and had declined multiple opportunities to withdraw his confession. The woman in the case was cleared after she swore on the qur'an that she had been hypnotized before she left home with chiwaya. 13

2002-aug-25: Nigeria: He upper sharia court in the northern state of niger has sentenced two people to be stoned to death. Ahmadu ibrahim, 32, and his lover fatima usman had confessed to pre-marital sex. They have 30 days in which to appeal the sentence. 14

2002-aug-30: Usa: A group of 25 women from the national organization of women (now) demonstrated in front of the nigerian embassy in washington dc chanting: "stoning women is barbaric...follow the law and not the cleric." and: "ho, ho! Hey, hey! Religious extremists go home and pray!" they carried signs that stated: "nigeria, stop stoning women" and "rocks are for gardens, not to hurt women." now overlooked the fact that more men than women have been sentenced to be stoned to death in nigeria. 12

2002-sep-24: Nigeria: By a vote of 4 to 1, a five judge panel overturned amina lawal kurami's conviction. The appeals court found that lower courts had committed many errors under sharia law:

Muslim belief allows for a five year interval between human conception and birth. Five years prior to the date of her daughter's birth, she was still married to her husband.

She was not given ample opportunity to defend herself.

Only one judge was present at her initial conviction; three are required under local sharia law. 15

So What?

The question is whether you believe in God or NOT! The world was never and will never be perfect. For believers in God, that is what needs to be done in executing God's will. It has been that way since times immemorial. You can find evidence in all God's revelations, however dilute they may be.
On the other hand, if you are a humanist and / or non believer, I agree that this may disturb you. But then, keep your opinion to yourself because you can never convince believers that what they are practising is wrong! Just as believers cannot convince you that your forefather was NOT a monkey! Which of course, according to you is right, isnt it?
 
So What?

The question is whether you believe in God or NOT! The world was never and will never be perfect. For believers in God, that is what needs to be done in executing God's will. It has been that way since times immemorial. You can find evidence in all God's revelations, however dilute they may be.
On the other hand, if you are a humanist and / or non believer, I agree that this may disturb you. But then, keep your opinion to yourself because you can never convince believers that what they are practising is wrong! Just as believers cannot convince you that your forefather was NOT a monkey! Which of course, according to you is right, isnt it?[/quote]

Read your prior post. Hahaha ahaha ahahaaa.

Wickedness in Islam.

Je, babu yako wewe Marlenevdc alikuwa nyani? Na wewe Marlenevdc ni uzao wa ngapi wa huyo nyani aliye mzaa baba yako?

Kumbe he gave order concering Kinanah to Zubayr.

Nilidhani kitu ikiitwa sheria basi itatamkwa kuanzia leo basi kosa hili na hili, litaadhibiwa hivi na vile. Hiyo uliyoleta hapo juu muft nadhani ni event iliyohusisha uuaji na sio sheria.

Mara nyingi kurukia jambo usilolijua kunaweza kukakuumbuwa bure. Ngugu kama u mwelewa sikia hili; Waislamu sheria zao na mafundisho yao yako katika vitu viwili vikubwa- Qurani na matendo ya Mtume Muhammad (SAW).
Naamini hulijui hili na bora fanya utafiti kwanza kabla ya yote.
 
Inaonekana mnyenyekevu huyu bado anajifunza unyenyekevu. Soma hapa chini.

Allah decrees what He wishes by the tongue of Muhammad… (Sunaan Abu Dawud, 3.41.5112).

The ayat above proves that the giver of the decree is not allah but Marehemu Muhammad.

The consent of Marehemu Muhammad to burn, whoever, is/was a decree from allah.

ALLAH WAKO ANAZUNGUMZA KUPITIA NA KUTOKA ULIMI WA MTUME WAKO MWAMEDI NA KUWA SHARIA.

MAX kwa lolote uwalo kumbe huko peke yako. Nini ufahamu wako kwa hicho ulichokinakili? Hebu nieleze dini gani ambayo MUNGU mwenyewe alifikisha ujumbe kwa wafuasi? Nini maana ya Manabii? Hivyo Mungu wako (kama unae) huja usingizini na kukupa maamrisho? Chuki ni upofu mwerevu hugeuka kuwa mjinga kwa chuki.
 
Hivi ndivyo mnavyofundishwa masjid kwenu..Bua ha ha ha..No wonder, mtume wenu Mwamedi , ingawa alikuwa darasa sifuri (a.k.a NGUMBARU) was better than you..

BTW, unapocopy original work za watu ni vyema uka-acknowledge 'wema' wao, ewe Pasta wa Wapoteao..

Basi, Wayahudi wakashangaa na kusema "Mtu huyu amepataje elimu naye hakusoma shuleni?"
S.N.T.B

Wayahudi wakastaajabu wakisema, Amepataje huyu kujua elimu, ambaye hakusoma?
S.U.B

The Jews marveled at it, saying, "How is it that this man has learning, when he has never studied?
(RSV)

And the Jews marvelled, saying, How knoweth this man letters, having never learned?
KJV
yohana 7:15
 
Asante sana, ndg Pasta wa Wapoteao, kwa kutuletea ayat murwa kutoka ktk kitabu pekee cha uzima chini ya jua.

Hoja yangu ilikuwa mtume wako Mwamedi alikuwa ngumbaru, ambapo hata kitabu chake alichotunga, kimedhihirisha hayo..Hakuna logic, chrono, bali humo kuna makosa, pumba, mshudu, samadi, chuki, jazba, ukatili, visasi, etc lukuki.

Ila kwenye hizi ayat ulotuletea wayahudi wenyewe wanakubali kiwango cha juu cha elimu alichokuwa nacho, Jesus The Masih, hivyo wakawa wanaulizana, hivi huyu mkuu kama angeenda skuli si itakuwa balaa zaidi?

Mkuu shukran kwa kutukumbusha haya ..

M'asalama.
 
Ni religious law (sharia) na as long as Saudi Arabia itaendelea kutawaliwa na sharia, jua kwamba non-islamic laws au political systems kama british common law, western democrasy ambavyo vinatenganisha dini na state zitakuwa hazina nafasi, kwasababu ni kweli kwamba hizi hazina nafasi katika kuenedesha islamic state, heshimuni hilo....
Zinaa ni uchafu (morally) na jinai (crime) katika uislamu na una adhabu zake. Na maingiliano (mingling) yanayopelekea watu kutenda/kudondokea katika kufanya zinaa ni uchafu na bila shaka vilevile ni crime (morally and legally) na hayana nafasi katika uislamu. Haya mambo democrasy ya magharibi yameshawadondoka kutoka mikononi mwao. Ni medical sophistaication na advancement yao tu ndio kidogo inawasaidia, lakini sisi vipofu ambayo mambo haya tunayalembea kutoka mikononi mwetu kwa makusudi, ndio ukimwi unatumaliza.

Humu katika hii forum hamna hata mmoja anayefahamu mazingira halisi ya tukio hili, tunaburuzwa tu na vyombo vya habari vya magharibi na propaganda zao. Sharia na mikondo yake (islamic sharia law) ni tofauti na sheria nyengine zisizo za kiislamu (eg. british common law etc.) na hizi kwa pande zote mbili, ni professions ambazo practitioners wanazisomea kwa miaka katika universities. Waislamu wanazisoma non-islamic laws na wanaziheshimu lakini tofauti na wamagharibi (in general ), mafisadi wenzao na mataifa waburuzwa wake kama sisi, hawa/tujui, hawa/tujifunzi, hawa/tuheshimu, basi tupo tuuuu kucheza ngoma tusioijua.

"Wanajaribu kuizima nuru ya Mwenyezi Mungu kwa midomo yao, na Mwenyezi Mungu ataitimiza nuru yake, hata wakikirihika wenye kukufuru(makafiri).
 
Wakishindwa hoja utawaona wakitapatapa huku na huku, kukwamuwa habari za uongo na kutunga na kuzibandika humu.

Hebu twambieni nyinyi mnaoipiga vita Sharia, vitabu vyenu vina sheria na hukumu zake? na kama zipo hebu tukandamizieni hapa japo mbili tatu tuzione. Mtaweza?
 
How is it possible uwe ngumbaru afu utunge kitabu?? if possible jamaa ni Genus. usi chekeshe walio nuna.

You have raised a very interesting question here. Nisingependa tulijadili hapa, maana si pahala pake.

Ila kama una confidence na unachokiongea, tafadhali , sisi wajakazi wako, tunakuomba uje ukatuelimishe kule kwenye jukwaa la letu tukufu la dini na imani, maana wasilamu wenzako wanapelea maarifat kule.

Karibu sana.
 
Asante sana, ndg Pasta wa Wapoteao, kwa kutuletea ayat murwa kutoka ktk kitabu pekee cha uzima chini ya jua.

Hoja yangu ilikuwa mtume wako Mwamedi alikuwa ngumbaru, ambapo hata kitabu chake alichotunga, kimedhihirisha hayo..Hakuna logic, chrono, bali humo kuna makosa, pumba, mshudu, samadi, chuki, jazba, ukatili, visasi, etc lukuki.

Ila kwenye hizi ayat ulotuletea wayahudi wenyewe wanakubali kiwango cha juu cha elimu alichokuwa nacho, Jesus The Masih, hivyo wakawa wanaulizana, hivi huyu mkuu kama angeenda skuli si itakuwa balaa zaidi?

Mkuu shukran kwa kutukumbusha haya ..

M'asalama.

Ngojeni mstaajabu; fanyeni anasa zenu na kuwa vipofu; wamelewa wala si kwa mvinyo; wamewaya-waya wala si kwa sababu ya kileo.
Kwa maana Bwana amewamwagieni roho ya usingizi, amefumba macho yenu, yaani, manabii; amefunika vichwa vyenu, yaani, waonaji.

Na maono yote yamekuwa kwenu kama maneno ya chuo kilichotiwa muhuri, ambacho watu humpa mtu aliye na maarifa, wakisema, Tafadhali ukisome hiki; akasema, Siwezi, kwa kuwa kimetiwa muhuri;

kisha chuo hiki apewa mtu asiye na maarifa, akaambiwa, Kisome hicho tafadhali, akasema, Sina maarifa mimi.

Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walicho nacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa;

kwa sababu hiyo mimi nitafanya tena kazi ya ajabu kati ya watu hawa, kazi ya ajabu na mwujiza; na akili za watu wao wenye akili zitapotea, na ufahamu wa wenye busara wao utafichwa.

Ole wao wanaojitahidi kumficha Bwana mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, Ni nani atuonaye? Nani atujuaye?

Ninyi mnapindua mambo; Je! Mfinyanzi ahesabiwe kuwa kama udongo; kitu kilichofinyangwa kimnene yeye aliyekifinyanga, Hakunifinyanga huyu; au kitu kilichoumbwa kimnene yeye aliyekiumba, Yeye hana ufahamu?

isaiah 29:9-16
 
Back
Top Bottom