Hahaha jamaa umenichekesha.Haya basi waarabu wazuri
Inasikitisha kuona watu tunavyoongea kwa chuki, Kila kabila na Nchi kuna watu wazuri na wabaya, Kuna mauaji Arabuni, kuna mauaji Africa pia kwahiyo siyo suala la kabila fulani bali ukorofi wa watu na wako katika kabila na nchi zote.Sasa mbona nyie mnauana huko middle east hatuongei... Unaweza kulinganisha damu mnayomwagana na damu inayomwagika tz... Shut down your mother f*** mouth
Nani kakuambia zinafanana?Mbona hazifanani?
Nani kakuambia zinafanana?
Pole !! poleni wandugu zetu masikini ALBINO !! Tutakuja kuwalinda na kuwatunza tena..... Pole watoto na wasichana wa kazi masikini hamna mustakabali mbele ya Umma huu wakikatili....!! tunawatetea na kuwafadhili hifadhi za kudumu...Sasa mbona nyie mnauana huko middle east hatuongei... Unaweza kulinganisha damu mnayomwagana na damu inayomwagika tz... Shut down your mother f*** mouth
Unahitaji kukutana na mbeba box wa uarabuni ujue kubaguliwa maana yake nini!Siyo kweli unachanganya mambo, tofauti ya Mzungu (Ulaya &USA) ni kwamba kuna Sheria ambazo zinalinda haki za Wafanyakazi lkn hilo haliwaondolei Ubaguzi, asikudanganye mtu hakuna mtu anadharau mtu mweusi kama Mzungu, achana hao Waarabu ambao kama ukiwa Muislamu ingawaje ni Wabaguzi lkn unaweza kuwa na uhafadhali kidogo lkn kwa Mzungu mtu mweusi ni kiumbe wa mwisho kabisa Duniani na ndiyo maana kuna sheria za anti discrimination, angalia mtu mweusi anaishi USA kwa miaka zaidi ya 300 sasa lkn ni 20% tu ya Wamarekani wote lkn zaidi ya 85% ya watu walioko jela ni weusi, Elimu ni shida ukuiongelea poverty USA unaongelea mtu mweusi sasa unafikiri ni kwa nini? Ni kwa sababu ya Ubaguzi!
Ulishawahi kusikiua kuhusu lynching USA?
Angalia AK, Apartheid ni binadamu gani aliyewahi kumfanyia binadamu mwingine kama Wazungu walivyotufanyia watu weusi AK? Unaelewa maana ya apartheid? Kama haulewi maana yake ni kwamba iliandikwa kabisa kikatiba kwamba mtu mweusi ni siyo binadamu kamili na anapaswa kutengwa wanaita constitutionalized racisms, yaani Ubaguzi ulioidhinishwa kikatiba, Wazungu acha kabisa hakuna binadamu anatudhurau watu weusi kama Mzungu wala usijindanganye, na haya ni mambo ambayo yanaonekana achilia mbali yale yasioonekana kama kuminywa kiuchumi, nchi za kiafrika kunyimwa fursa na kukabwa Kiuchumi, rasimali za Afrika kutaifishwa n.k ...
Kitanda cha gesti mbona uwa tunalala na mama yako muulize atakuambia.Sasa umeniletea ya kazi gani? Unakuwa na ubongo kama kitanda cha gesti
Si uwa tunalala kwenye hicho kitanda ulichokisema unaliza jibu tena wewe punguani kweli unajifanya kuleta kejeli halafu unachagua maneno ya kuambiwa.******** wewe. Mama yangu anahusikaje?
Dah!mkuu muone ras simba haraka sanaI say, I know some will say it is work, but I would rather my people look for other types of work. Domestic work in the Middle East is a kind of slavery. One enjoys no rights and abuses are common place.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkuu vip mbna hasiraKitanda cha gesti mbona uwa tunalala na mama yako muulize atakuambia.