Saudia cautions against maids from Tanzania

Saudia cautions against maids from Tanzania

Mi nimeishi na waarabu na ninaishi na wazungu kiukweli mzungu ata kama anakubagua hakuonyeshi na anajali haki za binadamu yani haki zako zote kama binadamu atakupa ila muarabu anakubagua uku unaonaona na haki yako kama binadamu hakupi

Ni , wabakaji yaani kwa kifupi ni washenzi, Wasio kuwa na utu hata simba polini anaweza akakuacha ila sio hao jamaa!!
 
Mkuu usipotoshe. Professional jobs, nitakubaliana na wewe, lakini kazi za ndani siyo kweli. Nimekaa Sharjah na Doha hakuna mfanyakazi za ndani mweusi utakayekutana naye asirgret. Jamii ya Waarabu na Wahindi huwa wanatuona siye kama siyo watu. Kama wewe ni Muarabu useme tu kuwa unawatetea ndugu zako, lakini ukweli wenyewe ndio huo.
yapu, hawafai hata polini!! yaani hata ukiwaweka polini simba ana huruma kuliko wao!!
 
Mkuu, kuhus waarabu kusemwa ni kutokana na uzi na wanajamvi tukaona tuseme mengine zaidi yaliyojificha chini ya zulia baada ya huyo waziri wao kuonesha kuwa wanafata wafanyakazi wa kuwasaidia kazi huku Tz na Burundi, ndipo tukaona ni vyema wanajamvi JF waelewe kuwa hao waarabu sio watu ni WATU HEWA, sasa kama nawe umo [u mwaarabu] utatusamehe tu bure, maana ndivyo mulivyo!! Na kama ni rafikizo, basi waelimishe wabadilike huo ujinga wafanyao.
Kwa mfano, mdada anabakwa na mwarabu na mkewe anamsaidia ili ambake vizuri/aendelee kumbaka hapo unadai hao ni watu? wanautu? sio watu hewa hao? ok, watete tena.

ila pia Kama wanajamvi wameingiza mambo ya dini hilo ni tatizo maana dunia nzima watu wanadini ila matendo yao haya na usiano na dini zao, ndiyo maana hata baadhi ya viongozi wa dini wanasema fuata maneno yangu na sio matendo yangu'

Pia, kama unahitaji kuelewa unyama wa hao waarabu ingia google utaona , mf. serikali ya Cameroon imeteua balozi wa kutetea wasichana wa Cameroon huko ughaibhuni kuwait, saudia, dubai.

Hebu angalia hizo link utajua tunachosema kuwa ni majanga

Arabs Habitually Rape And Enslave African Women.

Enslaved Cameroonians in Kuwait write to Biya - Cameroon News - News in Cameroon - Live News - Daily News Cameroon - Live News in Cameroon,

hii link utaona ni mataifa mangapi yanalalamika hapo In Search of Jobs, Cameroonian Women May End Up as Slaves in Middle East | Inter Press Service

Women from Sierra Leone 'sold like slaves' into domestic work in Kuwait | Pete Pattisson

kwa hiyo soma hizo link zote kama unaweza kusoma na kama una bando ya internet ili uone hao waarabu koko wako wanachowafanyia wanawake wa afrika wanoenda kufanya kazi huko uarabuni.

Ila issue ya dini hicho ni kitu kingine kabisaa wala hakina uhusiano na wanachowafanyia waafrika kule kwao.
Tena ujue kuwa waarabu ndiyo wa kwanza kuanzisha utumwa hapa afrika na hawakuwa tayari kuacha hiyo tabia.
sasa wewe watete tu ial kama wewe sio mwaarabu, siku ukienda au ndugu yako akiingizwa huko ndiyo utajuta/utamhurumia.

Asante.

Hakuna mahali nilipopinga kwamba Waarabu hawatupendi nafikiri hapo ndipo tunaposhindwa kuelewana, ila ninachokisema ni kwamba ni wapi ambapo sisi watu weusi tunapendwa?
Kwa maana kama unaleta links za watu weusi kuteswa zipo kila mahali, India hapa majuzi tumeona watu wetu wamepigwa huku Polisi wakiangalia na kushangilia, mdada ya Kitanzania ameteswa na wahindi, ukienda Israeli Waafrika wenzetu weusi ambao wanaishi huko tangu miaka ya 70 wametolewa vizazi ili kizazi cha mtu mweusi kisiendelee huko Israeli na Serikali ya Israeli imekubali kufanya huu unyama, USA kila siku watu weusi wanapigwa risasi na polisi bila ya kosa lolote hata juzi kati kuna kijana wa Kizungu kaingia Kanisani kauwa watu weusi waliokuwa kwenye Ibada kwa risasi bila ya kosa lolote, ukienda Ulaya ndiyo kabisa mtu mweusi kuna bar na migahawa mingi huruhusiwi kuingia, Samueli Eto mpaka alikuwa analia Uwanjani kwa kuitwa Sokwe na kutupiwa nduzi na Wazungu ...

Forced contraception of Jewish Ethopian women is tip of global iceberg | Lisa Hallgarten
 
eeeeeh, sasa hapo tuko pamoja kuwa uarabuni waafrika wanateswa, U.S.A, ulaya hata asia.
Kwa hiyo ni majanga .
Sasa , ni wakati wa kuelimishana kuwa tunahitaji kubadilika sisi wenyewe wafrika na kisha kutafuta kazi isiwe za kutafutiwa na agents /[middle men]
Asante.
 
Wapi ambako wewe kama Mwafrika mweusi utafanya kazi za ndani na usinyanyasike? Nitajie sehemu moja tu!
Hakuna sehemu duniani uwe minority halafu usi feel the pinch! Ndio maana kote ulimwenguni minorities huwa wanaingia ktk risk category group kwa kila kitu!
Uarabuni kuna shida ktk muingiliano wa kijamii! Kuna tofauti kubwa mno the way mzungu na muarab wanavyohandle watu wanaotofautiana nao! Wazungu wanavumilia sana tofauti za kijamii ikiwemo race, na hata ukikutana na wakorofi watano, basi wapo watu reasonable wengine 5 angalau unaweza toka salama! Ila kwa waarabu na wahindi unaweza ukakutana na ,100 wote wa aina moja na wakakushurutisha tena ktk viji-issues vya kipuuzi kabisa!
Mwafrika ambaye ni housegirl ulaya anaweza akatunza familia lkn sio yaya mwafrika aliyeko Dubai! Hata kama boss wa Dubai ni tajiri na huyo wa ulaya ni middle class!
 
Mbona unasahau watu weusi wanapouliwa na watu weusi?

Mfano juzi juzi Afrika Kusini walipouliwa Waafrika na Waafrika wenzao.

Rwanda wameuana kwa mamilioni maarufu kama mauaji ya kimbari ya Rwanda.

Tanzania hii hii kuna habari chungu nzima za mahausi geli kuteswa, kulawitiwa, kuuliwa. Jee, wote hao wanafanyiwa hayo na Waarabu.

Halafu ni nani alikudanganya kuwa Waarabu wote ni weupe?
 
Moja hiyo..
Bibi amuuza mjukuu wake albino kwa wauaji huko Busega. Mama mzazi wa mtoto huyo amuokoa na kumnusuru na ukatili ambao ungeliweza kutokea.

Albino.JPG

Mauaji ya watu wenye ualbino yameota mizizi katika jamii ya Kitanzania na wanaharakati wa haki za binaadamu wameeleza kuwa wimbi hilo limechukua uhai wa Albino sabini na tano nchini Tanzania tangu mwaka wa elfu mbili na viungo vyao kutumika katika masuala ya kishirikina.

Kadhalika, takwimu za kutoka mwaka 2006 zinaonyesha kuwa Albino 74 wameshauawa kikatili, huku 56 wakinusurika kifo, na kati yao 11 wameongezewa ulemavu mwingine wa kudumu.
Mbili hiyo....
SUNDAY, DECEMBER 7, 2014 Mwannchi.co.tz
Ripoti: Tanzania kinara wa utumwa A.Mashariki

Tatu hiyo...
choma.gif

choma.gif
hapa nchini mfanyakazi wa ndani achomwa chomwa na pasi....
FYATU
Invisble275 Ukatili, unyanyasishaji, uovu na ubaya upo kila kona na upo hata humu nchini....
Sasa mbona nyie mnauana huko middle east hatuongei... Unaweza kulinganisha damu mnayomwagana na damu inayomwagika tz... Shut down your mother f*** mouth
 
eeeeeh, sasa hapo tuko pamoja kuwa uarabuni waafrika wanateswa, U.S.A, ulaya hata asia.
Kwa hiyo ni majanga .
Sasa , ni wakati wa kuelimishana kuwa tunahitaji kubadilika sisi wenyewe wafrika na kisha kutafuta kazi isiwe za kutafutiwa na agents /[middle men]
Asante.
Hakuna sehemu duniani uwe minority halafu usi feel the pinch! Ndio maana kote ulimwenguni minorities huwa wanaingia ktk risk category group kwa kila kitu!
Uarabuni kuna shida ktk muingiliano wa kijamii! Kuna tofauti kubwa mno the way mzungu na muarab wanavyohandle watu wanaotofautiana nao! Wazungu wanavumilia sana tofauti za kijamii ikiwemo race, na hata ukikutana na wakorofi watano, basi wapo watu reasonable wengine 5 angalau unaweza toka salama! Ila kwa waarabu na wahindi unaweza ukakutana na ,100 wote wa aina moja na wakakushurutisha tena ktk viji-issues vya kipuuzi kabisa!
Mwafrika ambaye ni housegirl ulaya anaweza akatunza familia lkn sio yaya mwafrika aliyeko Dubai! Hata kama boss wa Dubai ni tajiri na huyo wa ulaya ni middle class!

Siyo kweli unachanganya mambo, tofauti ya Mzungu (Ulaya &USA) ni kwamba kuna Sheria ambazo zinalinda haki za Wafanyakazi lkn hilo haliwaondolei Ubaguzi, asikudanganye mtu hakuna mtu anadharau mtu mweusi kama Mzungu, achana hao Waarabu ambao kama ukiwa Muislamu ingawaje ni Wabaguzi lkn unaweza kuwa na uhafadhali kidogo lkn kwa Mzungu mtu mweusi ni kiumbe wa mwisho kabisa Duniani na ndiyo maana kuna sheria za anti discrimination, angalia mtu mweusi anaishi USA kwa miaka zaidi ya 300 sasa na ni 20% tu ya Wamarekani wote lkn zaidi ya 85% ya watu walioko jela ni weusi, Elimu ni shida ukiongelea poverty USA unaongelea mtu mweusi sasa unafikiri ni kwa nini? Ni kwa sababu ya Ubaguzi!
Ulishawahi kusikia kuhusu lynching USA?

Angalia AK, Apartheid ni binadamu gani aliyewahi kumfanyia binadamu mwingine kama Wazungu walivyotufanyia watu weusi AK? Unaelewa maana ya apartheid? Kama haulewi maana yake ni kwamba iliandikwa kabisa kikatiba kwamba mtu mweusi siyo binadamu kamili na anapaswa kutengwa wanaita constitutionalized racisms, yaani Ubaguzi ulioidhinishwa kikatiba!

Wazungu acha kabisa hakuna binadamu anatudhurau watu weusi kama Mzungu wala usijindanganye, na haya ni mambo ambayo yanaonekana achilia mbali yale yasioonekana kama kuminywa kiuchumi, nchi za kiafrika kunyimwa fursa na kukabwa Kiuchumi, rasimali za Afrika kutaifishwa n.k ...
 
Siyo kweli unachanganya mambo, tofauti ya Mzungu (Ulaya &USA) ni kwamba kuna Sheria ambazo zinalinda haki za Wafanyakazi lkn hilo haliwaondolei Ubaguzi, asikudanganye mtu hakuna mtu anadharau mtu mweusi kama Mzungu, achana hao Waarabu ambao kama ukiwa Muislamu ingawaje ni Wabaguzi lkn unaweza kuwa na uhafadhali kidogo lkn kwa Mzungu mtu mweusi ni kiumbe wa mwisho kabisa Duniani na ndiyo maana kuna sheria za anti discrimination, angalia mtu mweusi anaishi USA kwa miaka zaidi ya 300 sasa lkn ni 20% tu ya Wamarekani wote lkn zaidi ya 85% ya watu walioko jela ni weusi, Elimu ni shida ukuiongelea poverty USA unaongelea mtu mweusi sasa unafikiri ni kwa nini? Ni kwa sababu ya Ubaguzi!
Ulishawahi kusikiua kuhusu lynching USA?

Angalia AK, Apartheid ni binadamu gani aliyewahi kumfanyia binadamu mwingine kama Wazungu walivyotufanyia watu weusi AK? Unaelewa maana ya apartheid? Kama haulewi maana yake ni kwamba iliandikwa kabisa kikatiba kwamba mtu mweusi ni siyo binadamu kamili na anapaswa kutengwa wanaita constitutionalized racisms, yaani Ubaguzi ulioidhinishwa kikatiba, Wazungu acha kabisa hakuna binadamu anatudhurau watu weusi kama Mzungu wala usijindanganye, na haya ni mambo ambayo yanaonekana achilia mbali yale yasioonekana kama kuminywa kiuchumi, nchi za kiafrika kunyimwa fursa na kukabwa Kiuchumi, rasimali za Afrika kutaifishwa n.k ...
Duhh we huwajui waarabu wewe
 
Halafu ni nani alikudanganya kuwa Waarabu wote ni weupe?

Hahaha unanikumbusha mshikaji mmoja kitaani kwetu Ilala Kota alikuwa mkibishana sana huwa anasema haki Mungu na Mtume tena mimi Mwarabu, sasa tulikuwa tunamuita Mwarabu wa kuapia🙂
 
Norway, na ushahidi ninao.
Norway’s participation in the trans-Atlantic slave trade is back to haunt the country, as an alliance of Caribbean nations seeks slavery reparations. Norway was a territory state under the Danish crown at that time, but Norwegians were strongly represented at all levels in the Danish-Norwegian slave trade from 1660 to 1806, according to a Norwegian doctoral candidate.

The center of the Danish-Norwegian slave trade, according to Fredrik Hyrum Svensli at the Norwegian University of Science and Technology (NTNU) in Trondheim, was on the Gold Coast (Ghana) in Africa. Ghana’s relationship with the Caribbean dates back over 400 years and is inexplicably linked with slave trading.

Norwegians made up around 10 percent of the total crew serving on slave ships at any one time, wrote Svensli in newspaperAftenposten recently. Hyrum Svensli’s PhD project explores the slave trade rivalry between Denmark-Norway, England and the Netherlands in Ghana in the 1600s and 1700s. That’s when Norwegians took part in what’s been called the “triangle of trade” on Norwegian and Danish ships like theFredensborg, found wrecked off Arendal in 1974. Norwegians staffed slave forts on the African coast, sailed on the slave ships and carried goods produced by slaves back to Norway and the rest of Europe. The “triangle” went mostly from Norway and Denmark to Ghana, then to Caribbean ports such as St Croix and St Thomas and back to Scandinavia.

Those Norwegians who served at the slave posts on the Gold Coast came from various backgrounds such as soldiers, gunsmiths, artisans and even clergymen. They shared one thing in common in that they were for the most part “incompetent and reckless adventurers,” Hyrum Svensli told Aftenposten...

Waafrica kila sehemu ya hii dunia wananyanyasika na kutumikishwa pamoja na kubaguliwa.

Huu ndiyo ukweli.
 
Wewe una tatizo, vipi unakuwa mbaguzi kuituhumu jamii nzima, kila kabila, dini na taifa kuna watu wazuri, wabaya, makatili nk. Huwezi kusema waarabu wote makatili na wengi mnaotoa kauli kama hizi inaonyesha hamujawahi kufika huko Uarabuni.

Sijui kwa nini watanganyika wengi wana chuki sana na waarabu....inashangaza sana kuona ni jinsi gani wanavyowachukia waarabu....na ukitaka kujua sababu hakuna zaidi ya kusoma soma historia ya utumwa kama kwamba ni waarabu peke yao waliohusika na biashara ya utumwa.
 
Wapi ambako wewe kama Mwafrika mweusi utafanya kazi za ndani na usinyanyasike? Nitajie sehemu moja tu!

Tanzania... Kama wewe unanyanyasa wakwako kwa kukosa utu siyo wote wanafanya hvyo.

Waarabu wabaguzi sana... Afadhali ubakie ombaomba kuliko kwenda kunyanyaswa na mwarabu
 
Back
Top Bottom