Saudia Arabia yaruhusu Tamasha la muziki

Saudia Arabia yaruhusu Tamasha la muziki

Mu-omani na Qatar hawapendwi kwa sababu ya kisiasa na hii imeanza hivi majuzi tu! Lakini wako waislamu wengi kutoka Afrika na Asia ambao wanadharauliwa sana na Saudia! Huko Burma na Uchina waislamu wanaonewa lakini Saudia haija paza sauti ya kuwatetea!
Iwatetee kwann? Nyie huku mmepaza sauti kuwatetea? Mmepaza sauti kuwatetea nduguzenu waislam wa Yemen [emoji1267] wanaoteketea kwa mabomu ya wasaudia? Ndugu zenu waislam wa Syria wanaoteketea kwa mabomu toka Saudi Arabia.. Qatar.. Jordan na Marekani.?
 
Jambo la ajabu katk ulimwengu wa leo kusikia fikra pumba kama hizi
Kwani la ajabu nini hapo? Pamoja na afya mbaya ya AKILI unafikiria wakati wa Yesu na Muhammad(s.a.w) mziki haukuwepo? Pombe haikuwepo? Malaya hawakuwepo? Sasa kipi cha karne ya 21 hapo ktk huwo upuuzi ambacho hakikuwepo karne ya Issa(a.s) a.k.a Yesu, na Karne ya Muhammad(s.a.w)


Umeongea lakini hujaonysha tatizo lako ni lipi?

Yaan kama vile umebeba begi kubwa ndani hakuna kitu

Shida yako ipi?
 
Watu wanachanganya sana tamaduni za kiarabu na dini Mkuu… angalia Yemen wanavyochezea kichapo toka saudia ama qatar wanavyowekewa vikwazo vya kiuchumi na Saudia.. Hawa wote sijui waislam weusi?

Si ndiyo hapo sasa...na sio kwamba hawajui, ila Wanajitoa ufahamu mkuu...
 
Umeongea lakini hujaonysha tatizo lako ni lipi?

Yaan kama vile umebeba begi kubwa ndani hakuna kitu

Shida yako ipi?

Sahihi kabisa huwezi kuelewa tatizo ni nini, ili kuelewa tatizo nini kwa yale uliosema yabidi uwe na afya nzuri ya akili
 
na wewe papaa unamfungia mke wako asiende sokon kisa sijui madudu gani ya dini?

We vpi bro, ukosawa kweli ? kwani we ulikwenda tafuta mtu wakwenda sokoni au ulienda owa mke upate utulivu wa nafsi, we vip?
 
Ila utani pembeni huyu Crowned Prince (Salman) anazihujumu sheria za Wasaudi (zilizojikita katika uislamu).ameshakuwa puppet wa mzee DT......The future smells great.
 
Utawala huu wa Saudi Arabia unatakiwa uondelewe haraka sana! Wanahujumu uislamu na wanadharau sana waislam wasio waarabu! Lakini the writing is on the wall, na siku zao zinahesabika! Watabiri wanasema mafuta haitahitajika sana baada ya miaka 10 hivi - magari ya umeme zinashika kasi! Hata marekani ambaye ni mtetezi mkuu wa Saudi Arabia, imeanza kuipiga mateke!
Unapinga utawala wa Saudia huku unaishi kwa Magu ambako kila Weekend kuna ladies free. UNAFIKI ULIOTUKUKA.
 
mmarekani si mtu mzuri kabisa sasa hv utasikia saudia kula kitimoto hadharani na pombe kunywa hadharani ni ruksa

We umechelewa kusema tayar maburcher ya kitimoto yapo mkuu unaenda tu kupimiwa kama upo moshi au mbeya zanzibar tu ndo wanakaza ila wataelewa ngoja shekhe mmoja aonje kipande
 
David Guetta ni msanii kumbe?
Ndio ni msanii, tafsiri msanii into artist utapata jibu mi nadhani kiswahili kilishindwa kuchanganuliwa vizuri ndio maana hata hapa umeshangaa pia.

Msanii (Artist) inajumuisha (Sanaa, Muziki na Ubunifu) -Calligraphy -Cartoonist -Singer -Choreographer na wengine wengi.

David Guetta ni msaani kwa sababu ni DJ na Producer (Musician) hiyo inampatia tiketi ya kuwa msanii.
 
Iwatetee kwann? Nyie huku mmepaza sauti kuwatetea? Mmepaza sauti kuwatetea nduguzenu waislam wa Yemen [emoji1267] wanaoteketea kwa mabomu ya wasaudia? Ndugu zenu waislam wa Syria wanaoteketea kwa mabomu toka Saudi Arabia.. Qatar.. Jordan na Marekani.?

Sasa hapa sijui unabisha nini????? Ninachosema mimi ni utawala huu wa Saudi Arabia haufahi kuongoza waislamu kwa sababu zote ulizozitaja. Zile mfano ya Burma na China nilitoa kwa sababu jamaa alitaka nitaje waislamu wasio waarabu wanaodharauliwa na Saudia. Ingawa sauti zetu hazisikiki kama ya Saudia, lakini bado tunawatetea waislamu kwenye forums kama hizi!
 
Unapinga utawala wa Saudia huku unaishi kwa Magu ambako kila Weekend kuna ladies free. UNAFIKI ULIOTUKUKA.

Hata sijaelewa hii ya "Ladies Free kila Weekend" na "UNAFIKI ULIOTUKUKA"???? Mimi nimeishika dini yangu na wanachofanya wengine hainihusu. Sina habari ya hizi weekendi na wala sijishughulushi nazo. Lakini hata kama ningekuwa na uwezo nisingesikataza, kwa sababu siwezi kulazimisha itikadi zangu za kiimaani juu ya wengine!!!
 

Nani hataki watoto wa Kiarabu?
Sasa huvi nahisi Mahujaji wataongezeka. Wakimaliza Hija tu Eid Al Hajji inaanzia huko huko na kuwemda kumaliziwa kwenye nchi zao.
Naiingiza Saudia kwenye nitakazotembelea mwakani.
 
We hujui ulisemalo wala usije na ndoto za mchana ukafananisha uislam na ukristo ni vitu viwili tofauti kabisa uislam huwa haukubali kuchanganywa. Na wala hao wazungu wako unawaona si wanjinga wanalielewa hilo kuwa uislam hauchanganyiki na wala hakuna remix wanafahamu fika Quran iko seald hakuna remix waweza ukafanyia remix kwenye mathayo, luka, na wakorinto ndio maana leo tunasikia dai la Papa kutaka Biblia iandekwe upya kufuatana na wakati huu wa sasa
Ktk uislam ukileta dai kama hilo shingo yako itaelekezwa kibla.
Huko hakunaga mzaha.
Acha ubishi wewe...uislam wa sasa ni uislam wa maabara au uislam Chotara. Kama ungekua ni kitu kimoja, Wewe unadhani kungekuwa kutoelewana kwa kiwango kikubwa kati Sunni na Shiha?
 
Acha ubishi wewe...uislam wa sasa ni uislam wa maabara au uislam Chotara. Kama ungekua ni kitu kimoja, Wewe unadhani kungekuwa kutoelewana kwa kiwango kikubwa kati Sunni na Shiha?


Wewe huna elimu ya Usuni na Ushia kwa ufupi nakama utakuwa na afanya njema ya akili kwa kutumia kigezo cha swali hili je Kunauhusiano kati ya Ukatoliki na Ulokole ? Unaweza ukafubuka macho kati ya Usuni na Ushia.
 
Sahihi kabisa huwezi kuelewa tatizo ni nini, ili kuelewa tatizo nini kwa yale uliosema yabidi uwe na afya nzuri ya akili


Nimekupa andiko ili nkukumbushe "FADHAKKIR INNAMAA ANTA MUDHAKKIR"

Kwakuwa nimekuuliza tatizo lako lipi umeshindwa kulifafanua

Kwa sisi waungwana siku zote ni wapole

ATTAANNI MINA ALLAH WAL AJLATA MINA SHAYTWAN
 
Hapo ndipo utagundua dini zimeletwa na watu na zina badilika kulingana na wakati

Huwezi kutumia mawazo ya yesu kwa karne hii ya 21 wakati yesu aliishi karne ya kwanza na huwezi tumia mawazo ya muhamad wakati muhamad aliishi karne ya 5 ni ujinga ukitumia mawazo ya mtu wa karne ya kwanza au ya 7 wakati wewe upo karne ya 21

Waacheni wa refresh mind quran na bible ni utumwa

Pamoja na uungwana wako nikisoma post yako hapo juu nashindwa kukuelewa na hizo aya unazo nakili.unacho nakili nikile alicho kileta mtu wa karne ya 5 nawe umesema ni ujinga kutumia mawazo ya mtu wa karne ya 5 ktk karne hii ya 21
au hiyo sio post yako?
 
Sasa hapa sijui unabisha nini????? Ninachosema mimi ni utawala huu wa Saudi Arabia haufahi kuongoza waislamu kwa sababu zote ulizozitaja. Zile mfano ya Burma na China nilitoa kwa sababu jamaa alitaka nitaje waislamu wasio waarabu wanaodharauliwa na Saudia. Ingawa sauti zetu hazisikiki kama ya Saudia, lakini bado tunawatetea waislamu kwenye forums kama hizi!
Oooh nimekuelewa sasa kumbe waislam kuna taifa mmeteuliwa liwaongoze.. Haya mkuu
 
Back
Top Bottom