Spice girls
Member
- Jul 2, 2017
- 29
- 35
Wiki iliyopita wa Saudia walishuhudia "kitu wakiitacho" mapinduzi ya burudani nchini mwao. Tamasha kubwa la Formula E lilifanyika kusindikiza mashindano ya mbio za magari nchini Saudia la Formula. Wasanii wakubwa walitumbuiza katika tamasha hilo David Guetta, Jason Derulo, Black eye peas, Enrique Iglesias (mzee wa bailando) na wengine.