Saudia Arabia yaruhusu Tamasha la muziki

Video kama hii ukiiona nini unachoelewa tofauti na sauti za nyimbo na makelele tu
Unawaonaje kama hao watu ni waarabu wazungu au waswahili
Mimi nimeona kundi la watu wasioeleweka rangi wala kabila na vurugu tu,
Nina shaka sana na video hiyo sio ya saudia
Ni mawazo yangu tu waheshimiwa
 
Kumuua mtu tena asiyekuwa na hatia kwa ajili ya dini

Halafu angalia ktk dini zote dini yenye tabia hiyo ya kujitoa muhanga utakuja kugundua ni uislam
Sasa hapa tunajadili dini yenye tabia ya kujitoa muhanga au tunajadili misimamo ya dini?
 
Hiyo mada nyengine kabisa,hapa hatujadili uislamu umeanzishwaje wala na nani.

Mimi nilisema kitendo cha saudia Arabia kuruhusu tamasha la mziki ni mapinduzi makubwa na mageuzi katika dini

Kwanini ni mapinduzi ktk dini?

Saudia Arabia ni mojawapo kati ya nchi za kislam yenye kuchanganya sharia za nchi na dini kwa pamoja

Miaka ya zamani huwezi kukuta matamasha ya muziki ktk nchi hiyo kwa maana sheria kislam haziruhusu wanaume kuchanganyika wanawake na pia mziki kwa uislam haramu kisheria

Sasa dunia imebadilika zile zama za kuendesha nchi ya saudia Arabia kwa kislam wenyewe saudia Arabia hawazitaki

Na wanajua wazi uislam umeletwa na muhamad na muhamad alikuwa mtu na ameshakufa hivyo hata wakimpinga hakuna adhabu au kitu watakachopata

Kufuata sheria za mtu aliyeishi miaka ya 571 na ameshakufa na kufuata sheria za watu unaowaongoza sasa hivi bora ipi?

Bora ya unaowaongoza pia na saudia Arabia ni mshirika mkubwa wa USA na huyo USA ndio anamtia ujinga saudia

That's why Iran na Saudia zote ni nchi za kislam lakini ni maadui wakubwa
 
Ni Bora kukaa kimya,ikiwa hujui Bro

Hakuna atakaekuuliza au kukufuata,kwanini hujachangia?!!!

Unayoyasema
Ni Uongo Uongo Mtupu

Ktk maneno ya kijinga niliyowahi kuyasoma ni haya
Dah!!!!! Jamaa sijui anaelewa nini kuhusu sheria huyu na kuifataa
 
Duh! Sijui hata kama unachokieleza hata wewe mwenyewe unakielewa!
 
Ktk maneno ya kijinga niliyowahi kuyasoma ni haya
Dah!!!!! Jamaa sijui anaelewa nini kuhusu sheria huyu na kuifataa

Ukiona maneno yangu yamekuchoma ujue upo pazuri "Sema ukweli japo unauma"

Mimi sijui unaumiaje lakini comments yako hapo juu inaonyesha umeumia ndio maana umecoments bila kufikiria

"BALIL INSAANU ALAA NAFSIHI BASWIRAA "

Ulitakiwa uonyeshe wapi hujaelewa ili nikupe elimu akhera wengi wenu ni waislam jina hamna mnalolijua
 
Back
Top Bottom