Unasikitisha sana.
Wakati mwingine akili ikiwaza sana upumbavu,unayeimiliki unaonekana kituko zaidi!!.Hiyo ndiyo raha ya kufanya mambo hadharani. Mungu alijua kwa nini aamue kuumba vitu na kuviweka hadharani. Yeye ana akili kuliko hao maustadhi. Nina imani sasa "majini" yote yatakimbia huko Saudia.
na wewe papaa unamfungia mke wako asiende sokon kisa sijui madudu gani ya dini?We hujui ulisemalo wala usije na ndoto za mchana ukafananisha uislam na ukristo ni vitu viwili tofauti kabisa uislam huwa haukubali kuchanganywa. Na wala hao wazungu wako unawaona si wanjinga wanalielewa hilo kuwa uislam hauchanganyiki na wala hakuna remix wanafahamu fika Quran iko seald hakuna remix waweza ukafanyia remix kwenye mathayo, luka, na wakorinto ndio maana leo tunasikia dai la Papa kutaka Biblia iandekwe upya kufuatana na wakati huu wa sasa
Ktk uislam ukileta dai kama hilo shingo yako itaelekezwa kibla.
Huko hakunaga mzaha.
Unapata wapi ujasiri wa kunisikitikia mimi?
Wewe ni muislamu?Sio unafiki hivyo ndivyo ilivyo bashiriwa na mtume Muhammad(s.a.w) kuwa Uislam ulinza mgeni utarudi mgeni kama ulivyo anza,
Na kama ukifuatilia clip ya Gwajima kuwa uislam unaenea Ulaya kwa kasi kubwa sana, kwa hiyo elewa kiasi unavyoenea ulaya ndivyo ukafiri utakavyo enea uarabuni
kwa kuwa nchi za ulaya ni zenye nguvu za kiuchumi na kijeshi, zatakapo kuwa ni za kiisalam itakuwa rahisi sana kuzifeka nchi za kiarabu wakati huo zitakuwa za kikafiri. Hapo ndipo UISLAM utatawala tena dunia, kama zamani wakati wa Ottoman empire,
Ndipo Mtume Muhammad (saw) aliwaambia waarabu wakati ule kuwa UISLAM ULIANZA HAPA MGENI NA UTARUDI MGENI KAMA ULIVYO ANZA BASI WAMEFANIKIWA WALE WATAKAOKUWA WAGENI WAKATI HUO,
Mkuu unazungumzia dini au unazungumzia waarabu? Maana hata kipindi cha Yesu na Muhamnad watu walifanya kinyume na makatazo ya dini zao.Hapo ndipo utagundua dini zimeletwa na watu na zina badilika kulingana na wakati
Huwezi kutumia mawazo ya yesu kwa karne hii ya 21 wakati yesu aliishi karne ya kwanza na huwezi tumia mawazo ya muhamad wakati muhamad aliishi karne ya 5 ni ujinga ukitumia mawazo ya mtu wa karne ya kwanza au ya 7 wakati wewe upo karne ya 21
Waacheni wa refresh mind quran na bible ni utumwa
After death utaenda kujieleza kaburini, kwaheri
Mkuu unazungumzia dini au unazungumzia waarabu? Maana hata kipindi cha Yesu na Muhamnad watu walifanya kinyume na makatazo ya dini zao.
After death utaenda kujieleza kaburini, kwaheri
Hapo ndipo utagundua dini zimeletwa na watu na zina badilika kulingana na wakati
Huwezi kutumia mawazo ya yesu kwa karne hii ya 21 wakati yesu aliishi karne ya kwanza na huwezi tumia mawazo ya muhamad wakati muhamad aliishi karne ya 5 ni ujinga ukitumia mawazo ya mtu wa karne ya kwanza au ya 7 wakati wewe upo karne ya 21
Waacheni wa refresh mind quran na bible ni utumwa
Ndo saudia keshaanza maana hawa walikua ndo ma role model
David Guetta ni msanii kumbe?Wiki iliyopita wa Saudia walishuhudia "kitu wakiitacho" mapinduzi ya burudani nchini mwao. Tamasha kubwa la Formula E lilifanyika kusindikiza mashindano ya mbio za magari nchini Saudia la Formula. Wasanii wakubwa walitumbuiza katika tamasha hilo David Guetta, Jason Derulo, Black eye peas, Enrique Iglesias (mzee wa bailando) na wengine.
Wiki iliyopita wa Saudia walishuhudia "kitu wakiitacho" mapinduzi ya burudani nchini mwao. Tamasha kubwa la Formula E lilifanyika kusindikiza mashindano ya mbio za magari nchini Saudia la Formula. Wasanii wakubwa walitumbuiza katika tamasha hilo David Guetta, Jason Derulo, Black eye peas, Enrique Iglesias (mzee wa bailando) na wengine.
Wazungu wanatumia akili nyingi sana kumharibu mwarabu wanaanza na kila amachokipenda kwakuwa karibu nae kimsaada zaidisasa yule mfalme sisi atakuwa na zizi la mbuzi katoliki au ameshaanza kula teyar
Duuuh balaaa,kweli maustaz na maustazati walikuwa na kiu ya burudani SANCTUS ANACLETUS
Kwan wanalazimishwa kufanya haya? Yaani kuruhusu matamasha waruhusu wao lawama ziende marekanimmarekani si mtu mzuri kabisa sasa hv utasikia saudia kula kitimoto hadharani na pombe kunywa hadharani ni ruksa
Watu wanachanganya sana tamaduni za kiarabu na dini Mkuu… angalia Yemen wanavyochezea kichapo toka saudia ama qatar wanavyowekewa vikwazo vya kiuchumi na Saudia.. Hawa wote sijui waislam weusi?Wakina nani hao wanaodharauliwa? Maana Nnavyojuwa msaudia hampendi Mu-omani na Qatar. Sasa sijui unawakusudia akina nani hao wasiokuwa waarabu.
Poapoa acha tusake mapene ya kwenda ku spend na watoto wazuri saudiaTuliza akili Role model wa Uislam sio Saudia usiseme jambo huna elimu nalo. Subiri tu punde watatokea role model hapohapo Saudi halafu utaisikia habari yao.