Shaka-Zulu
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 432
- 831
Saudi Arabia ni nchi ya kinafiki. Kimya kimya kila kitu kinafanyika kule, ila sasa wameanza kupunguza unafiki na kuleta hadharani!
Kweli mkuu, Dunia ndio inafikia ukingoni mpinga kristo yupo ready kufanya yake.Saudi Arabia ni nchi ya kinafiki. Kimya kimya kila kitu kinafanyika kule, ila sasa wameanza kupunguza unafiki na kuleta hadharani!
Saudi Arabia ni nchi ya kinafiki. Kimya kimya kila kitu kinafanyika kule, ila sasa wameanza kupunguza unafiki na kuleta hadharani!
Duuuh balaaa,kweli maustaz na maustazati walikuwa na kiu ya burudani SANCTUS ANACLETUS
Unajuwa kilichonisikisha ni pale yule mama alipombusu mumewe hadharani mpirani alihukumiwa na wahafidhina. Yaani watu utafikiri wameongea na shetani si MunguMkuu wote walichanganyika kwapamoja.
Sio unafiki hivyo ndivyo ilivyo bashiriwa na mtume Muhammad(s.a.w) kuwa Uislam ulinza mgeni utarudi mgeni kama ulivyo anza,
Na kama ukifuatilia clip ya Gwajima kuwa uislam unaenea Ulaya kwa kasi kubwa sana, kwa hiyo elewa kiasi unavyoenea ulaya ndivyo ukafiri utakavyo enea uarabuni
kwa kuwa nchi za ulaya ni zenye nguvu za kiuchumi na kijeshi, zatakapo kuwa ni za kiisalam itakuwa rahisi sana kuzifeka nchi za kiarabu wakati huo zitakuwa za kikafiri. Hapo ndipo UISLAM utatawala tena dunia, kama zamani wakati wa Ottoman empire,
Ndipo Mtume Muhammad (saw) aliwaambia waarabu wakati ule kuwa UISLAM ULIANZA HAPA MGENI NA UTARUDI MGENI KAMA ULIVYO ANZA BASI WAMEFANIKIWA WALE WATAKAOKUWA WAGENI WAKATI HUO,
Wamechanganyikana angalia video hiyo YouTube utaona.Mbona hawaonekan hapo hao wanawake?
Uislam huko unaenda kufanyiwa remix kama ulivyofanyiwa ukristo we sikilizia tu baada ya miaka kadhaa wale wazungu nao sio wajinga wanaikumbatia halafu baadae wana i modify hio diniSio unafiki hivyo ndivyo ilivyo bashiriwa na mtume Muhammad(s.a.w) kuwa Uislam ulinza mgeni utarudi mgeni kama ulivyo anza,
Na kama ukifuatilia clip ya Gwajima kuwa uislam unaenea Ulaya kwa kasi kubwa sana, kwa hiyo elewa kiasi unavyoenea ulaya ndivyo ukafiri utakavyo enea uarabuni
kwa kuwa nchi za ulaya ni zenye nguvu za kiuchumi na kijeshi, zatakapo kuwa ni za kiisalam itakuwa rahisi sana kuzifeka nchi za kiarabu wakati huo zitakuwa za kikafiri. Hapo ndipo UISLAM utatawala tena dunia, kama zamani wakati wa Ottoman empire,
Ndipo Mtume Muhammad (saw) aliwaambia waarabu wakati ule kuwa UISLAM ULIANZA HAPA MGENI NA UTARUDI MGENI KAMA ULIVYO ANZA BASI WAMEFANIKIWA WALE WATAKAOKUWA WAGENI WAKATI HUO,
Uislam huko unaenda kufanyiwa remix kama ulivyofanyiwa ukristo we sikilizia tu baada ya miaka kadhaa wale wazungu nao sio wajinga wanaikumbatia halafu baadae wana i modify hio dini
Hapo ndipo utagundua dini zimeletwa na watu na zina badilika kulingana na wakati
Huwezi kutumia mawazo ya yesu kwa karne hii ya 21 wakati yesu aliishi karne ya kwanza na huwezi tumia mawazo ya muhamad wakati muhamad aliishi karne ya 5 ni ujinga ukitumia mawazo ya mtu wa karne ya kwanza au ya 7 wakati wewe upo karne ya 21
Waacheni wa refresh mind quran na bible ni utumwa
Utawala huu wa Saudi Arabia unatakiwa uondelewe haraka sana! Wanahujumu uislamu na wanadharau sana waislam wasio waarabu! Lakini the writing is on the wall, na siku zao zinahesabika! Watabiri wanasema mafuta haitahitajika sana baada ya miaka 10 hivi - magari ya umeme zinashika kasi! Hata marekani ambaye ni mtetezi mkuu wa Saudi Arabia, imeanza kuipiga mateke!
Yani mpaka 2030 kwamujibu wao Saudia itakuwa na fukwe ambazo kuvaa 👙 itaruhususiwaKumbe wanapenda starehe kama hizo sema sheria ndio zimewabana.Ila huenda wanaanza kufungua milango taratibu na huko mbeleni wakaruhusu kabisa.
Huu utawala wa Prince Salman amebadilisha mambo mengiUnajuwa kilichonisikisha ni pale yule mama alipombusu mumewe hadharani mpirani alihukumiwa na wahafidhina. Yaani watu utafikiri wameongea na shetani si Mungu
Wakina nani hao wanaodharauliwa? Maana Nnavyojuwa msaudia hampendi Mu-omani na Qatar. Sasa sijui unawakusudia akina nani hao wasiokuwa waarabu.
Ndo saudia keshaanza maana hawa walikua ndo ma role modelWe hujui ulisemalo wala usije na ndoto za mchana ukafananisha uislam na ukristo ni vitu viwili tofauti kabisa uislam huwa haukubali kuchanganywa. Na wala hao wazungu wako unawaona si wanjinga wanalielewa hilo kuwa uislam hauchanganyiki na wala hakuna remix wanafahamu fika Quran iko seald hakuna remix waweza ukafanyia remix kwenye mathayo, luka, na wakorinto ndio maana leo tunasikia dai la Papa kutaka Biblia iandekwe upya kufuatana na wakati huu wa sasa
Ktk uislam ukileta dai kama hilo shingo yako itaelekezwa kibla.
Huko hakunaga mzaha.