Bob Kawari
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 1,231
- 1,624
Mkuu naomba tuheshimiane sana, ndio na akili kidogo.Big gift kumbe una akili kidogo, juzi uliweka uzi wa kuwadhalilisha wanawake, ulinikera sana.
This is the right topic to discuss, lkn watu hawatachangia sana since it does not involve ngono
Mkuu naomba tuheshimiane sana, ndio na akili kidogo.
Mimi naona unawatetea hao wanawake we watete hawanihusu. Mimi nilikereka sana kutokana na nafasi niliyokua nimekaa.
We angalia hisia zako wala usifuatane na maisha yangu maana utanikasirisha zaidi.
Kwani hao wanawake mbona wanaleta mada kibao za wanaume kunuka sehemu za siri? kwa nini wasiambiwe wanadhalilisha baba zao?
nashukuru kwa akili zangu ndogo.
huyu big gift anapendaga ubishi usiyokuwa natija ona huku umetoa mada nzuri sana na utajibiwa kitaalamu na wadauBig gift kumbe una akili kidogo, juzi uliweka uzi wa kuwadhalilisha wanawake, ulinikera sana.
This is the right topic to discuss, lkn watu hawatachangia sana since it does not involve ngono
huyu big gift anapendaga ubishi usiyokuwa natija ona huku umetoa mada nzuri sana na utajibiwa kitaalamu na wadauBig gift kumbe una akili kidogo, juzi uliweka uzi wa kuwadhalilisha wanawake, ulinikera sana.
This is the right topic to discuss, lkn watu hawatachangia sana since it does not involve ngono
mkuu tujadili mada kama isemavyo hakuna haja ya kulumbana kule MMU kuchafu hakuna mada za kujenga TaifaMkuu naomba tuheshimiane sana, ndio na akili kidogo.
Mimi naona unawatetea hao wanawake we watete hawanihusu. Mimi nilikereka sana kutokana na nafasi niliyokua nimekaa.
We angalia hisia zako wala usifuatane na maisha yangu maana utanikasirisha zaidi.
Kwani hao wanawake mbona wanaleta mada kibao za wanaume kunuka sehemu za siri? kwa nini wasiambiwe wanadhalilisha baba zao?
nashukuru kwa akili zangu ndogo.
hayo ndo maswali nisiyoyapenda kuuliza ujinga ujinga we unadhani Angani ni wapi?Angani ni wapi. Do you mean space as per Einstein
asante kwa majibu mazuri vipi huu mfumo wa FIBRE OPTIC CABLE unaweza ukaushusha mfumo SATELAITI au tutarajie mifumo mingine itakayokuja kuleta mapinduzi?Satelaiti isipokuwepo ujue hutapata internet (ingawa kwa sasa tunatumia fibre optic cable), hutapata mawimbi ya TV wala simu. Vifaa vyote hivi vinaendeshwa kwa satellite. Hizo ndio hasara za kutokua na satelaiti
sawa mkuu nimekupata vyema ubarikiweRadar na satelaiti vina tofauti sana. Radar zinawekwa ardhini na kunasa kinachoendelea angani kama vile matukio ya hali ya hewa (mawingu, mvua, vimbunga nk) na kunasa mawimbi ya mawasiliano ya vyombo vya angani. Satelaiti zinawekwa angani
nielewavyo mie solar ni mfumo wa jua na nuclear energy ni mfumo wa atomicNuclear energy na solar
Tanzania tunazo mbili kwa uhakika zaidi muulize makamu Wa rais mstaafu au nenda pale sayansi wanamajibu yote maana pale utakutana na wanaanga Wa hali ya juu sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]Tanzanian je tuna setilite ngapi, hasa hasa hvi vitu vipo kwa ajiri ya kazi gani katika nchi na isipokuwepo je kuna adhari
Mkuuu. Tanzania tuna satellite kweli.???Tanzania tunazo mbili kwa uhakika zaidi muulize makamu Wa rais mstaafu au nenda pale sayansi wanamajibu yote maana pale utakutana na wanaanga Wa hali ya juu sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuuu. Tanzania tuna satellite kweli.??? Nijuavyo mimi Africa nzima nchi zwnye satellites ni chache sana kama South Africa, Egypt, Aljeria, Ethipia. Kama kuna nyingine mnisaidie. Ila kwa Tanzania hakunaaaaaa.Tanzania tunazo mbili kwa uhakika zaidi muulize makamu Wa rais mstaafu au nenda pale sayansi wanamajibu yote maana pale utakutana na wanaanga Wa hali ya juu sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kaka acha basi kummezesha matango pori, mwenzako ndio anameza hivyoTanzania tunazo mbili kwa uhakika zaidi muulize makamu Wa rais mstaafu au nenda pale sayansi wanamajibu yote maana pale utakutana na wanaanga Wa hali ya juu sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huu ni Uchochezi totally.....hahahaaaTanzanian je tuna setilite ngapi, hasa hasa hvi vitu vipo kwa ajiri ya kazi gani katika nchi na isipokuwepo je kuna adhari
Naona watu wanatoa majibu mazuri tu mkuu.Mkuu Kifyatu sogea humu ushushe darasa...
Umeambiwa china wanayo moja tu sasa itakuwa tz?Tanzanian je tuna setilite ngapi, hasa hasa hvi vitu vipo kwa ajiri ya kazi gani katika nchi na isipokuwepo je kuna adhari
Kumbe unapaniki haraka hivi!!??angekua karibu na mate yangemrukia,duuuuh unanitishaMkuu naomba tuheshimiane sana, ndio na akili kidogo.
Mimi naona unawatetea hao wanawake we watete hawanihusu. Mimi nilikereka sana kutokana na nafasi niliyokua nimekaa.
We angalia hisia zako wala usifuatane na maisha yangu maana utanikasirisha zaidi.
Kwani hao wanawake mbona wanaleta mada kibao za wanaume kunuka sehemu za siri? kwa nini wasiambiwe wanadhalilisha baba zao?
nashukuru kwa akili zangu ndogo.
Kwa mujibu wa wataalamu wa mawasiliano, mfumo wa fibre optic cable ni wa kasi zaidi katika kusafirisha masafa ya internet na simu kuliko satellite na ina uwezo wa kubeba data nyingi zaidi kuliko satellite. Bado tutaendelea kutumia satellite kwa mawasiliano ya tv na uangalizi wabhaki ya hewa. Kwa hiyo bafo tunahitaji satellite sana tu. Huenda huko mbeleni kukaja na teknolojia nyingine ya kaso zaidi. Hatuwezi juaasante kwa majibu mazuri vipi huu mfumo wa FIBRE OPTIC CABLE unaweza ukaushusha mfumo SATELAITI au tutarajie mifumo mingine itakayokuja kuleta mapinduzi?
Tanzania hatuna satellite hata moja. Ni ghali sana kumiliki. Na nchi zinazotumika kurusha satellite kwenda angani ni Kazakhstan na US. Kazakhstan ni koloni la zamani la Urusi. Wamarekani nao kwa miaka ya karibuni wanarushia hapo hapo Kazakhstan, kwa sbb wanashirikiana sana na Urusi ktk masuala haya ya anga.Mkuuu. Tanzania tuna satellite kweli.???
Mkuuu. Tanzania tuna satellite kweli.??? Nijuavyo mimi Africa nzima nchi zwnye satellites ni chache sana kama South Africa, Egypt, Aljeria, Ethipia. Kama kuna nyingine mnisaidie. Ila kwa Tanzania hakunaaaaaa.