Kwa uelewa wangu mdogo juu ya physics naona hicho kitu hakiwezekani, maana kinachofanya kitu kidondoke chini ni ile weight ya kitu (mass × gravitational force) mass ni constant but gravitational ina vary with height kadri unapoenda juu ndio inazidi kupungua, inafika sehemu ambapo wanaita WEIGHTLESS meaning nguvu inayovutia kitu kushuka chini ni sawa na nguvu inayovutia kitu kuenda juu hivo kufanya kitu kuwa katika balance (equilibrium) na nadhani hapa ndipo zinapopatikana hizo satellite.
if am wrong nahitaji kirekebishwa