Ramadhani Juma Abdallah
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 390
- 230
Kama huyu wako kibao kwetu sema kwakuwa ni mtoto wa mkubwa
😀😀😀 Mkuu, I had to go to his facebook page to understand your statement... Kah, kweli jamaa ana hallucination ya hali ya juu!Deo Kisandu anamfaidi sana huyu mrembo
😀😀😀 Mkuu, I had to go to his facebook page to understand your statement... Kah, kweli jamaa ana hallucination ya hali ya juu!
Mkuu naona ile kampeni yetu ya NALIMI aende kule makao makuu ya nchi katika ile hosptali ambayo yeye ilibidi aende na tulipigana sana aende imezaa matunda.
Cheers mkuu we made it...
JF ni sehem salama
Waonyeshe mkuu, walikuwa wanasema mara hooh mkuu Joseverest anakionea kiswahili, mara hooh hajawahi replay kwa kimombo.,, uwanja wako mkuu, chafua chafua
Kwa ukimya na amani hii ya JF naamini kabisa NALIMI yupo kanda ya kati Hospitalini.mkuu ina maanda Deo Kisandu tayari yuko milembe??
HahahMkuu tafadhali naomba namba ya huyu mrembo!
Umetisha mkuu, maaana ni kweli alishawahi kusoma peramihoNi mtto wa Obama huyo mm namjua nirsoma nae
Ukimaanisha nn labda mkuu maana pengine wewe ndiye hujaelewa hapoNi picha mbili tofauti. Zimeunganishwa.
Started from the bottom now we 're here,Started from the bottom now.....