Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Ndotoni eehhDeo Kisandu anamfaidi sana huyu mrembo
Ndotoni eehhDeo Kisandu anamfaidi sana huyu mrembo
Impressive, that means you're not bound to conformity like the majorityI'm student of life. That's what I can say about myself.
Culture fascinates me. Especially good cultures that empower women and children.
I know what it takes to live free and love yourself unapologetically in a society that is conditioned to look at things in a very narrow way.
Life is not pressure. Social assumptions are the real pressure. They pressure you to maintain in their standard of living.
Well, you can say that....yes.Impressive, that means you're not bound to conformity like the majority
miaka ya 2001-double m ikiwa hewani. sijui wapi iko hii mtu mfupi yenye bibi mbili, moja ikiwa ya Tanga yalikozaliwa mahabaJamani Tunda, nitalipataje Tunda....Tunda, Tam Tam!
wenzetu wamestarabika. kuna movie niliona zama za 90's COMING TO AMERICA. madeko ya lisa kwa babake-sijui mzee nani huyo nilikuwa sijajua lugha za malkia, ila mzee alikuwa na hotel. alionekana kumpokea mchumba wa lisa na kuwapisha waendelee na mazungumzo. njoo sasa kwetu uswahilini, mzee wa watu akubambe na binti yake, utachezea bakora km za kifimbo chezaWazungu wanamambo Sana huwa sipati picha mzazi kuona uchi wa mwanae.
Hahahahaya jamani wale wenye bahati ya kung'oa
With thier uchi uchi you mean!!I love the Obama family
Halafu huyo mzee aliyekujia juu alipokuona na binti yake ndie huyo huyo huwa kimbele mbele kukusanya michango ya send off ya bintiye ukitangaza ndoa. Hakuna ndoa bila kutongoza, hata askofu aliye na mke basi jua mtongozo ulihusika sana tu.wenzetu wamestarabika. kuna movie nikiona zama za 90's COMING TO AMERICA. madeko ya lisa kwa babake-sijui mzee nani huyo nilikuwa sijajua lugha za malkia, ila mzee alikuwa na hotel. alionekana kumpokea mchumba wa lisa na kuwapisha waendelee na mazungumzo. njoo sasa kwetu uswahilini, mzee wa watu akubambe na binti yake, utachezea bakora km za kifimbo cheza
Hujiulizi japokuwa wanawake wanavaa hivyo US lakini matukio ya ubakaji ni almost non existent?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Maisha na muziki....!!!!Nyani Ngabu Watanzania (Wana JF) tunakutuma KAZI....
Sisi wengine tutakuwa Nyuma Yako...
Na MKAKATI wa kwanza ni kwenda katika CHIMBUKO...
Tutaingia Kenya kwa ajili ya kwenda kijijini kwao (tukiongozwa na Mshana Jr) kuamsha "DUDE" kwa nia ya KUMLAINISHA, ili Kenya watuite SHEMEJI...
Nenda Kijana wetu Nyani Ngabu..Sasha anahitaji FARAJA..