donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
Mautadamuni yaoWazungu wanamambo Sana huwa sipati picha mzazi kuona uchi wa mwanae.
Mautadamuni yaoWazungu wanamambo Sana huwa sipati picha mzazi kuona uchi wa mwanae.
Hahaa ngoja aje.Ngoja nikuombee kwa mwanngu mugizi
Hutaweza hata kumsogelea mita 100Tunda limeshaiva hili tulibandue magandaa
HahahHahaa ngoja aje.
Secret service agents watamnyakuaHutaweza hata kumsogelea mita 100
HahahaKwa sasha ama yule mwingine malia kuleni tu kwa macho waungwana
Bofya ubofyweJaza ujazwe......
Si kila jamii inatafsiri "uchi" kama wewe unavyotafsiri.Wazungu wanamambo Sana huwa sipati picha mzazi kuona uchi wa mwanae.
Wewe ni sociologist nini! Yani umenena!Si kila jamii inatafsiri "uchi" kama wewe unavyotafsiri.
Jamii tofauti zinaona mambo tofauti kwa namna tofauti.
Wewe angali unaona kuvaa hivyo si sawa. Wenzako wanaona ni chaguo binafsi hasahasa mtu kujipenda na kuwa comfortable in your own skin/body.
Hujiulizi japokuwa wanawake wanavaa hivyo US lakini matukio ya ubakaji ni almost non existent?
Vipi hapa kwetu?
Wafunze watoto character, values na self love. Hawatokuangusha hata kama watavaa kama Sasha hapa Tz.
1 yrs mpka 5 yrs mayai ,mmaziwa majani yakihusika ipasavyo mtoto atakuwa kama mgomba!ukiwa unakula vzur unakua mkubwa harak aseee
I'm student of life. That's what I can say about myself.Wewe ni sociologist nini! Yani umenena!