Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,333
- 1,356
Waraka wa TEC umegonga panapostahili, hii ni taasisi makini Huwa hawakurupuki, na wanasimamia ukweli kwa dhati.
Kwa haraka mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP world una mengi yaliyojificha gizani zaidi ya uwekezaji.
Ninapata shida kumuuona mtanzania hasa mtanganyika kuupigia chapuo huu mkataba wa kilaghai kwa Tanganyika.
Wote wanaokubaliana na huu mkataba ni wasaliti, Wala rushwa , wajinga na wadini.
Kichaka walichokipata kwa sasa ni MoU ya makanisa na serikali hoja ya kipuuzi kabisa wazalendo tuendelee kuwapiga nyundo Hawa wahuni mpaka watapike pesa za waarabu.
Serikali imewadharau sana wananchi kwa huu mkataba wa kimangungo walifikiri wapo Karne ya 9.
Pia inafaa tusikibaliane na huu mkataba kabisa wasitunganye kwa kurekebisha vifungu, huu mkataba ni batili kuanzia mwanzo mchakato mpaka hapa ulipofikia.
Pia tuwe makini sana na mabadiliko au maboresho ya sheria zetu ambayo yanategemea kupelekwa bunguni hivi karibuni.
Wananchi tunaomba makundi, taasisi, vyama vya kijamii, vyama siasa, na NGOs tuendelee kutoa misimamo au matamko kuhusiana na jambo hili.
Serikali ya ccm Huwa haisikilizi wananchi inaweza kuendelea na mkataba huu kwa nguvu na hii husaidia sana kufikia mwanzo wa mwisho wao.
Mama Samia serikali na ccm umeikuta na utaiacha na chawa wako ni popo tu kesho watakutukana kukukejeli na kukuacha peke Yako.
Chukua ushauri wa wengi sikia sauti ya wengi ni sauti ya Mungu