KInachopingwa ni Uwekezaji au Mkataba wa DP World?

Madumbikaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
734
Reaction score
2,272
Sijasikia mtu yeyote akipinga uwekezaji bali kelele za watu ni vifungu vya kwenye mkataba

Wajibu hoja wajibu vifungu vya mkataba na sio kujificha kwenye kichaka cha uwekezaji

Uchambuzi wote wa akina Mwabukusi,Dkt slaa,TEC na TLS pamoja na Tundu Lisu umejikita kwenye vifungu vya mkataba kuwa vifungu vinatubana upande mmoja na kumpa nguvu zote mgeni

Akina nape na CCM wajikite kujibu vifungu vya mkataba ndio agenda kuu na sio uwekezaji,Hakuna anayekataa uwekezaji bali vifungu vilivyomo ndani ya mkataba
 
Mbona "MANAMBA" wanaopush agenda ya DP world humu wanasema wanaopinga mkataba wa DP world hawataki uwekezaji? Au hawa MANAMBA ni njaa zao tu?
 
ni
....Ukoloni Mamboleo
na
....Ufisadi wa Magenge ya Ufisadi CCM

na Unyanyasaji wa Waarabu na vibaraka wao.
 
Back
Top Bottom