GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,736
- 109,328
Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe.
Kwa mshangao kabisa jana na hata leo nimepita katika kurasa za Wanafiki fulani wa CCM ambao binafsi kwa Mmoja wao na Mwingine kupitia Dereva wake walisikika wakisema hawamtaki Dk. Tulia Ackson awe Spika huwa wakimtuhumu ila baada ya Dk. Tulia Kuchaguliwa nao sasa wamepiga U-turn ya Hatari na ni Mwendo tu wa Kumpamba na Kumpongeza Dk. Tulia kwa Uteuzi huku wakijua fika kuwa Rohoni Kwao na Mioyoni Mwao wala hawampendi Dada wa Watu.
Natamani sana niwataje ili waumbuke.