Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Ila Hatuwez kubadilisha chochote hata tukisema make yeye kila ktu anajipangia mwenyewe
Lkn bado ana miaka 9 sasa sidhani kama ni haki kumlaumu na wakati ndo amemaliza mwaka mmoja
Kila rais aliyepita ana mazuri na mabaya yake kwasababu ye naye ni binadamu anakosea
Ila ukianzaa kuwambia wadau na wananchi ukabila umeanza kurudi wataamini hivyo
Kwasababu mjenga nchi ndiyo mbomoa nchi
Miaka tisa tena aisee nyie wanyarwanda bhana
 
yupo Arusha , Ole Nasha, waziri mzigo wa mifugo
Anashindwa kutatua changamoto za wafugaji & wakulima matokeo yake ndugu zake ( wafugaji wamasai) wanawachoma wakulima mikuki kama wanyama wa mwituni yy kimya hata kutoa kauli kuonesha kasikitishwa na jambo hilo akiwa kama waziri mwenye dhamana
 
Acheni majungu, fanyeni kazi.
Kila kitu mnalia lia tu. Fanyeni kazi
 
Ukanda ni muhimu katika strategies of development planning but such plans should be distributed equally and fairly.
Ni kweli but huwezi kufanya maendelo kwa kanda zote ama mikoa yote kwa mara moja ndio maana kuna priorities, hata enzi za mwalimu ilikuwa hivyo thus why leo kuna kanda zimeendelea zaidi kuliko zingine
 
Ni kweli but huwezi kufanya maendelo kwa kanda zote ama mikoa yote kwa mara moja ndio maana kuna priorities, hata enzi za mwalimu ilikuwa hivyo thus why leo kuna kanda zimeendelea zaidi kuliko zingine
Baada ya uhuru mwalimu alisema Tanga imeendelea tuiache kwa sasa, matokeo yake Tanga imekufa kabisa.
 
Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro karibu majimbo yote yako upinzan sasa atachaguaje mawazir ama manaibu waziri ambao sio chama chake si kinyume na katiba?, but anyway toka nchi hii ipate Uhuru ukanda wa kaskazin from manyara, arusha plus Kilimanjaro wamekuwa wakitoa mawazir na manaibu wengi tu tena uwaziri mkuu ndio tusiseme utadhan nafasi hiyo ilikuwa preserved rasmi kwa watu wa ukanda huo tu. Mbona kipindi chote hicho watz hawakulalamika pale mikoa ama wilaya zao hazikupata mawazir ama manaibu ? Kwa sasa ndio m naona mnaonewa? Si shabiki wa ccm but UKWELI ubaki ulivyo mm ni mzalendo ambaye nilikuwa naumia sana baadhi ya mikoa ilipokuwa inapuuzwa huku mingine ikipewa kipaumbele
Mkuu nipe ibara inayokataza rais kumteua mbunge wa chama pinzani kua waziri katika katiba ya JMT...Nitashukuru
 
Pm kila baada ya miezi 3 anatimba jimboni kwake
Hata kama ww ndio PM hutakwenda kwenu kisa ni PM?, kumbuka nje na pm wake yy ni mbunge hivyo anawajibika kama wabunge wengine kutembelea jimbo lake na kusikiliza kero za wananchi wa jumbo lake. Hujui baada ya 4 yrs waliomchagua watamuhukumu kwa kipindi alichowatumikia, so akiwasusa kisa kapewa u pm 2020 atajiteteaje jimbon kwake
 
Ni wa kusamehewa bure hujui ulichokiandika ni kama ukeandikiwa vile. Jaribu kujiuliza mpaka sasa huyo Rais ni maeneo gani kaenda zaidi pia PM na wakati kuna maeneo hata hajakanyaga.
Unaendeshwa na ufinyu wa kupambanua mambo. Wewe sasa ulitaka akapumzike wapi kwenu? Kuna ziara za kiserikali na ziara binafsi za rais. Hiyo ni ziara binafsi. Tatizo lenu mnaendeshwa na mhemuko ya kisiasa hata haujui itifaki ya ziara za rais. Hiyo na ziara ya mapumziko siyo ya kikazi sasa ulitaka akapumzike kwa bibi yako?
 
nakumbuka kijamaa kilisema kinazunguka nchi nzima kuwashukuru waliompigia kura,alianza kanda ya ziwa akahusisha na baadhi ya mikoa along mwanza dar road tu..zenji alienda kumwaga sumu za fitna..
sijui mbeya tulikomzomea 2015 atakuja lini kutushukuru wapiga kura ?
Zamu ya waliomzomea bado!
Sasa hivi ni wakati wa shukrani kwa waliotutendea mema!
Nyie zomeazomea na wenzenu mnaofanana nao tutakuja 2019
 
Kigoma to Nyakanazi! barabara hii ikamilike haraka iwezekanavyo![emoji105]
 
Back
Top Bottom