Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Wewe tangu mwaka jana umeshaenda nyumbani kwenu mara ngpi? Na xmass umeilia wapi? Na ulipopata likizo hukwenda kwenu? Au ulitaka likizo akailie ngorongoro?
Acha kulinganisha ziala za mkulu na vitu vya kijinga wewe
 
Na singida pia wasukuma? Sasa mbona na huko ameenda. Acheni siasa za kipumbavu. Kwani rais akija mikoa yenu ndio mtakula?
Mpakani mwa wasukuma huko singida emu fuatilia uone kama hautokuta wasukuma wengi singida. Pia kanda ya ziwa nako anaenda kwa wasukuma tu mkoa wa Mara hajakanyaga. Na kwa upande wa mwanza kwa ndugu zangu wakerewe hakuna kwenda...over
 
Majaliwa asiende lindi na mtwara kuangalia jamaa zake???? Kwani amejizaa mwenyewe?? Acheni siasa chafu.. ndio kwanza mwaka mmoja..
 
Atajua mwenyewe haninyimi pumzi ya kuishi
Akae huko huko hata miaka 5 atajua mwenyewe
 
Salaam Wakuu.
Takribani ni Mwaka mmoja toka Serikali ya Awamu ya 5 ishike hatamu naona Trip za Wakubwa zaidi kwanzia PM zaidi ya 90% ni Kusini, yaani Lindi na Mtwara, mathalani PM baada ya Kutoka tu Arusha Juma lililopita kapitiliza Mtwara na leo hii Ruangwa ambako ndiyo jimbo lake, ni zaidi ya mara 3 anashinda huko wakati kuna Mikoa hajakanyaga Kusikiliza Kero za Wananchi wao wenyewe maana ndiyo inatia Uzito. Ikumbukwe ni Waziri Mkuu na si Mbunge wa kawaida.

Naye Mkulu toka State House ndiyo Kabisaaa, ameenda Chato naye si Chini ya Mara 3 na leo yupo huko kwa kisingizio eti kaenda Msibani.Mbona Bukoba walikufa Watanzania na wengi zaidi na jirani na Chato ila hajawahi Kanyaga?

Kama wewe si wa Kusini ama Kanda ya Ziwa hususani Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita nje na Dar es Salaam utasubiri saana.Kumbuka Ukweli hisia huja zaidi baada ya Kujionea.

Aliyoyakataza Muasisi wa Taifa hili la Tanznaia Hayati; Mwl. JK Nyerere yaani, Ukabila, Ukanda na Udini yanarejea kwa Kasi ya Ajabu saana, kwa Pamoja wapenda Tanzania tuyapinge kwa nguvu zetu zote.
Unaongea pumba na mawazo yako. Hivi fuatilia PM na JPM wamefanya ziara sehemu gani. Dodoma sio central Tanzania. Magu kaenda mara ngapi. Mnaleta hoja za kipuuzi tu. Fanyeni utafiti kidogo wanabavicha.
 
Awamu iliyopita watu walikua wanasahau kurudi makwao kwa kupishana angani sasa wanapishana kwenda makwao kila kukicha.
 
Salaam Wakuu.
Takribani ni Mwaka mmoja toka Serikali ya Awamu ya 5 ishike hatamu naona Trip za Wakubwa zaidi kwanzia PM zaidi ya 90% ni Kusini, yaani Lindi na Mtwara, mathalani PM baada ya Kutoka tu Arusha Juma lililopita kapitiliza Mtwara na leo hii Ruangwa ambako ndiyo jimbo lake, ni zaidi ya mara 3 anashinda huko wakati kuna Mikoa hajakanyaga Kusikiliza Kero za Wananchi wao wenyewe maana ndiyo inatia Uzito. Ikumbukwe ni Waziri Mkuu na si Mbunge wa kawaida.

Naye Mkulu toka State House ndiyo Kabisaaa, ameenda Chato naye si Chini ya Mara 3 na leo yupo huko kwa kisingizio eti kaenda Msibani.Mbona Bukoba walikufa Watanzania na wengi zaidi na jirani na Chato ila hajawahi Kanyaga?

Kama wewe si wa Kusini ama Kanda ya Ziwa hususani Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita nje na Dar es Salaam utasubiri saana.Kumbuka Ukweli hisia huja zaidi baada ya Kujionea.

Aliyoyakataza Muasisi wa Taifa hili la Tanznaia Hayati; Mwl. JK Nyerere yaani, Ukabila, Ukanda na Udini yanarejea kwa Kasi ya Ajabu saana, kwa Pamoja wapenda Tanzania tuyapinge kwa nguvu zetu zote.
Watu wapo makwao kwa likizo ya christmas na mwaka mpya,kama ni msiba wamekutana nayo huko,huwezi kuja nyumbani likizo halafu mzee wa mtaani kafariki ukaacha kwenda,kisa hukwenda bukoba
 
Ila Hatuwez kubadilisha chochote hata tukisema make yeye kila ktu anajipangia mwenyewe
Lkn bado ana miaka 9 sasa sidhani kama ni haki kumlaumu na wakati ndo amemaliza mwaka mmoja
Kila rais aliyepita ana mazuri na mabaya yake kwasababu ye naye ni binadamu anakosea
Ila ukianzaa kuwambia wadau na wananchi ukabila umeanza kurudi wataamini hivyo
Kwasababu mjenga nchi ndiyo mbomoa nchi
 
Unajua waswahili hawakukosea waliposema
Mjenga nchi ndiyo mboa nchi
Hata nchi nyingi zenye machafuko uliibuka uchochezi wa chini chini wakadhan mzaha
Mwisho wake machafuko yakaanza
Hakuna binadamu asiyekosea lkn licha ya hivyo amebakiza miaka 9 kwani atashindwa kutembelea mikoa yote Tanzania kwa miaka 9
Hata kama ni Rais na ww una kwenu
 
Ila Hatuwez kubadilisha chochote hata tukisema make yeye kila ktu anajipangia mwenyewe
Lkn bado ana miaka 9 sasa sidhani kama ni haki kumlaumu na wakati ndo amemaliza mwaka mmoja
Kila rais aliyepita ana mazuri na mabaya yake kwasababu ye naye ni binadamu anakosea
Ila ukianzaa kuwambia wadau na wananchi ukabila umeanza kurudi wataamini hivyo
Kwasababu mjenga nchi ndiyo mbomoa nchi
We can't change anything
 
Majaliwa asiende lindi na mtwara kuangalia jamaa zake???? Kwani amejizaa mwenyewe?? Acheni siasa chafu.. ndio kwanza mwaka mmoja..
Kumbuka anashinda huko kazidiwa na hata na Kigwangala anavyosambaa nchi nzima. Acheni masihara.
 
Bora hata wamepeleka bodaboda 200 Arusha maaana zingepelekwa shinyanga ingekuwa tabu hum
Thamani ya bodaboda mia mbili na Ambulance 50 unaonaje ulinganifu wake?
 
Ila Hatuwez kubadilisha chochote hata tukisema make yeye kila ktu anajipangia mwenyewe
Lkn bado ana miaka 9 sasa sidhani kama ni haki kumlaumu na wakati ndo amemaliza mwaka mmoja
Kila rais aliyepita ana mazuri na mabaya yake kwasababu ye naye ni binadamu anakosea
Ila ukianzaa kuwambia wadau na wananchi ukabila umeanza kurudi wataamini hivyo
Kwasababu mjenga nchi ndiyo mbomoa nchi
Miaka 9 gani tena hiyo? Mbona unaongea kama una matatizo kichwani mkuu? Katiba gani inasema Rais ataongoza miaka 10 mfululizo? Hopeless kabisa wewe kiumbe.
 
Tatizo ni kwamba hata hawa wanaopinga jpm kwenda kupumzika kwao ni wale ambao hawana utamaduni wa kwenda kutembelea ndugu zao huko vijijini walikotoka. Mtu ana uwezo lakini anakaa Dar miaka 15 hajawahi kwenda kwao kusalimia kisa yupo Dar utadhani kwao dar kumbe ni wa kuja tu kwao hukoooo! Hata marais wa Marekani na nchi nyingine zilizoendelea rais kwenda kwao kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu hasa za kidini pamoja na mwaka mpya ni jambo la kawaida sana. Hata Nyerere mwenyewe alikuwa anakwenda kwao butuama mara kwa mara kupumzika pale alipokuwa anapata nafasi ya kufanya hivyo. Mzee wa msoga ndio usiseme mara nyingi tu alikuwa anazuka msoga kusalimia. MBONA JAMBO LA KAWAIDA SANA SISI MIAFRIKA BWANA NDIO MAANA TUNAZIDI KUWA MASKINI KWA SABABU YA ROHO MBAYA NA CHUKI ZISIZO NA SABABU!
 
Kumbe bukoba hakuwahi kabisa kwenda kuwafariji wale wahanga dah..,any way labda akitoka chato ataenda
 
Back
Top Bottom